Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kubwa lijalo sasa Zanzibar kuna mhaho mpya wa kutaka kujua tafsiri ya Mzanzibari mkaazi ni nini maana yake na hata kufika ktumika katika vitambulisho vya utaifa wao? Mbona huku Tanganyika hakuna...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, David Silinde amesema serikali inatoa elimu bila ada sio elimu bure hivyo wazazi washiriki katika kutoa michango mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya...
1 Reactions
50 Replies
8K Views
ALL PATRIOTS SHOULD SUPPORT PRESIDENT SAMIA By: Jenerali Ulimwengu Back in the mid-1990s a group of us who served in parliament got into the habit of meeting old man Julius Nyerere at his...
39 Reactions
145 Replies
13K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amepokea salam za pongezi kwa niaba ya CCM kutoka kwa mwanasiasa mkongwe nchini na mbunge mstaafu Mzee Crisant Mzindakaya. Katibu Mkuu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda, amesema hajui chochote kile kuhusu kudaiwa au makontena yaliyokamatwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Hivi karibuni Mamlaka ya Mapato (TRA)...
28 Reactions
473 Replies
105K Views
Niliwahi andika humu nikionya kwamba Sera mbovu za kodi na viwanda inaenda kusababisha kufungwa kiwanda cha Tumbaku Moro na hivyo kupelekea kupoteza zaidi ya ajira 1000 za moja kwa moja. Wapiga...
13 Reactions
34 Replies
5K Views
Hotuba ya Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo kwa Kamati Kuu Juu ya Hali ya Siasa Nchini Tanzania Ndugu Mwenyekiti wa Chama Taifa, Ndugu Makamu Wenyeviti, Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Jimbo la Tabora Mjini ni miongoni mwa Majimbo ambayo yametoa wasaliti wa Covid 19 , Hawa Mwaifunga anatokea Jimbo hili , hivyo ni lazima kuwekwe mikakati maalum kwenye jimbo hili , na ndio maana...
11 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimeona aibu sana na niliondoka kimya kimya huku nikisononeka inakuwaje Rais wa Nchi anajidhalilisha kwa mcheza mpira? Au ndio ukisikia itifaki imezingatiwa ndio huku? Tena kwa red carpet kesho...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Wakuu Hivi Kumbe Hela Ya Matumizi Ya Kawaida Inakuwaga Kubwa Kuliko Hela Ya Maendeleo Kwenye Budget? ..... Ebu angalia Kama Hili Jambo, Tril.1 maendeleo na Tril.11 matumizi ya kawaida.
1 Reactions
6 Replies
921 Views
Kuanzia leo tarehe 6-6-2021, kupitia CHADEMA Digital App, nimefanikiwa kwa mara ya kwanza kuwa mwanachama wa chama Cha siasa hapa nchini kwetu Tanzania. Mwaka jana, 2021 ilikaribia kidogo niwe...
36 Reactions
82 Replies
6K Views
Mashtaka yako uliyosomewa ni madogo sana, Sabaya ulipaswa kukaa Gereza lenye Mateso makubwa na kazi ngumu hasa yale magereza ya Kilimo Kikosi chako maalum cha mabaunsa kimevunja watu miguu na...
19 Reactions
94 Replies
9K Views
Hodi wanajamvi, Ambaye hajachoshwa na Ndugai anyoshe mkono ama afanye kama anajikuna tu ili tumuone hapa. Sipika wetu Ni Kati ya watu wasioweza kusimama Kwenye msimamo mmoja. Kipindi cha Hayati...
2 Reactions
41 Replies
4K Views
Siku chache zilizo pita tulipata shida ya LUKU kununua umeme mitandaoni. Mh. Waziri mkuu akaenda Tanesco na kuondoka na wataalam wa IT. Tulidhani suluhisho limepatikana. Leo tena kuna shida ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu Zangu naomba kueleweshwa kidogo, nataka kufahamu Je Bunge Lina vikao vingapi kwa mwaka? Na Pia wanavyosemaga bunge la 12, au bunge la 10 huwa wanamaanisha nini?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Bunge lazima liwajibike katika kusimamia Serikali ili ije na Bajeti ambayo inatekelezeka kwa asilimia 100 huku ahadi zinazotolewa nazo zikitekelezwa...
9 Reactions
27 Replies
3K Views
Sakata la watumishi waliofukuzwa kazi kwa vyeti feki limetinga bungeni baada ya mbunge wa viti maalumu Halima Mdee kuhoji nini mstakabadhi wa malipo ya mafao yao. Mdee amehoji hilo leo Jumatatu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hii ndiyo Taarifa mpya kutoka Tabora , Kwamba Mwamba Mbowe akiwa katika harakati za Operesheni Haki huko Kanda ya Magharibi, amevamiwa na Kundi la Mama Lishe huku wakimtaka kupiga nao picha ya...
22 Reactions
61 Replies
5K Views
Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza bungeni alipokuwa akiwaonya wabunge kutoleta taarifa za kutambulishwa bungeni waume au wake za watu wakidai ni waume au wake zao, alipokuwa akiongoza kikao...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Back
Top Bottom