Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,368
- 23,305
Karibu sana Yusuph Manji na Wadau wengine ambao iliwabidi muondoke nchini kutokana na kuwa na mazingira magumu wakati ule.
Sasa kumenoga. Tumempata Rais ambaye hana neno na mtu. Mpole,mama na dada pia. Huu ni wakati wa kurudisha kile kilichopotea.
Na watu wengine mlio nje njooni mje muwe wawekezaji hii nchi ina mali ambazo zinapaswa kupakuliwa. Njooni watu walikuwa hawana kazi mje muwape kazi sasa.
Karibuni sana. Na ASANTENI KWA KUJA.