Watanzania tunatawaliwa na chama kilichokufa

Watanzania tunatawaliwa na chama kilichokufa

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,181
CCM ya leo sio ile tuliyoizoea. Leo ndani ya CCM kuna teams (au Magenge) yanalana yenyewe kwa yenyewe. Kama ni mnyonge utabakia kupiga makofi tu hata mle bungeni ila ukinyoosha kidole na kunyooshea wengine vidole, utakiona kilichomfanya kuku awe kuchere. Na wapo wengi tu wamehama basi imekuwa kosa, kilichowasibu imebidi warudi eti nyumbani.

Ni lazima kufanywe juhudi za ziada kuondoa wingu hili. CCM haipo tena.
 
Nina imani hata hao CHADEMA wenzio wataupita kama hawauoni. Vijana wengi hasa nyie mnaotokea vijijini mmekuwa wepesi mno kuuza utu wenu kwa sababu ya tamaa ya matumbo yenu. Yan mpo very cheaper.
 
Swadakta!
sheed.png
 
Back
Top Bottom