CHADEMA hawastahili kupewa hata Serikali ya kijiji

CHADEMA hawastahili kupewa hata Serikali ya kijiji

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,593
Habari wadau!

Hawa CHADEMA ni watu wa ajabu sana, walianza na harakati za kumshusha Sabaya wamefanikiwa kumchafua kisiasa na sasa kesi ipo mahakamani.

Leo wanataka kumshusha Diamond Platinumz kisa kuunga mkono CCM kwenye uchaguzi wa 2020.

Haya yote ni matokeo ya visasi yaani hawana uvumilivu wa kisiasa kabisa leo Diamond anaweza akalipa kutokana na mapenzi yake kwa CCM kwa zile harakati walizoanza za kumtoa BET yaani wajamaa inapokuja suala la kulilia madaraka hawana kabisa uzalendo wanaweza hata wakauza nchi.

Waliangaika sana kipindi cha JPM kuiuza nchi kwa mabeberu ikashindikana leo wamekuja na staili ya kafala.

Hawa hawastahili hata kupewa kuongoza serikali ya kijiji kwa kweli watalipiza kisasi kwa kila mtu siku watakapopewa nchi.

Nami nasema siku CHADEMA watakapochukua hii nchi nitaenda zangu kuishi hata Kivu huko Congo kuliko kungalia hawa wajamaa wakiongoza nchi.
 
Leo wanataka kumshusha Diamond Platinum kisa kuunga mkono CCM kwenye uchaguzi wa 2020.
Huyo alikuwa akikata viuno ili kuwahadaa Wafadhili wa Magharibi, Uchaguzi ulishapangwa uibiwe kwa kuitumia Tume ya CCM ya Uchaguzi ikiongozwa na Wakurugenzi waliohongwa Magari na Mishahara Minono huyu Mkata kiuno ni wa kumuonea huruma tu
 
Sabaya hajashushwa chini na CHADEMA, Sabaya kajishusha mwenyewe kwa matendo yake yaliyo kinyume na madaraka aliyokuwa amepewa.

Hivyo basi, Kama Sabaya angetenda vyema, CHADEMA wasingepiga kelele.
 
Huyo alikuwa akikata viuno ili kuwahadaa Wafadhili wa Magharibi Uchaguzi ulishapangwa uibiwe kwa kuitumia Tume ya CCM ya Uchaguzi ikiongozwa na Wakurugenzi waliohongwa Magari na Mishahara Minono huyu Mkata kiuno ni kumuonea huruma tu
Mtoto wa watu masikini has nothing to DO with politics msimuaribie maisha .
 
𝙰𝚕𝚊𝚏𝚞 𝚞𝚝𝚊𝚜𝚎𝚖𝚊 𝚑𝚞𝚢𝚘 𝙼𝙾𝙽𝙳 𝚗𝚍𝚘 𝚊𝚖𝚎𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚌𝚌𝚖 𝚔𝚞𝚊𝚗𝚣𝚒𝚊 2020 𝚔𝚞𝚖𝚋𝚎 𝚊𝚗𝚣𝚒𝚊 2010 𝚢𝚞𝚙𝚘 𝚗𝚊 𝚊𝚗𝚊𝚜𝚑𝚛𝚒𝚔𝚒 𝚔𝚠𝚎𝚗𝚢𝚎 𝚔𝚊𝚖𝚙𝚎𝚗 𝚣𝚘𝚝𝚎
 
Hizo sababu za kuwa disqualified unadhani nani kazipeleka?

Yaani ukisoma hizo taarifa kama hauko tz unaweza sema kati ta 2015 -2021 tanzania ilikua ni full vita hakukaliki.

kwa propaganda vyombo vya nje nawapa heko. Na majinga yanaingia kama yalivyo kichwa kifua na fumbatio.

MOND is there to stay, legacy yake iko intact na hapa kwa watu wenye akili mond anapata sifa zaidi kwa kusimamia anachoamini.
Ndiyo maana 2019 mkatuletea asilimia kubwa ya wnyeviti wa vijiji na mitaa majambazi,na 2020 mkazima mitandao yote,vyombo vya ulinzi na usalama vikawa vitamba kila mahali,taarifa za habari makini za ndani na nje ya nchi mkazuia ikabaki ni miziki tu,watu wengi wakaishia mahabusu wengine vilema na wengine kupoteza maisha sababu ya uchaguzi feki,nakwaambia mtavuna mlichopanda shenzi sana ninyi.
 
Dogo diamond hapaswi kuungwa mkono kwenye jamii ya wastaarabu kwa sababu aliungana na madhalimu kusapoti siasa za kuuwa upinzani,kutekana ,kuuwana zilizoongozwa na marehemu.
 
Hahahahaha, hawa wahuni tokea wawe machawa wa mama kama wamerukwa akili vile?

Kwaiyo walitaka diamond asifanye biashara kisa njaa zao za madaraka?
 
Back
Top Bottom