Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kitendo chako cha kumpitisha Mwinyi kuja kuwa mgombea ZANZIBAR, WAZANZIBAR wengi tulikipinga sana sana si wachama wa chama tawala (CCM) Wala wapinzani (ACT-WAZALENDO) wote walipinga na kubwa...
12 Reactions
38 Replies
3K Views
Hakika Viongozi wetu Madaraka mliyonayo ni kama Kileo mnapozidisha lazima milele hebu yatumieni kwa kiasi.Mlio wengi Mmeapa kwa kutumia VITABU VITAKATIFU na Kumtaja MUNGU kuwa AWASAIDIE inakuwaje...
1 Reactions
9 Replies
833 Views
Niliwahi kuandika mwaka 2016 kumsihi Mheshimiwa Rais Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli kwamba asizihamishe Hospitali za Rufaa za Mikoa kutoka TAMISEMI kwenda Wizara ya Afya, kwa sababu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Karibu sana Yusuph Manji na Wadau wengine ambao iliwabidi muondoke nchini kutokana na kuwa na mazingira magumu wakati ule. Sasa kumenoga. Tumempata Rais ambaye hana neno na mtu. Mpole,mama na...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Wasalamu, Hili swali najiuliza hivi huu utamu wa madaraka, na kujihisi upo mbinguni (Kinga), ukiamua unarithisha Watoto, vimada na wapambe wako, wengine hadi Waganga wao? Ukweli Kwa mama yetu...
0 Reactions
6 Replies
968 Views
Itoshe tu kusema kuwa kiongozi mzuri utoka kwa Mungu. Mh Mbowe amekuwa ni nguzo imara sana ya upinzani hapa Tanzania na kuna baadhi ya maneno yake aliyo yatoa kwenye hotuba zake leo hii...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Rais Samia. Tafadhari sana. Wakuu wa wilaya wenye tabia ya Sabaya ni wengi. Wilaya nyingi watu wana vilio vya wakuu hawa ambao walikula michango ya wananchi na hasa kwenye ujenzi wa maabara na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake. Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu. Mungu atalipa! Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi...
11 Reactions
56 Replies
4K Views
Chama Cha Mapinduzi katika utaratibu wake wa kuisimamia serikali kimetoa maelekezo kwa Wizara ya Fedha na Mipango kuelekea uwasilishaji wa Bajeti yake ya mwaka wa fedha 2021/2022 kwa kuzingatia...
3 Reactions
6 Replies
874 Views
Namalizia Wine yangu nirudi nikalale! Nikakukumbuka hili, nikaona wine yangu isiishe bure. Eti MATAGA leo ndio wanailalamikia PCCB, POLICE na Mahakama kuwa "hawamtendei haki" Sabaya! Nikacheka...
21 Reactions
14 Replies
2K Views
1. Kwanza tujiulize, KATIBA ni nini? 2. Herufi hizi tatu.....Ka, Te na Be, ukizibadilisha irabu, utasoma maneno mengine. K.v...... KITABU, KATIBU, KUTUBU n.k; badala ya neno LA awali KATIBA 3...
0 Reactions
1 Replies
844 Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kupitia majibu yake bungeni ametuarifu kuwa Serikali imeruhusu usafirishaji wa makinikia nje ya nchi. Usafirishaji wa haya makinikia nje ya nchi ndio ililteta mgogoro...
13 Reactions
62 Replies
7K Views
Sjafurahishwa na upuuzi wa leo wa gazeti la MAWIO kumwonesha eti DC Paul Makonda akimfunga viatu Ridhiwani. Huu ni udhalilishaji kabisa na kutaka kumshusha hadhi ndugu Makonda, akiwapiga ndani...
4 Reactions
465 Replies
72K Views
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Sarah Msafiri akiwa na kamati ya Ulinzi na usalama wamebaini nyumba iliyopo mtaa wa Ugindoni iliyotandazwa mashine zinazotumika kuchimba visima vya maji lakini badala...
26 Reactions
216 Replies
22K Views
Sabaya kupelekwa mahakamani ni jambo moja, na kitachojiri mahakamani, ni jambo lingine na ambalo ndio la msingi zaidi. Hivyo, tujipe muda badala ya kufurahia kuwa haki imetendeka. Kumbukeni...
13 Reactions
85 Replies
8K Views
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Takukuru kila siku tuhuma za Ole Sabaya zinazidi kuongezeka na ndio maana bado anashikiliwa na Takukuru. Sabaya na wenzake saba ambao alikuwa akishirikiana nao...
17 Reactions
107 Replies
10K Views
TAARIFA KWA UMMA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amefanya kikao cha utambulisho na watumishi wote wa CCM wa Makao Makuu Dodoma. Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 4...
0 Reactions
1 Replies
554 Views
Napata Wakati mgumu kujua kimfumo ni Kiongozi yupi anayebeba maono au vision nzima ya mkoa au jiji? Najiuliza kwa sababu juzi wameteuliwa wakuu wa Mikoa na niliamini wao ndio wasimamizi wa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. George Simbachawene, amesema kuwa mwananchi kuwa na kutambulisho cha NIDA haina maana kwamba hicho ndicho kinachoonesha uhalali wa uraia wake kwani...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom