Hongera sana Mbowe unajua

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,601
94,726
Itoshe tu kusema kuwa kiongozi mzuri utoka kwa Mungu.

Mh Mbowe amekuwa ni nguzo imara sana ya upinzani hapa Tanzania na kuna baadhi ya maneno yake aliyo yatoa kwenye hotuba zake leo hii yanaonekana kutimia.

Mbowe kweli wewe ni mbeba maono na Mungu daima atakulinda kukuepusha na makucha na hasira za watu wabaya.

Mtu wa Hai anaenda kusomewa mashitaka Arusha ili iweje?

Hai hamna mahakama? Na mkoa wa Kilimanjaro je?

Wameogopa mafuriko ya watu mahakamani.

Mahakamani ni sehemu ya kutoa haki kwa hiyo ni vizuri amepelekwa huko ili sasa akina Mbowe wawe wanaenda mahakamani kutoa ushahidi juu ya madai yao. Mbowe asipoenda kutoa ushahidi mahakamani tutajua ni unafiki tu

Hata Mbowe alikaa Segerea kwa miezi nne na madawa ya kulevya yakaisha mtaani
 
Itoshe tu kusema kuwa kiongozi mzuri utoka kwa Mungu.

Mh Mbowe amekuwa ni nguzo imara sana ya upinzani hapa Tanzania na kuna baadhi ya maneno yake aliyo yatoa kwenye hotuba zake leo hii yanaonekana kutimia.

Mbowe kweli wewe ni mbeba maono na Mungu daima atakulinda kukuepusha na makucha na hasira za watu wabaya.View attachment 1808452
Hiyo attachment haifunguki mkuu
 
Kipindi cha mwendazake kama tungekuwa na mwenyekiti dhaifu leo hii Cdm isingekuwepo na pengine mwenyekiti angeunga juhudi mkono
 
IMG-20210605-WA0007.jpg
 
Mtu wa Hai anaenda kusomewa mashitaka Arusha ili iweje?
Hai hamna mahakama? Na mkoa wa Kilimanjaro je?...
Wewe kweli kiazi
Unaambiwa huyo tapeli kafanya uharifu hadi nje ya wilaya yake

Lakini kama angeshitakiwa Hai watu wangejaa kushuhudia kama huyo jambazi yuko ndani ya pingu
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom