Philemon Luhanjo wa Ikulu naye fisadi?

Keil

JF-Expert Member
Jul 2, 2007
2,214
803
Health Ministry hit by new procurement query

-This time it's over purchase of luxury Land Cruiser for the minister

THE Public Procurement Regulatory Authority (PPRA) has discovered widespread violations of procurement regulations in various government ministries and departments, including the purchase of a luxury Toyota Land Cruiser vehicle for the Minister for Health and Social Welfare, Prof. David Mwakyusa, last year without following proper procedures.

According to the latest report of the public procurement watchdog, some decisions of the health ministry's ministerial tender board (MTB) appear to have at times been unduly influenced by other government organs as well as suppliers.

In one specific case, the PPRA report notes that a top State House official was involved in influencing the ministry's procurement process towards approving the purchase of the luxury Land Cruiser VX station wagon vehicle for the health minister's official use.

The report describes the approval by State House chief secretary Philemon Luhanjo, via a letter with reference number SAB 350/457/01/116 and dated March 14 last year, as being contrary to laid-down procedures and undermining the independence of the procuring entity.

''Such interferences put to test the independence of the MTB (ministerial tender board) in exercising its best judgement when fulfilling its mandate,'' says the PPRA report.

According to official government records, the MTB approved the purchase of the vehicle at a cost of 108,801,397/- from Toyota Tanzania Limited, after being informed that State House had issued an authorisation for the purchase of the motor vehicle.

But the PPRA report states that the MTB's approval of the request for purchase of the vehicle after authorisation from State House did not follow regulations.

The report also points out serious flaws in another health ministry procurement tender involving the purchase of utility vehicles, whereby some newly-bought vehicles broke down after covering only a few kilometres.

''The poor performance of the Isuzu motor vehicles was noted by users after they had been purchased through tender number 65 of 2003/04. Five of the purchased vehicles were grounded after running for less than 4,000 kilometres,'' the report says.

In another case involving an order for ten vehicles supplied by Diamond Motors Limited of Dar es Salaam, one vehicle had to be dropped from the list after the unit price went up following use of the yen/shilling exchange rate pegged on private financial institutions other than the Bank of Tanzania.

''In one of its regular meetings, the (health ministry) MTB was informed that during 2003/04 the ministry entered into a contract with Diamond Motors Limited for the supply of ten Mitsubishi pick-up vehicles at a corrected contract price of Japanese yen 23,160,000,'' says the report.

It adds: ''There was then a misunderstanding between the two parties on the applicable exchange rates, with the client insisting on using the exchange rate as determined by Bank of Tanzania while the supplier preferring the exchange rate provided by Standard Chartered Bank, which resulted into an extra 3,597,745/- required to finalise payment for the vehicles.''

The PPRA report says the ministerial tender board eventually succumbed to the demands of Diamond Motors Limited, leading to the supply of one of the ten vehicles being delayed for two years.

The current health ministry MTB has eight members appointed by the ministry's permanent secretary and serving a three-year term of office starting from November 22 last year. It is chaired by Dr Zachariah Berege with Peter Msigula serving as secretary to the board. Other board members are Dr Gilbert Mliga, Charles Masolwa, L. Kikuli, G. Kameka, Regina Kikuli and Dr R.B. Kalinga.
 
Waziri ni mbunge na alikuwa na shangingi lake jipya, je kweli kulikuwa na haja ya kununua gari lingine? Si afadhali angelilipwa
pesa kidogo kila mwezi ili aendelee kutumia gari lake kwa shughuli za serikali?

Tanzania pesa tunazo ila matumizi yake ndio yametushinda.

Juzi hapa kuna mtu aliandika hata Zitto ana gari lingine la serikali kwasababu ni naibu msemaji mkuu wa kambi ya upinzani. Upuuzi mtupu!

Hao CCM na upinzani hawana tofauti yoyote, lao moja inapokuja kwenye maslahi yao. Hivi kweli wasemaji wa upinzani wanahitaji gari za serikali? Wanaweza wakapata extra money kurahisha utendaji wa kazi zao lakini sio gari mpya, ofisi mpya, wafanyakazi wapya nk.
 
..duh gari moja tuu million 100 shilingi? seems hakuna mwenye uchungu na ile nchi!
 
mie nilijua tu..huyu mzee atakuwa ana madudu mengi sana sababu kaachiwa ofisi muda mrefu sana ana vasco dagama(jk).nina uhakika kuna mambo mengi ambayo hata Jk mwenyewe hajui yanakwendaje?
 
This country imeoza, inanuka rushwa kila kona, harufu hii itaishia pabaya. Huu ni ubadhirifu wa hali ya juu, na ubadhilifu huu utaifikisha nchi pabaya, acha JK aendelee kujifariji kuwa hasikilizi kelele za wapinzani.

This is serious, do you think JK hao watu ulionao hapo ndio wanaweza kuongoza nchi pekee yao in case ukiwa drop utashindwa? Be serious man, these are not noises, are facts, take actions man.

Nchi inaelekea kubaya, mafisadi hawa wataitumbukiza kwenye machafuko, hakuna amani penye njaa, maisha hayana thamani yoyote kwa mwenye njaa na aliyekataa tamaa. Why these?

Kweli tumefika mahali unanunua gari la 100M linalokutoa Masaki kwenda Posta, Mikocheni to Postal na Kupaki. Hospitalini hakuna vitanda na madawa, madarasa tunachangishwa kwa nguvu huku tukikamuliwa PAYE na VAT, Haya magari ndo priority zenu kuliko maisha yetu?

Ina maana hamuoni hata wale walemavu wanaosimama barabarani wakiomba, hampiti manzese mkawaona vijana wamekaa hawana kazi, hamshtuki kuwa hili ni bomu linahitaji kuteguliwa kwa kuweka mikakati na mazingira ya kazi. Mnafuja mali za Watanzania bila aibu. This is terrible!

Hii nchi sijui inaelekea wapi, JK umeingia ikulu juzi, umesahau maisha ya Mtanzania wa Kawaida. Unawatumikia wanaokusifia kwa unafiki ili kufanikisha maslahi yao na kuwachukia wanaokukosoa ukiita ni kelele.

Namheshimu sana mtu anyenikosoa kuliko anayenisifu. Sifa hazina impact yoyote kwangu cause it changes nothing. Lakini ukinikosoa next time nitajirekebisha na nitaperform wonders. JK Take care, watakupoteza hawa, sikiliza wakosoaji wako ujue udhaifu uko wapi.
 
Nchi na siasa za Tanzania zimezidi kutawaliwa na wazee, vijana wanakuwa waoga sana kujitoa mhanga ndani ya CCM....It's time vijana waadilifu hasa waliosoma na kuishi ghambo nao wakajipenyeza kwenye CCM na kuanza kubadili mienendo ya hao viongozi wabovu. Sio kuwa na ndoto ya kubadili kila kitu kwa siku moja bali taratibu kadri wananchi nao wanavyoibuka na kuwa na mwamko wa demokrasia ya kweli...
 
Nchi na siasa za Tanzania zimezidi kutawaliwa na wazee, vijana wanakuwa waoga sana kujitoa mhanga ndani ya CCM......

wakijitoa mhanga wanauwawa,yuko wapi mtoto wa Malecela..amina je??
cha kufanya ni kuwakataa hawa watu kwa kutumia rungu la kura
 
Lazima nchi iliwe.Sasa ulitaka watu wafanyeje wakati hela za kula zipo na hazina mwenyewe.Hivi hela ya serikali ni ya nani?
Sisi ni ya kwao wacha wale mpaka wavimbiwe!Kama ingekuwa na wenyewe ingefujwa namna hii.
 
Juzi hapa kuna mtu aliandika hata Zitto ana gari lingine la serikali kwasababu ni naibu msemaji mkuu wa kambi ya upinzani. Upuuzi mtupu!

Hao CCM na upinzani hawana tofauti yoyote, lao moja inapokuja kwenye maslahi yao. Hivi kweli wasemaji wa upinzani wanahitaji gari za serikali? Wanaweza wakapata extra money kurahisha utendaji wa kazi zao lakini sio gari mpya, ofisi mpya, wafanyakazi wapya nk.

Najua kuna watu wanafanya bidii kuonyesha kuwa wapinzani na CCM hawana tofauti. Bahati mbaya mara zote wametumia zaidi msuli kujenga hoja zao. Ukweli ni kwamba Zitto hajapewa gari na serikali zaidi ya gari yake ya ubunge. Na kadri nijuavyo, naibu kiongozi wa upinzani bungeni sio Zitto. Sasa ni vizuri tukajenga hoja zete based on facts, vinginevyo tutaonekana ni wapotoshaji wenye nia mbaya.

The bottom line: CCM na wapinzania hawawezi kufanana. Tuna vigezo vya kuwapima CCM maana tumewakabidhi zana (dola) ya kufanyia kazi for the past 40+ years na wameshindwa. Hatuna haki ya kuwahukumu wapinzani katika hili maana hatujawahi kuwapa nafasi tukawaona. Sasa tusilazimishe hoja kwa kupachika uongo hapa na pale; tutakuwa tunawaonea wapinzani na kujionea sisi pia!
 
Sijui kwa nini watu hawalioni hilo au sijui kwa nini hawalielewi. Maana huko siku za nyuma mimi nimeshawahi kulizungumzia sana. Anywho, people deserve the people who they elect...
 
Najua kuna watu wanafanya bidii kuonyesha kuwa wapinzani na CCM hawana tofauti. Bahati mbaya mara zote wametumia zaidi msuli kujenga hoja zao. Ukweli ni kwamba Zitto hajapewa gari na serikali zaidi ya gari yake ya ubunge. Na kadri nijuavyo, naibu kiongozi wa upinzani bungeni sio Zitto. Sasa ni vizuri tukajenga hoja zete based on facts, vinginevyo tutaonekana ni wapotoshaji wenye nia mbaya.

The bottom line: CCM na wapinzania hawawezi kufanana. Tuna vigezo vya kuwapima CCM maana tumewakabidhi zana (dola) ya kufanyia kazi for the past 40+ years na wameshindwa. Hatuna haki ya kuwahukumu wapinzani katika hili maana hatujawahi kuwapa nafasi tukawaona. Sasa tusilazimishe hoja kwa kupachika uongo hapa na pale; tutakuwa tunawaonea wapinzani na kujionea sisi pia!

Kitila,

Mimi sina uhakika kama Zitto anatumia gari la serikali ila hapa JF habari hiyo iliandikwa na hakuna aliyekanusha na ndio maana nimeandika wazi nilichosikia. Kama Zitto hajawahi kutumia gari la serikali kama naibu au msemaji wa upinzani basi hilo samahani sana mkuu.

Lakini mambo mengine yako pale pale, upinzani hawawezi kulaani maslahi ya mawaziri wakati wao wameshindwa kulaani maslahi ya Wabunge. Inapokuja kwenye suala la maslahi they are part and parcel of the problem.

Tusisubiri kuwapa upinzani madaraka na mpaka waharibu eti ndio tuwahukumu, tumewapa madaraka ya ubunge ili watutetee lakini kwenye maslahi yao sioni hata mbunge mmoja anayetutetea.

Nakuomba soma kwenye link hii kuhusu Zitto kutumia gari la serikali. Kama unaona Halisi aliandika makosa basi fafanua. Vinginevyo hata wewe facts zao hazitakuwa sahihi.

http://jamiiforums.com/showthread.php?t=832&page=75

"Zitto mara kwa mara huwa anatumia gari la serikali, maana kuna wakati huwa amewahi Kukaimu nafasi ya Kiongozi wa Upinzani Bungeni ama akiwa katika majukumu yake ya Ukatibu wa Upinzani Bungeni ambao wana gari (STJ) na dereva wa serikali"
 
Najua kuna watu wanafanya bidii kuonyesha kuwa wapinzani na CCM hawana tofauti. Bahati mbaya mara zote wametumia zaidi msuli kujenga hoja zao. Ukweli ni kwamba Zitto hajapewa gari na serikali zaidi ya gari yake ya ubunge. Na kadri nijuavyo, naibu kiongozi wa upinzani bungeni sio Zitto. Sasa ni vizuri tukajenga hoja zete based on facts, vinginevyo tutaonekana ni wapotoshaji wenye nia mbaya.

The bottom line: CCM na wapinzania hawawezi kufanana. Tuna vigezo vya kuwapima CCM maana tumewakabidhi zana (dola) ya kufanyia kazi for the past 40+ years na wameshindwa. Hatuna haki ya kuwahukumu wapinzani katika hili maana hatujawahi kuwapa nafasi tukawaona. Sasa tusilazimishe hoja kwa kupachika uongo hapa na pale; tutakuwa tunawaonea wapinzani na kujionea sisi pia!

Kitila:
People need to be assured, be convinced, be reassured and or cajoled into believing that waShindani are a different breed of operators from the norm.

Si lazima kwanza kushika madaraka kuwafanya wananchi waweze kuamini kuwa mabadiliko yanawezekana. Wananchi wanahitaji kuona dalili na juhudi za ziada kutoka kwa waShindani ili waamini kuwa wao ni tofauti kabla hawajawakabidhi hayo majukumu ya nchi yao.

Sasa hivi, bado ni msemo tu wa "Zimwi likujualo.........." Lakini naona 'zimwi linazidi kujimaliza lenyewe haraka iwezekanavyo.
 
Sijui ni nini tena wanachohitaji kuwa assured, convinced, and or cajoled when CCM is the way it is. Can anybody be worse than CCM? If so, then it is not a bad idea to stick with them and ignore the opposition.
 
kwa tanzania ile, naamini kuwa hakuna hata waziri mmoja atakaetizamwa data zake akaonekana hajawahi kuifayia ubadhirifu pesa ya serikali. na hii yote inatokana na kwamba, madaraka ya waziri wa tanzania hayana limit, hata ikitoka kashfa ya namna hiyo, so what? hakuna atakaelipishwa wala kushtakiwa wala kustaafishwa, kwa nini wasile?

nchi haiwezi kutengenea mpaka pale nguvu za mahakama zitapo tawala na sio vyama vya siasa
 
Juzi hapa kuna mtu aliandika hata Zitto ana gari lingine la serikali kwasababu ni naibu msemaji mkuu wa kambi ya upinzani. Upuuzi mtupu!

Hao CCM na upinzani hawana tofauti yoyote,

Mtanzania,

Kwanza mie si Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni. Mimi ni Katibu wa Kambi ya Upinzani Bungeni. Sina gari ya serikali. Nina gari zangu binafsi, moja kutokana na Ubunge na mbili kutokana na mapato ya kazi zangu za 'consultancies' ambapo moja tayari nimeiuza.

Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni ni Dr. Slaa na pia hana gari ya serikali. Mwenye gari ya STK ni Hamad Rashid Mohamed ambaye ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB). Kwa mujibu wa kanuni za Bunge, KUB ana hadhi ya Uwaziri.Ninavyojua ndugu Hamad Rashid hana gari ya Ubunge, yaani hakuchukua mkopo wa magari.

Nadhani ufafanuzi huo utaweka mambo sawa Mtanzania
 
Mheshimiwa Zitto,

Asante sana kwa ufafanuzi wako na nashukuru kwa ku clarify hili jambo ambalo mimi lilikuwa linanisikitisha kama lingelikuwa kweli.

Kwa maana hiyo hoja yangu ya mwanzo haikuwa sahihi maana ilijengwa kwa data ambazo hazikuwa sahihi.

Samahani sana kama kwa njia yoyote hoja yangu imekuudhi wewe au mtu mwingine yeyote ambaye ameisoma.
 
Waziri ni mbunge na alikuwa na shangingi lake jipya, je kweli kulikuwa na haja ya kununua gari lingine? Si afadhali angelilipwa
pesa kidogo kila mwezi ili aendelee kutumia gari lake kwa shughuli za serikali?

Tanzania pesa tunazo ila matumizi yake ndio yametushinda.

Juzi hapa kuna mtu aliandika hata Zitto ana gari lingine la serikali kwasababu ni naibu msemaji mkuu wa kambi ya upinzani. Upuuzi mtupu!

Hao CCM na upinzani hawana tofauti yoyote, lao moja inapokuja kwenye maslahi yao. Hivi kweli wasemaji wa upinzani wanahitaji gari za serikali? Wanaweza wakapata extra money kurahisha utendaji wa kazi zao lakini sio gari mpya, ofisi mpya, wafanyakazi wapya nk.

Zitto siyo naibu msemaji na pia huwa naibu msemaji hana gari la serikali. tafit then jadili.
 
Waziri ni mbunge na alikuwa na shangingi lake jipya, je kweli kulikuwa na haja ya kununua gari lingine? Si afadhali angelilipwa
pesa kidogo kila mwezi ili aendelee kutumia gari lake kwa shughuli za serikali?

Siku hizi wabunge wanakopesha hela, hawakopeshwi magari, kwa hiyo sio lazima Mbunge awe na shangingi...

Ni masahihisho...
 
Back
Top Bottom