Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Napata Wakati mgumu kujua kimfumo ni Kiongozi yupi anayebeba maono au vision nzima ya mkoa au jiji? Najiuliza kwa sababu juzi wameteuliwa wakuu wa Mikoa na niliamini wao ndio wasimamizi wa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. George Simbachawene, amesema kuwa mwananchi kuwa na kutambulisho cha NIDA haina maana kwamba hicho ndicho kinachoonesha uhalali wa uraia wake kwani...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
CHEO NI DHAMANA! Wazo la Wiki: Mojawapo ya madhara makubwa kabisa chini ya utawala wetu wa sasa ni fikra za baadhi ya viongozi kuamini kuwa kuongoza ni haki yao. Kwamba "cheo ni dhamana" na...
19 Reactions
32 Replies
5K Views
Moja kati ya wakuu wa Mikoa wenye hekima na busara ni huyu RC wa Dodoma ndugu Mtaka Wakati wa kikao cha kuwekeana mkakati mkoani Dodoma RC Mtaka amesisitiza uongozi unapatikana kwa kuchaguliwa...
35 Reactions
73 Replies
8K Views
Najua leo hii wengi wanapata utulivi baada ya kuona Sabaya akipandishwa kizimbani. Naiona hii haitoshi kwa sababu hatujaona mbele hukumu itakuwaje. Huenda itaibua mapya mengi na mengine yakiwahusu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza kabisa nimpongeze DC wa Kigamboni kwa swala zima la kuwabaini wezi wa mafuta kwenye mabomba ya mafuta ya mamlaka ya Bandari tanzania (TPA) kule Kigamboni cha kushangaza kabisa eti TPA nao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAELEKEZO YA CHAMA KWA SERIKALI KATIKA WIZARA YA FEDHA Chama Cha Mapinduzi katika utaratibu wake wa kuisimamia serikali kimetoa maelekezo kwa Wizara ya Fedha na Mipango kuelekea uwasilishaji wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasau wa JF, Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa...
4 Reactions
109 Replies
9K Views
Ni wazi kuwa vitendo vya viongozi hawa dhidi ya raia vilikuwa ni vya kidhalimu sana. Nchi ilitikisika na kupata doa la Kimataifa hata baadhi ya misaada ikasitishwa! Ili Serikali ionekane...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni ukweli ulio wazi ya kua Nchi yetu pendwa Tanzania ilikuwa inadidimia kwa kasi katika ktk suala la haki za raia wake. Mathalani ilikuwa imekua vigumu kwa watu kupaza sauti zao hata katika mambo...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Arusha, Hatimaye mkuu wa wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, Alexander Mnyeti ameamua kufunguka kuhusu sakata la kununuliwa kwa baadhi ya madiwani wilayani humo na kukiri kwamba serikali imewanunua...
0 Reactions
175 Replies
22K Views
WAKATI mwingine huwa nastaajabu mambo ya Watanzania. Sidhani kama kuna mtu atapiga hatua yoyote kimaendeleo hapa nchini, endapo atakuwa anawasikiliza Watanzania. Ipo mifano mingi ya kueleza tabia...
7 Reactions
25 Replies
6K Views
Mbunge wa Viti Maalum Grace Tendega amesema uamuzi wa Tanzania kutoruhusu uraia pacha kunaikosesha fursa nyingi za kiuchumi. Tendega ametoa kauli hiyo leo Jumanne, Juni 1, 2021 bungeni wakati...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Hatmaye CCM wameanza kuumizana wao kwa wao "kiukweli-ukweli!" Nasema kiukweli-ukweli kwa sababu kabla wana CCM walikuwa wakiumizana huku waki-fake kuumizana kwao kwa dhana ya "huyu ni mwenzetu."...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kiukweli Ole Sabaya wa Hai na Kakoko wa TPA walipendwa sana na hayati Magufuli lakini ndio wamekuwa watendaji wa mwanzo kabisa kuichafua Serikali ya Awamu ya 5 kwamba na yenyewe ilikuwa na...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Picha hii ni ya mwaka 2010, Wa tatu kwa waliokaa kutoka nyuma ni Kassim Majaliwa ambaye wakati huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji. Majaliwa hakuwa hata mbunge wakati huo. Nyuma ya Majaliwa ni...
13 Reactions
105 Replies
21K Views
Uteuzi wa Kangi Lugola kuwa Naibu Waziri na sasa Waziri wa Mambo ya Ndani. Huyu alishtakiwa kwa kesi ya kupokea rushwa mahakamani na TAKUKURU. Jamhuri ikawasilisha hati mahakamani ya kutokuwa na...
8 Reactions
20 Replies
4K Views
Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha CHADEMA, Esther Matiko amelalamikia gharama kubwa za umeme Tanzania huku akitolea mfano wakazi wanaoishi Kagera na kutumia umeme kutoka Uganda wanalipia...
9 Reactions
58 Replies
6K Views
Teua/tengua aifanyayo Rais na Mwenyekiti wangu Dr. John Pombe Magufuli haina taswira nzuri. Huonesha na kutonesha 'udhaifu' katika teuzi. Kitendo cha Mteule 'kuchongewa' mbele za Mteuwa wake na...
11 Reactions
39 Replies
3K Views
Wakuu msituchoke, tuliahidi kuwafikishia kila kitu kitakachojiri kwenye ziara za Mkakati mpya wa CHADEMA inayoitwa OPERESHENI HAKI, hii ni kampeni ya kuchagiza upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom