Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nchi yetu inashuhudia tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa sasa. Basi kutokana na shule nyingi za umma kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi basi ni vyema kuajiri Manesi kwa ajili ya kutoa huduma ya...
1 Reactions
4 Replies
782 Views
Wadau wa JF Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Philip Isdor Mpango leo Juni 08,2021 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kwenye kumbukizi ya mwaka...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Nyerere aliuza utu na utaifa wetu kwa Wazanzibari. Leo mwanafunzi wa kizanzibari anapata mkopo wa elimu ya juu kutoka bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa kodi za Wabara. Yote tisa kumi ni kivipi...
6 Reactions
100 Replies
11K Views
Ni moja ya suala la hovyo sana kwa mifumo yetu. Inawezekana vipi eneo lile lile ujenge shule mbili tena kaeneo kenyewe kagodo hakana kiwanja cha michezo, eneo la wazi la kutosha nk. Najiuliza hivi...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Wanasema mzaha mzaha hutumbua usaha, kwa mujibu wa katiba yetu, mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa ni jambo la muungano, hii ni pamoja na misaada pamoja na mikopo kutoka nje ya nchi. (Katiba...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Mkurugenzi wa idara ya itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kiboko ya Chadema, Dk Humphrey Polepole leo kwenye uzinduzi wa...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Rais Samia Suluhu anatarajia kuongea na vijana wa mwanza kwa niaba ya vijana watanzania yote. Huu ni muendelezo wa Rais Samia kukutana na kuongea na Makundi Mbali mbali katika jamii. Rais...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
MBUNGE wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo ameitaka Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kufanya ukaguzi wa Hifadhi zote za Taifa na kupeleka ripoti bungeni kuhusu watalii...
40 Reactions
136 Replies
14K Views
Nimemisi kusikia zile nyimbo za kizalendo na quote za kizalendo kwenye TBC Mfano kionjo flani tamu kinaimbwagwa hivi: "Nchi yanguuuh ni urithi wanguuuuh, zawadi ya pekeeeeeeehh...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Ni baada ya Bbc kuripoti kuwa vijana wa Tanzania sasa hivi wanatumia dawa ya panya kama mbadala wa dawa za kulevya baada ya serikali kuanzisha mapambano makali ya dawa za kulevya ikiwemo kuwataja...
8 Reactions
50 Replies
6K Views
Kama ambavyo wapinzanzani wetu wamekua wakitupachika kina la Chama cha Majambazi kutokana viashiria vya matendo ya wanaccm wachache waliothaminiwa wakapewa nafasi serikali na chama lakini...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
U-DC ni cheo kikubwa na chenye heshima kwani ndiye mwakilishi wa Rais kwenye eneo husika. Ndani ya miongo miwili iliyopita tulianza kushuhudia wakiteuliwa watu wa ajabu ajabu na ndiyo maana sasa...
8 Reactions
28 Replies
5K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT.. Kama kichwa kinavyojieleza. Kwanza nianze kwa kusema kwmba mimi sio mkulima wa zao hilo, lakini pia sio mwenyeji wa mikoa yenye umaarufu wa kilimo cha zao hilo. Hivyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma...
5 Reactions
96 Replies
12K Views
Operesheni haki ambayo ndio mpango mpya wa Chadema kwa sasa, wenye lengo la KIZALENDO la Kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi imeingia Kanda ya Kati. Freeman Mbowe na...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Baada ya Prof Ndalichako kukurupushwa na Rais, sasa aja na kali ya mwaka. Nimegundua prof. Ndalichako sio mwalimu kwa kusomea. Ameamua kuanza kufundishwa masomo mawili ya Historia kwa darasa...
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Najua kuna mapungufu makubwa katika utawala wa awamu ya sita, wa Rais Samia. Lakini lazima tuwe na pa kuanzia. 1. Angalau kuna uhuru, watu wanaweza wakalala majumbani mwao wakiwa na uhakika...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Wadau wa JF, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya muda wa siku tatu (Juni 13 - 15)...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kamanda wa polisi jiji la Dar Simon Sirro amesema bado wanamtafuta sana askofu wa kanisa la ufufuo na uzima Josephat Gwajima na wametumia mtandao wa polisi wa kimataifa Interpol lakini bado...
5 Reactions
230 Replies
26K Views
'Masuala kwenye rasimu ya Katiba yanayogusa Wizara ya Mambo ya Nje ni Muungano,Uraia,Sera ya Mambo ya Nje & suala la Ushirikiano wa Kimataifa' 'Jana niliwasilisha pendekezo kwa Tume ya Katiba...
19 Reactions
108 Replies
14K Views
Back
Top Bottom