Ndugulile: Hatutayavumilia Makampuni yatakayoshindwa kulinda Faragha za wateja

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,444
7,802
Waziri Faustine Ndugulile amesema hawayavumilia makampuni yanayotoa siri za wateja wao akitolea mfano mtu kupigiwa simu na kuambiwa Salio lililopo.

Pia waziri Ndugulile amekemea wahudumu wasio waaminifu kwenye kampuni hizo wanaoshirikiana na wahalifu kwa kutoa Siri za wateja.

Waziri amesema wanaandaa Sheria ya Data Protection ila kwa kipindi hiki cha mpito ameyataka makampuni ya simu kuweka mifumo imara.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
😂😂😂😂😂😂 kageuza kauli!!!!
 
  • Thanks
Reactions: cmp
Wao si ndio walikuwa wanalazimisha JAMII FORUMS itoe siri za wateja? Akili zimeanza kurudi nbaada ya aliyekuwa amezishikilia kutangulia kunako.

Anzeni na waliovujisha Clip ya kina Makamba, Nape na wengine. Hao kwanza wawe mfano wa kuigwa.
 
Back
Top Bottom