Sakata la Sabaya tusilipime kwa yeye kufikishwa Mahakamani

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,085
144,518
Sabaya kupelekwa mahakamani ni jambo moja, na kitachojiri mahakamani, ni jambo lingine na ambalo ndio la msingi zaidi. Hivyo, tujipe muda badala ya kufurahia kuwa haki imetendeka.

Kumbukeni: Zimwi likujualo, halikuli likakwisha.

Mwisho, tujiulize Sabaya aliyatenda haya bila kuwa na baraka za mtu au watu fulani?

Na hao TAKUKURU watakuwa tayari kuwasilisha ushawishi au maelezo yatayohusisha waliokuwa wanamtuma (kama alikuwa anatumwa?)

Na vipi Sabaya akiamua kuweka kila kitu hadharani in case alikuwa anatumika?

Nitakuwa wa mwisho kuamini aliyatenda haya pasipo vyombo vya dola vilivyodhibiti ujambazi kuyajua.

Time will tell.
 
Sabaya kupelekwa mahakamani ni jambo moja, na kitachojiri mahakamani, ni jambo lingine na ambalo ndio la msingi zaidi. Hivyo, tujipe muda badala ya kufurahia kuwa haki imetendeka.

Kumbukeni: Zimwi likujualo, halikuli likakwisha.
Hachomoki huyu ..
Bastola zilizomlinda madarakani asidhurike sasa zinamlinda polisi asitoroke
IMG-20210604-WA0111.jpg
IMG-20210604-WA0101.jpg
 
Kama kweli watz tunampango wa kuendelea na amani yetu,huyu bwana tuachane nae coz naona suport aliyonayo mitaani ni km trump
 
Hili sakata lina shuhuda nyingi sana dhidi ya Ole
Kama ni za kweli amevuruga na hachomoki.... kama zimetengenezwa kuna watu wataamia
Muda utasema
 
Sabaya kupelekwa mahakamani ni jambo moja, na kitachojiri mahakamani, ni jambo lingine na ambalo ndio la msingi zaidi. Hivyo, tujipe muda badala ya kufurahia kuwa haki imetendeka.

Kumbukeni: Zimwi likujualo, halikuli likakwisha.

Mwisho, tujiulize Sabaya aliyatenda haya bila kuwa na baraka za mtu au watu fulani?Na hao TAKUKURU watakuwa tayari kuwasilisha ushawishi au maelezo yatayohusisha waliokuwa wanamtuma(kama alikuwa anatumwa))?
Mkuu unawaza kama mimi! Mimi mpaka leo najiuliza swali! Kwa nini alikamatwa na kitambulisho feki cha TISS harafu akaachiwa?
Anyway kwa kuwa nin Utawala mwingine ngoja tuone!
 
Sina imani na hawa watu. Jiulize mbona Biswalo kaachwa?
 
Sabaya kupelekwa mahakamani ni jambo moja, na kitachojiri mahakamani, ni jambo lingine na ambalo ndio la msingi zaidi. Hivyo, tujipe muda badala ya kufurahia kuwa haki imetendeka.

Kumbukeni: Zimwi likujualo, halikuli likakwisha.

Mwisho, tujiulize Sabaya aliyatenda haya bila kuwa na baraka za mtu au watu fulani?Na hao TAKUKURU watakuwa tayari kuwasilisha ushawishi au maelezo yatayohusisha waliokuwa wanamtuma(kama alikuwa anatumwa))?

Na vipi Sabaya akiamua kuweka kila kitu hadharani in case alikuwa anatumika?

Nitakuwa wa mwisho kuamini aliyatenda haya pasipo vyombo vya dola vilivyodhibiti ujambazi kutoyajua..

Time will tell.
Kwahiyo tayari una HUKUMU yako kichwani?

Ikitokea ikawa tofauti na unavyotaka utaanza kujambajamba.

Hivi wafuasi wa Mbowe mna akili timamu kweli ?
 
Kama kweli watz tunampango wa kuendelea na amani yetu,huyu bwana tuachane nae coz naona suport aliyonayo mitaani ni km trump
Jamhuri ni dubwasha fulani hivi ambalo kama hulijui unawezataka kucheza cheza nalo kama unavyofanya hapa. Amani ya nchi haipo juu ya mtu mmoja.
 
Back
Top Bottom