Nalaani Mbunge Condester Michael kutolewa ndani ya Bunge kisa Mavazi, ameonewa na kudhalilishwa kwa makusudi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
4,668
2,000
Kwa ukweli huu ni udhalilishaji wa makusudi kabisa ambao umefanywa kwa mbunge huyu mwanamke.

Nimeangalia suruali aliyovaa huyu dada si zile suruali za kubana maumbo. nimeshangaa hata spika kutotumia busara kuona kuwa huyu alipaswa kwanza aachwe then aje aangaliwe baadaye.

Kama alishakuwa ameingia bungeni na amekaa, kitendo cha kumsimamisha na kumwondoa hakikuwa cha kistaarabu hata kidogo. Ni wazi kuna jambo ambalo huyu mtoa mwongozo alikuwa nalo dhidi ya mbunge huyu. Maskini mdada wa watu!

Nimengalia ile suruali aliyovaa nyuma mpaka kama inataka kumvuka. Why leo hii ionekane ni ya kuvunja maadili wakati kuna wabunge wengi tu ambao wamekuwa wakivaa sketi ndefu lakin za kubana? Na wanaovaa sketi fupi wapo wengi tu ambao siku zote tunawaona bungeni.

Ilipaswa spika atoe maelezo na kuwa kuanzia kesho jambo kama hilo lisijirudie. lakini kumwondoa mbunge huyu kwa style hii ni kumdhalilisha sana hasa hasa kwa nguo aliyovaa haikuwa ya kubana kuonesha maungo kusema kuwa haikuwa ya staha. Huyu mzee mtoa mada ni wazi kabisa inawezekana ana lake jambo kwa mbunge huyo na amejenga chuki kutokana na jambo hilo.

Anaonekana ni mtu mzima aliyekosa busara, ana mihemko, chuki na husda kwa mtendwa. Angekuwa na busara asingeli-approach jambo hilo kwa style hiyo. Ameli-approach jambo la kiume kama mvulana. Ni bora angeomba ushauri kwa sisi wanaume gentlemen tungemshauri afanye nini.

Nashukuru kwa sasa wapizani hawapo. Wachawi wakimaliza kula watoto wa wengine. Huanza kula wao. Wakimaliza kula wao wanaanza kulana wao kwa wao.
1622543802335.png

1622547239183.png
1622547964848.png
 

Zygot

JF-Expert Member
Apr 14, 2016
1,924
2,000
Wewe uko Bungeni? Umeiona hiyo suruali kivipi? Mambo ya umalaya wenu huko hayahitaji mjadala mrefu. Hamjitambui!
 

Hypershulemia

Member
May 19, 2021
31
95
๐“š๐”€๐“ช๐“ท๐“ฒ ๐“ผ๐“พ๐“ป๐“พ๐“ช๐“ต๐“ฒ ๐”‚๐“ฎ๐“ท๐”‚๐“ฎ๐”€๐“ฎ ๐“ฒ๐“ท๐“ช๐“ผ๐“ฎ๐“ถ๐“ช๐“ณ๐“ฎ...
 

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
4,668
2,000
Yule mzee atakuwa na matatizo yake binafsi. Na hana busara kabisa kumdhalilisha binti namna ile. Angekuwa ni mtoto wake amefanyiwa vile angefurahi? Angeweza mwita pembeni akamwambia au akamtumia mama mtu mzima kumwelewesha. But pia dada hajavaa suruali ya kubana. Mzee mjinga mhuni tu.

Ila kwa pale ameonewa yule mbunge, mbona amevaa kawaida na ki staha kabisa. Yule babu kizee ana lake jambo khaaaah.
 

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
4,668
2,000
Wewe uko Bungeni? Umeiona hiyo suruali kivipi? Mambo ya umalaya wenu huko hayahitaji mjadala mrefu. Hamjitambui!
Dada una panic bure tu. Najua jamaa yako anayafanya kazi bungeni so unadhani anatembea na wanawake wa huku. Sisi wanaume hatuoni kama ni sawa. Mi nawafaham malaya wanaovaa ushungi wengi sana na ndani hawavai chupi. We mwenyewe huwa unasema kuwa unavaa hivyo ndani huvai kitu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom