Hodi wanajamvi,
Ambaye hajachoshwa na Ndugai anyoshe mkono ama afanye kama anajikuna tu ili tumuone hapa.
Sipika wetu Ni Kati ya watu wasioweza kusimama Kwenye msimamo mmoja.
Kipindi cha Hayati JPM kuhusu bandari ya Bagamoyo, alikaa kimya lakini Leo ndio mpiga Debe wa hiyo Bandari, tumweleweje?
Leo Anasema, Hayati hakushauriwa vizuri, yeye kama mhimili na msimamizi na mshauri mkuu wa serikali mbona hakufanya hivyo?
Aliruhusu Bunge kupitisha Sheria ya mifugo pindi ikiingia Kwenye hifadhi itaifishwe, Leo anajishangaa, aachie ngazi mara moja, kama anasahau Hadi kazi zake, kwani iko siku atakuja kupitisha Sheria ya wananchi kulala saa 10:39 jioni badala ya muda wa kawaida kulala.
Bunge limemshinda haeleweki, Tusisahau na zile pesa zilizotumika Kwenye matibabu yake na wakati huo huo mwenzake alipopatwa ajali ya kupigwa risasi alikataa Matumizi yaleyale aliyofanyiwa yeye, ajihudhuru aisee.
Ndugai, tunza hako kaheshima ulikobaki nako, Ng'ooooka hapo Kwenye kiti hicho.
Halafu Kwa mbaaali ni kama kanafanya kikampeni uchwara cha kuona kama atapata kibali ili wananchi tumuone anafaaa, sjui kanampango wa kuchukua fomu?