Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia ameshauri uwepo mpango mzuri ili kutozuia maiti kwenda kuzikwa. Ameenda mbali na kushauri kwamba wagojwa walipe gharama wakati wa matibabu ili kupunguza mzigo akifariki. Naomba...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Wanawake zaidi ya 10,000 Mkoa wa Dodoma makundi mbalimbali wanatarajiwa kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan Juni 8 mwaka huu katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete. Hayo...
1 Reactions
81 Replies
10K Views
Kama uraia pacha ni sawa, why not uraua triple, yaani Nchi tatu, why not nbe, why not 5 ili tuwe EA moja? Kuna madhara gani? India na Pakistan, Iran na Israel, kwa nini wasiwe na uraia pacha tu...
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Wakuu Salam, Nipo wilayani Nanyamba huku kusini maisha ya wananchi kiuchumi yapo hoi sana. Wilaya ya Nanyamba hutegemea korosho pekee kama zao la biashara. Hata hivyo kabla ya 2017 zao hilo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Unapozungumzia wabunge walioko bungeni kwa muda mrefu, huwezi kumkwepa Mbunge wa Kwela (CCM), Dk Crisant Mzindakaya, ambaye aliingia mwaka 1965 katika mahojiano haya anaelezea mafaniko ya jimbo...
0 Reactions
37 Replies
25K Views
Heshima sana wanajamvi, Sote tunafahamu serekali ya awamu ya tano chini ya Mh sana Marehemu Dr John Pombe Magufuli iliharibu diplomasia yetu katika kiwango ambacho hakijawahi kuonekana tangu...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
CAG Kicheere anaongea na waandishi wa habari muda huu. Updates; ======== CAG: NILIBAINI WAKALA NNE ZA SERIKALI ZILIKUWA ZINADAIWA BILIONI 783.39 TANROADS ilikuwa na deni kubwa lenye thamani ya...
16 Reactions
184 Replies
24K Views
Habari wadau! Hawa CHADEMA ni watu wa ajabu sana, walianza na harakati za kumshusha Sabaya wamefanikiwa kumchafua kisiasa na sasa kesi ipo mahakamani. Leo wanataka kumshusha Diamond Platinumz...
10 Reactions
34 Replies
2K Views
Na, Eng. Ayubu Massau Morogoro Habari Mheshimiwa Tundu lissu Nianze kwa kukupa pole kwa madhira ya kupigwa risasi, Jijini Dodoma, tarehe 7 septemba 2017. Hakika kila...
18 Reactions
126 Replies
15K Views
Mkuu wa mkoa wa DSM Mh. Makonda amesema mkoa wake umetenga hospitali 25 jijini zikiwemo zile za Rufaa na baadhi ni binafsi ili kuhudumia watu wote wanaojihisi wana dalili za corona. Makonda...
2 Reactions
66 Replies
9K Views
Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa. Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo...
9 Reactions
88 Replies
6K Views
Wasalaam wadau, Wakati fulani katika awamu ya tano, kiliibuka kikundi cha kusifu na kuabudu viongozi hata kufikia kutaka kubadili katiba ili kuwaongoza muda viongozi walio madarakani, sio nia ya...
13 Reactions
31 Replies
4K Views
JF Katika kitu mama amefanikiwa ndani ya muda mfupi ni kurejesha nidhamu ya viongozi wateule wa rais. Itakumbukwa hapo nyuma wakuu wa mikoa ya Mbeya na Iringa walijiona ni miungu watu ndani ya...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Maoni yangu: Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ametoa taarifa ya utendaji wa Serikali kwa siku 78 za Rais Samia Suluhu ofisini-Ikulu. Pamoja na mambo mengi mazuri, taarifa hiyo ina...
27 Reactions
41 Replies
4K Views
Waziri Faustine Ndugulile amesema hawayavumilia makampuni yanayotoa siri za wateja wao akitolea mfano mtu kupigiwa simu na kuambiwa Salio lililopo. Pia waziri Ndugulile amekemea wahudumu wasio...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya Serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani na kuanza kwa kasi kubwa, tumeshuhudia viongozi wengi wakiondolewa kwenye nyadhifa zao na wengine kujiondoa wenyewe kabla ya makubwa...
3 Reactions
88 Replies
20K Views
Mwanafunzi Josephat John hakuchaguliwa ECA na hakuwa na sifa za kuchaguliwa PCB OR-TAMISEMI,DODOMA Mwanafunzi Josephat John aliyekuwa anasoma kidato cha nne shule ya Sekondari Kom iliyopo kwenye...
15 Reactions
85 Replies
13K Views
Binafsi nampinga Freeman katika mambo mengi lakini namkubali sana kuwa ni kiongozi asiyekumbatia siasa za maji taka. Pamoja na uovu wote aliotendewa huko Hai chini ya Mwenyekiti wa kamati ya...
20 Reactions
66 Replies
6K Views
Msemaji mkuu wa serikali Mh Gerson Msigwa ametolea ufafanuzi tangazo la serikali linalohusu chanjo ya Corona. Msigwa amesema chanjo iliyoruhusiwa ni kwa ajili ya wafanyakazi wa balozi na taasisi...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Back
Top Bottom