Mungu atalipa!

Mungu atalipa!

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,403
Reaction score
2,550
Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.

Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.

Mungu atalipa!

Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.

Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.

Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.

Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.

Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.

Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.

Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.

Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.

Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..

Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.

#IStandWithSabaya
 
Naunga mkono hoja watanzania hatujui tunataka Nini sabaya alipiga kazi mno wafanyabiashara wahuni walikoma nimeona video zake Facebook jinsi anavyoibua wakwepa Kodi kijana huyu hawezi kufungwa..nasimama na makonda, Magufuli na sabaya milele
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] ndege JOHN wewe na serikali nani anajua zaidi?
 
Hahahahahahaha Mungu kawalipeni nyie mataga hebu tafakari Yule fashisti na mduli angekua hai Leo hii akina sabaya ndo wangekua ma RC pamoja na kutesa kote raia

Nyie ni manyama sana.
 
Twapasa kumshukuru sana MUNGU kwa kumleta Jiwe kwenye kiti Cha urais

Hakika kwa Sasa ni jambo jepesi Sana kumtia mgonjwa, mfungwa moyo anapokuwa amekata tamaa, ukimkumbusha yuko wapi jiwe , yule MUNGU wa duniani, anayeenda kuongoza malaka?

Jiwe ni mpango kamili wa MUNGU ili tuweze kujua yatupasa kumtegemea MUNGU wa mbinguni kwa kila Jambo

MUNGU amedhihirisha Ni kivipi anaweza kututoa mikononi mwa Simba kwa njia ya ajabu

Ubishi hamna tena ni wazi MUNGU wa mbinguni yupo ...bila yeye sijui ingekuwaje huyu jiwe angetukaanga
 
Naunga mkono hoja watanzania hatujui tunataka Nini sabaya alipiga kazi mno wafanyabiashara wahuni walikoma nimeona video zake Facebook jinsi anavyoibua wakwepa Kodi kijana huyu hawezi kufungwa..nasimama na makonda, Magufuli na sabaya milele
Wewe umeona Facebook aliyofanya na mama kaona whatsup mabaya alaiyofanya sabaya Sasa tuchukue la Nani hapa ?

Malipo hapahapa dunian 7baya alidhan stone ataish milele

Akasahau andiko la Mungu linalosisitiza kutomtegemea binadamu mwenzio

MALI NA VYEO NI VYA KUPITA TU

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.

Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.

Mungu atalipa!

Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.

Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.

Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.

Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.

Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.

Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.

Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.

Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.

Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..

Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.

#IStandWithSabaya
U mjinga sana wewe kufikiri Magufuli au Sabaya walikuwa watu wazuri usisahau visa vingi vya kutekwa, kuteswa, kuumizwa na kuuwawa kwa makumi ya watanzania wasio na hatia!

Kwanza ujue Mungu aliona uovu mkubwa wa Magufuli na Sabaya ndio maana leo hii watu hao hawapo tena….

Sabaya amefanya ujambazi mkubwa kule Hai ni mpuuzi tu atatetea ushenzi kama ule.

Hivi aliyeagiza Sabaya asimamishwe ni Mbowe au Samia ambaye alikuwa boss wa Sabaya? Au wewe ni sukuma gang nini?!!!
 
Serikali ni nani?
Kama serikali ilishindwa kuwakamata kina Rugemalila kwa ufisadi enzi hizo...na with waliwajua kuwa wamehusika, we unadhani kati ya serikali na huyu jamaa nani anajua? Tofautisha serikali kwa ajili ya watu wote na serikali kwa ajili ya wachache.
Lete ushahid Kama rugemalila anamakosa toka akamatwe had mwendazake anakata mafuta hajahukumiwa uchunguzi Bado

Huon Kama anaonewa miaka mingap imepita hajahukumiwa sheria inasemaje juu ya hili?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe mleta mada ni miongoni mwa mabaunsa wa Sabaya. Ninyi ndiyo mlipora, mkauwa na kubaka wanawake

Sasa mnashinda mitandaoni kumtetea bosi wenu mkidhani kwa kufanya hivyo atahurumiwa. Hata akiachiwa Sabaya hataishi, bora aendelee kukaa gerezani.
 
Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.

Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.

Mungu atalipa!

Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.

Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.

Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.

Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.

Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.

Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.

Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.

Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.

Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..

Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.

#IStandWithSabaya
Omba toba. Usilitaje jina la Mungu katika kuutetea uovu, unafanya kufuru kuu. Kumkufuru Mungu kwaajili ya kumtetea mwanadamu mwovu, sijui kama umefikiria hasira ya Mungu.
 
MWENYEZI MUNGU ni hakimu wa haki.....

MWENYEZI MUNGU anachukia uonevu wa mtu yeyote kumfanyia yeyote.....

Na ni kweli usemacho kuwa MUNGU MWENYEZI anahukumu kwa HAKI juu ya kila nafsi.....

Magerezani wako wahalifu na wako walioonewa ,kubwa ni kuwa MUNGU MWENYEZI yuko nao kila hatua.....

Kuna mwanafalsafa mmoja alipata kusema kuwa "hata kama nimeonewa na dunia nzima ,hata kama nitakufa katika hukumu ya huo uonevu basi maaumivu nitakayoyasikia wakati ninanyongwa ni ya muda tu ,kwani KIFO kitakuwa ndio pumziko langu kuelekea mahakama ya mbinguni isiyo na upendeleo... ".

Kama comrade Sabaya anaonewa basi MWENYEZI MUNGU anajua....

Kama Comrade Sabaya anahusika na tuhuma alizopewa basi pia MWENYEZI MUNGU anajua......

NOTE:

MAHAKAMA YA MUNGU MWENYEZI WALA HAINA HAJA NA PROPAGANDA ZOZOTE ZA KISIASA ZA SISI WANADAMU

#KaziIendelee
#NchiKwanza
#MaadiliMemaNiLazima
#SiempreJPM
#SiempreSSH
#HastaLaVictoriaTanzania
#HastaLaVictoriaCCM
 
Asee!

Na Mungu alipe kisasi kweli.Maana ukiua kwa upanga utauwawa kwa upanga.
Sasa yanapokurudia maovu uliyofanya halafu unajidai kumlilia Mungu ni kichekesho.

Kama damu za watu zinawalilia,mtazilipa hadi kizazi chenu cha nne.

Mwogopeni Mungu.Maana kuna watu mlishajikabidhi majukumu ya Mungu.Mkajitwalia hata utukufu wake.Lakini Mungu anabaki kuwa Mungu.
Huwezi jua vilio vilivyomfikia Mungu jinsi vilivyohitimisha udhalimu huo.
Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.

Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.

Mungu atalipa!

Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.

Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.

Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.

Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.

Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.

Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.

Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.

Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.

Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..

Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.

#IStandWithSabaya
 
Kwa kila jambo linalotendeka juu ya uso wa dunia...itatolewa hesabu yake.

Biblia inasema kisasi ni cha Mungu na sio mwanadamu.

Mungu atalipa!

Mungu alimleta JPM kama fundisho japo kwa ufupi atuoneshe ni kwa jinsi gani nchi ilimilikiwa na watu binafsi kwa manufaa ya yao.

Alifanya mambo ambayo wapinzani wa enzi za awamu za nyuma walijizatiti kuyatimiza endapo watapewa nafasi.

Alipambana na kila mtu kwa maslahi ya nchi yake...hakujali kuchukiwa na wachache wenye nguvu ya kiuchumi waliokuwa wakila mema ya nchi kwa jasho la wanyonge.

Kama binadamu, alikuwa na mapungufu yake...ila ni haki kupongezwa kwa kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi aliokuwa madarakani yamkini kuzidi hata watangulizi wake waliokaa miaka kumi na wengine kumi na ushee.

Aliwapa vijana fursa ya kuongoza maana vijana ni watu wenye nguvu sana. Alimteua Sabaya kuwa mkuu wa wilaya ya Hai; wilaya ambayo kiuhalisia ilikuwa na changamoto sana katika masuala ya biashara haramu na ujambazi.

Kwa kuamini anafanya yampasayo kutenda, kijana aliingia kazini na kupambana na kila mtu bila kujali nyazifa yake.

Alichukiwa na wengi hasa baada ya kusababisha mwenyekiti wa chama kikuu cha wapinzani kuangukia pua katika uchaguzi uliopita.

Siasa za ukabila zikaanza kuoteshwa ili tu kijana huyu wa kimasai mwenye rungu katikati ya wachaga aonekane mbaya.

Leo kijana kwa kufata maneno ya mitandaoni na shuhuda za uongo ametengenezewa kesi nzito ili tu apotee..

Ngojeni niwahakikishie...atatokea kiongozi mwingine nje ya huu Mungu atamtumia kulipa kisasi kwa haya yanayoendelea.

#IStandWithSabaya
Unaliongelea lile dicteta. Haya tuambie tili 1.5 ilienda wapi
 
Ndio keshaanza kulipa hivyo, Mwendazake tayari keshalipwa Sabaya malipo yake tayari bado wewe na Makonda.
 
Back
Top Bottom