Mungu ni mwema wana jamvi .[emoji120]
Nawasalim
Kwa unyenyekevu mkubwa kabisa napenda kuwasilisha uzi huu mahususi nikimlenga moja kwa moja Man of the match POLISI SALUM RASHID HAMDUNI.
Kwa mara...
Wasalauumu wakuu!!
Uzi huu nilianza kuuandaa wakati Mama Samia anaenda Kenya, lakini sikuweza kuumaliza kwa wakati, nimeamua niuweke kwa sasa, japo muktadha wa sasa haupo kuijadili Kenya, ila...
Sasa hivi katika mitandao ya kijamii
Kuna kundi ambalo linaweka mijadala mingi ya kumlinganisha Raisi huyu utendaji wa Marehemu Magufuli
Hili kundi linaongozwa na Veronica France
Ni kama kundi...
Kutokana na maisha kuwa na mapito mengi, hata watu maarufu katika jamii wanajikuta hatiani. Mfano wanasiasa, wafanyabiashara maarufu, wasanii, wachezaji, machifu nk.
Je, watu hawa wakiwa Mahabusu...
Kabla ya uchaguzi wa Umoja wa vijana kulizuka mvutano,wa makundi yanayotaka kuwepo kwa mtu wao hususan kutoka bara. Ndipo Rais akaleta mamuzi kiongozi apatikane kutoka zanzibar ili kutuliza hali...
Nafahamu sera ya CCM inahimiza kuwalea wasanii katika tasnia zote ili waweze kufikia viwango na mafanikio ya kimataifa.
Ndio maana unawaona akina Samatta, Msuva, Diamond nk nk wakitoboa.
Sera za...
Nimesikitishwa na hotuba ya mwenyekiti wa chadema ndugu Freeman Mbowe,baada ya kuona kipande cha hotuba hiyo akimtuhumu Magufuli kuwa alikuwa na mpango wa siri kuwabagua watu wa Kaskazini na...
Hakika aliyoyafanya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya hai ni ushahidi tosha kuwa uteuzi wa viongozi mbalimbali bado una kasoro nyingi sana. Pamoja na kuwa vijana wapewe nafasi lakini sio vijana wa aina...
Naona wakati umefika tuweke kigezo cha umri kwa watu wanaoteeuliwa kushika nafasi au madaraka makubwa serikalini na katika Utumishi wa umma.
Katika nchi yetu, uteuzi hufanywa zaidi na Raisi na...
Habari wadau wa jamiiforums
Naomba nikiri kuwa Mimi nimuathirika wa wa utapeli kwa njia ya mtandao.
Mnamo tarehe tatu mwezi Juni 2021, nilipgiwa simu na mtu ambaye alikuwa kwenye ofisi...
Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mh Ole Sabaya amesema wanaccm wa Arusha wana kandarasi za majungu na ikitokea siku wakamshangilia au kumpongeza atajua anguko lake la kisiasa liko karibu.
Sabaya amesema...
Akizungumza na Mwananchi, Peter John ambaye ni mkazi wa Wilaya ya Hai alidai waliwahi kwenda ofisini kwa Sabaya ili wasaidiwe kusaidiwa kutatua mgogoro wa umiliki wa ardhi, lakini akatakiwa atoe...
CCM pamoja na historia ndefu ya kutokea TANU, Pamoja na kwamba ipo madarakani miongo kadhaa, haijui maisha nje ya utawala, bado ni chama dhaifu sana kiasi kwamba hakiwezi kusimama chenyewe bila...
Wote hamkumwelewa Samia,
Samia kasema kwamba hata tukimpigia kura Tundu Lissu CCM ndiyo watakaoendesha serikali. Bahati mbaya wengi wetu hawajaielewa hii kauli anamaanishanini. Wengi wanamtukana...
KAMATI YA MAADILI: Baadhi ya watu kutaka kuwaaminisha umma wa Watanzania kwamba mgombea huyo ameadhibiwa na tume ya Taifa ya uchaguzi, ukweli ni kwamba bwana Lissu ameadhibiwa na kamati ambayo...
Nilishauri hapa Jamii Forums kwamba Bunge na Serikali vimjibu mbunge wa Singida mashariki mh Tundu Antipas Lisu kwa kutumia media zilezile za kimataifa ambazo yeye anazitumia kuishambulia...
Jana nimesoma memo ya Benki Kuu ya Rwanda wakipiga marufuku utapeli wa kimtandao unaokwenda kwa jina la D9 Club kwa sababu wameeleza ni Pyramid Scheme/Ponzi Scheme ambapo wale waliotangulia huwa...
Naandika hili andiko nikitumia haki yangu ya kikatiba kutaka kujua rais Magufuli yupo wapi...Tuna haki ya kujua maana hatujui aliko na kwenye Ikulu zote mbili hajaonekana kwa zaidi ya mwezi na huu...
Ukiwauliza wengi wao hawajui hata walichoropoka vipi kwenye mdomo wa Mamba , wanaamini Mungu ndiye alipenda wawepo hai hadi leo
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Leo RC Makalla amekaa na madiwani kuwaelezea nia yake ya kuwapanga upya wamachinga ktk jiji hili la kibiashara
Chanzo: ITV habari
Wamachinga walipewa Uhuru usiyokuwa na mipaka kiasi kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.