Naomba Kueleweshwa: Trilioni1 ni maendeleo, na Trilioni 11 matumizi ya kawaida. Hii imekaaje?

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu Hivi Kumbe Hela Ya Matumizi Ya Kawaida Inakuwaga Kubwa Kuliko Hela Ya Maendeleo Kwenye Budget?
.....
Ebu angalia Kama Hili Jambo,
Tril.1 maendeleo na Tril.11 matumizi ya kawaida.

Screenshot_20210607-190939.jpg
 
Wakuu Hivi Kumbe Hela Ya Matumizi Ya Kawaida Inakuwaga Kubwa Kuliko Hela Ya Maendeleo Kwenye Budget??
.....
Ebu angalia Kama Hili Jambo,
Tril.1 maendeleo na Tril.11 matumizi ya kawaida.View attachment 1811692
Kabla yakwenda mbali ni vyema kuainisha,ni yapi matumizi ya kawaida na ni yapi matumizi kwa ajili ya maendeleo .Mbali na kuwa kwa uelewa wangu matumizi hayo hayafanyiki kikamilifu kwa sababu mbali mbali,ikiwa no pamoja na bajeti kutokutekelezwa ipasavyo,kwakuwa mafungu hayatolewi kulingana na bajeti iliyopitishwa.yote hayo yanatoa mwanya wa matumizi mabaya ya fedha za imma.
 
Benki ya dunia wangewachukua Mwigulu na Ndugai.... Watuachie bi Mariam Salim.
 
Wage bill Ni karibu 70% ya bajeti za serikali za nchi masikini kwa sababu ya ukubwa wa serikali, tofauti na nchi zilizoendelea ambazo wage bill ni 30%.
Serikali inaanzia Rais hadi mtendaji wa Kijiji, taasisi na mashirika (SU).
Nchi zilizoendelea serikali zinajihusisha moja kwa moja na mambo ya ulinzi wa nchi na fedha, mengineyo taasisi na mashirika binafsi yanahusishwa zaidi kuliko serikali.
 
Back
Top Bottom