Wazanzibar wafikisha rasmi kesi ya Muungano UN

Chris wood

JF-Expert Member
Dec 21, 2020
898
1,000
Sina uelewa mpana sana kwenye maswala ya muungano, naelewa kidogo sana. Ila huwa kuna mambo yananitatiza kwa kweli.
Maswala ya ajira mpaka niwe na I'd ya mzanzibari
Kumiliki ardhi zanzibar siruhusiwi
Nikitaka kukununua kitu mfano tv, computer kutoka zanzibar nikama naimport kitu kutoka kenya
 

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
10,119
2,000
Mdogomdogo mwishowe kitaeleweka tu hata kama itachukua miaka 200.

Hizi sauti zitaendelea kusikika, kusikika zaidi, kusikika zaidi na zaidi mpaka jamii nzima ya Wazanzibar itafikia muafaka kuwa Wanataka nchi yao, Hapo itakuwa too late

Ni bora hizi kasoro za muungano zikatatuliwa mapema, ila tukijifanya vichwa ngumu, Zanzibar tutaitapika tu oneday tutake tusitake hata kama ni miaka 200 ijayo!
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
49,062
2,000
Sina uelewa mpana sana kwenye maswala ya muungano, naelewa kidogo sana. Ila huwa kuna mambo yananitatiza kwa kweli.
Maswala ya ajira mpaka niwe na I'd ya mzanzibari
Kumiliki ardhi zanzibar siruhusiwi
Nikitaka kukununua kitu mfano tv, computer kutoka zanzibar nikama naimport kitu kutoka kenya
Hakuna faida yoyote ya kuwa na muungano ni hasara tupu
 

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,260
2,000
Kuvunjika kwa Muungano ndio mwisho wa tanganyika na hilo mlijue nyie mahalf knowledge ,Mtwara kwake Mbeya kwake kule kigoma ndio kabisa wanaunga na ndugu zao.
Nyie endeleeni kuwazulumu wazenji ila laana yao ikiwashukia maembe mtaita kungu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom