Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Vijana Kwenye Mikutano ya kisiasa ujitokeza kwa wingi kwenye kupiga kura kuchagua viongozi hawajitokezi kwa wingi. Vijana wengi wanakimbilia kufanya kazi laini laini kama umachinga badala ya...
0 Reactions
3 Replies
801 Views
Kama kuna mambo yanachukiza basi ni huu unafiki wa kiwango cha SGR. Moderator naomba msifute. Hivi karibuni huyu kijana ameonekana "akijaribu" kwa kiwango kikubwa sana kujitenganisha na Utawala...
13 Reactions
117 Replies
7K Views
VIJANA TUKISHINDWA KUFANIKIWA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MATENDO YA MAONO HAYA YA MH RAIS MAMA SAMIA, BASI TENA. Na: Philipo Mwakibinga. Leo nimepata bahati ya kuudhuria Kongamano la Mh Rais wa JMT...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Mpo poah humu Waliaanza na mitano tena, wakaja aongoze milele, sasa mambo yamewachachia na hawana tumaini wamejikuta katika vijikundi kama vya team tembo na team chuii. Sasa wanajiita...
22 Reactions
117 Replies
10K Views
Baada ya kuahidi kushughulikia changamoto za soko la Kariakoo, Mhe. Rais S.S. Hassan amewaambia wananchi "na nyinyi wakati serikali inawabeba, wanasema abebwae hujikaza, na nyinyi jitahidini...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Wanabodi, Hili ni angalizo tuu kuhusu utumbuaji majipu wa rais Magufuli, sio kila mtumbuliwa ni jipu, wengine wanatumbuliwa kwa circumstances tuu, wengine wanatumbuliwa for political...
24 Reactions
144 Replies
21K Views
Leo nimezikuta habari za Mzee wa Madrassatul Abraar ambae pia ni member wa JF kwenye group la kuwezeshana ujenzi zilizonifurahisha sana na nikajiuliza, hawa wazee wa Madrassa wamempiku hatua moja...
37 Reactions
160 Replies
13K Views
Na Thadei Ole Mushi. Vijana wengi wa CCM ni vigumu kupimika kwa kuwa hata kwa wateuzi hawajui vijana hawa Wana uwezo Gani kwa kuwa mtindo wao ndani ya Chama hauwapi Fursa ya kuonyesha Wanajua...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza sasa waTanzania wanaweza kujifunza wao wenyewe kupitia mfumo wa kisheria wa kidijitali unaopatikana simu janja za kiganjani. Hatua hii imefikiwa kupitia msaada mkubwa wa Mfuko...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel amekuwa chancellor wa Ujerumani toka 2005 Jakaya Kikwete kamkuta kamuacha John Pombe Magufuli kamkuta kamuacha Samia Suluhu Hassan kamkuta Huko duniani kafanya...
9 Reactions
41 Replies
5K Views
"Wastaafu hawa, wakae kimya, zama zao zimepita. Wasituharibie nchi yetu, wasimpotezee focus Rais wetu. Popote watakapojitokeza, tutawatwanga."- Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Hapi...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Chadema Mwamba Freeman Mbowe anaendelea na kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi , kampeni hiyo imebatizwa jina la Operesheni Haki . Anatarajiwa...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Ukiangalia teuzi za rais ni kama kuna list ya watu ambayo huwa tayari imeandaliwa kwaajili ya kuteuliwa. Yaani teuzi zinawazungukia wale wale. Unakuta mtu akikosa ubunge au uwaziri atapata uRC...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa muda huu saa10:30 asubuhi msafara wa mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe umewasili hapa katika viwanja vya Mahakama Kuu Mbeya kusikiliza hukumu ya mwanachama wao Mdude, ambaye alishitakiwa...
9 Reactions
177 Replies
16K Views
Rais Samia kawatumbua kwa kuwashambulia Machinga mtaani mkoani Morogoro. Aliyetumbuliwa ni Bakari Msulwa Mkuu wa wa Wilaya ya Morogoro na Sheilla Lukuba Mkurugenzi Morogoro. NI kutokana na Mgambo...
5 Reactions
133 Replies
22K Views
Uongozi ni hekima na busara, Aggrey Mwanri alikuwa mkuu wa Mkoa mwenye vitisho, mikwara sana lakini hakuwahi hata siku moja kumlaza mtu ndani yaani Polisi Akiwa Tabora alitembelea miradi kwa...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
SERIKALI KUTANGAZA ZABUNI YA KUPELEKA MAWASILIANO MAENEO YA MIPAKANI Serikali kupitia Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) inatarajia kutangaza zabuni ya awamu ya sita yenye lengo la kupeleka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa...
0 Reactions
4 Replies
820 Views
Sasa kama mjasiriamali amepewa fremu ili auze maji na soda ndani ya kituo ghorofani kwa kodi (rent) ya Tsh. 36,028,200/= kwa mwezi sawa na Tsh. 1,201,000/= kwa siku uhalisia uko wapi! Machinga...
15 Reactions
148 Replies
19K Views
Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…