Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji, ni aibu kubwa sana kwa CCM Kwani haiwalipi watendaji wake hata Senti Tano ikiwa ni sehemu ya mshahara. Hii ni aibu kubwa , mwenyekiti wa CCM...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Bara la Afrika tumepigwa tena na mabepari! Viumbe wenye mbinu na mbwembwe nyingi. Viumbe wasioogopa kupoteza wa kwao wanapokuwa na Jambo lao serious Walipoitambulisha walianza marumbano wao kwa...
4 Reactions
7 Replies
835 Views
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke Mhe Abdallah Mtinika ametoa rai kwa taasisi zote zinazofanya kazi katika Manispaa hiyo kuhakikisha zinahudhuria vikao vya baraza la Madiwani ili kuweza...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Sasa sio shwari tena,Tanzania inahitaji Tume huru ya uchaguzi ,CCM wakitaka au wasitake hii sio nchi yao na kama haitoshi watambue hawana hati miliki, Tume huru ya uchaguzi ni lazima kuliko kifo...
0 Reactions
2 Replies
893 Views
Bajeti imesomwa, waliosikiliza wamesikia, waliosimuliwa wamesikia, waliiosoma wameisikia, na WALIOELEWA huenda wameelewa. Kinachofuata sasa ni mjadala kwa Wawakilishi wa Wananchi "waliochaguliwa"...
1 Reactions
7 Replies
841 Views
Wapendwa kuliibuka wimbi la viongozi wa serikali kujichukulia Sheria mkononi katika awamu iliyopita. Hali hiyo, imeathiri saikolojia ya waathilika na kushindwa kujuwa cha kufanya. Tuna sheria za...
1 Reactions
1 Replies
978 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika, mheshimiwa Mbowe ametangaza kustaafu. Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya...
19 Reactions
176 Replies
9K Views
MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, amemsimamisha kazi Mtunza Hazina wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Edward Andendekisye na kuagiza Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi saba...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari wanachama wa JF, Swali langu mimi ni kuwa bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22 ni trillioni 34 na pointi kadhaa sasa najiuliza hadi utawala wa Hayati Magufuli R.I.P, makusanyo ya...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Binafsi naamini hii Inchi haitaisha visasi kwasababu kwa mtu makini ulipaswa kuwaza vitendo vya sabaya ndo kosa lake au maana ni viongozi wengi ambao wamekua wakikiuka misingi ya haki ila wapo tu...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu. Huyu mtu alipaswa...
42 Reactions
246 Replies
25K Views
Kwa kweli tofauti inaonekana lakini I wish Greyson Msigwa na team yake wangejitahidi ku update website ya Ikulu, youtube videos na press releases za matukio. Pia I wish tungepata taarfa zaidi ya...
3 Reactions
20 Replies
7K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo leo Ijumaa tarehe 11 Juni, 2021 amewasili Mkoa wa Tanga kwa ajili ya ziara ya kikazi ya kuimarisha Chama mashinani kwa siku tano kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu MOHA. WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Rais Samia Suluhu Hassan, ameruhusu kupandishwa vyeo Maafisa, Wakaguzi na Askari 34,106, wa Vyombo vya...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Vijana wa JPM na wateule wake wasiguswe kwa namna hii ya kuwadharirisha. Kwa mapungufu yao wawekwe kando au waadhibiwe kwa nidhamu. JK hakuwadharirisha akina Masanje, Mashishanga na wengine...
9 Reactions
116 Replies
8K Views
Serikali inapendekeza Kukusanya kodi za majengo kwa kutumia LUKU, najiuliza tuu, vipi nyumba zisizo na umeme. Je, zimesamehewa kodi ya majengo?
8 Reactions
73 Replies
6K Views
Toka Tanzania imekuwa na bunge la vyama vya upinzani majabu ya bunge la mwendazake yapo bunge hili. Bunge halina Kambi Rasmi ya Upinzani. Bunge halina Mawaziri Vivuli. Bunge halina Hotuba za...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Hivi hii serikali kweli imeshindwa kubuni sera na kuweka mikakati ya kukusanya kodi kutoka kwa watu wanaofanya biashara ya nyumba na majumba ya kupangisha? Watu tumeshatoa mawazo yetu humu mara...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Ule mkakati kabambe wa kudai Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi, ukiambatana na usimikwaji wa Chadema Digital nchi nzima sasa umeingia Kanda nzito ya Nyasa, kwa kuanzia Mkoa wa Mbeya. Ikumbukwe...
10 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom