Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Uza eneo lipa mkopokwa hiyo mnatuambiaje sisi tuliokuwa tunatakiwa kulipwa kupisha ujenzi huu? wengine tumeshakopa na hela benki... maana tulikuwa na uhakika wa mradi huu.
Najua, ila fidia huwa ipo juu zaidi kuliko kama nitauza kwa kawaida, yaani tumepata hasara sana kuufuata mradi huu.Uza eneo lipa mkopo
Wako bize kutia tia huruma barabarani, hawana habari na hiyo miradiKwani Wagogo wanasemaje kuhusu hili.?
Poleninajua, ila fidia huwa ipo juu zaidi kuliko kama nitauza kwa kawaida, yaani tumepata hasara sana kuufuata mradi huu.
Kalalamikeni Kaburini 'Chato' msituboe.Kwa hiyo mnatuambiaje sisi tuliokuwa tunatakiwa kulipwa kupisha ujenzi huu? Wengine tumeshakopa na hela benki... maana tulikuwa na uhakika wa mradi huu.
Mambo yenyewe kumbe ni plan ya round about...mambo yaliyopitwa na wakati katika kiasi cha kwamba kitaalamu, baada ya muda mfupi wa mji kukuwa kwa traffic ingebidi tena wabomoe na kuweka kureplace na interchange/flyover etc... kwa mipango mingi ya sasa labda tujaribu kuangalia long term positive effects,na sio kufanya na kupoteza pesa kwa projects, ambazo zitahitaji kufanyiwa tena review reconstruction, within a short period of time,na wakati huo labda utakuta tutakuwa hatuna uhakika wa kuwa na pesa nyingine kwa ajili ya miradi hiyo.Any way,siku zote, kupanga ni kuchagua....
Genta "Jasusi mbobezi" katika ubora wako.Kalalamikeni Kaburini 'Chato' msituboe.
Mwendazake alijua kuwatapeli watu washamba washamba hapo angejenga ka-round about halafu siku ya ufunguzi angealika hadi BBC waje waone maajabu ya shujaa wa Africa.Mambo yenyewe kumbe ni plan ya round about...mambo yaliyopitwa na wakati katika kiasi cha kwamba kitaalamu, baada ya muda mfupi wa mji kukuwa kwa traffic ingebidi tena wabomoe na kuweka kureplace na interchange/flyover etc... kwa mipango mingi ya sasa labda tujaribu kuangalia long term positive effects,na sio kufanya na kupoteza pesa kwa projects, ambazo zitahitaji kufanyiwa tena review reconstruction, within a short period of time,na wakati huo labda utakuta tutakuwa hatuna uhakika wa kuwa na pesa nyingine kwa ajili ya miradi hiyo.Any way,siku zote, kupanga ni kuchagua....