Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CHADEMA walishabikia kwa nguvu sana kutaka uwazi uwepo wa alipokuwa JPM, wakidai umma uelewazwe yuko wapi, kama anaumwa anaumwa nini. Sisi tukajua hiyo ndiyo imani yao. Ila inapokuja upande wao...
5 Reactions
85 Replies
9K Views
Her Excellency Samia Suluhu Hassan President of the United Republic of Tanzania President’s Office, State House 1 Julius Nyerere Road Chamwino, Dodoma June 14, 2021 Sent via email...
1 Reactions
0 Replies
774 Views
''Tanzania is set to earn more from its gold once the first refinery is completed in the country’s administrative capital Dodoma in the next six weeks. The gold refinery is currently more than 80...
18 Reactions
140 Replies
19K Views
Kama kawaida yake serikali ya CCM huwa haithamini wataalamu na badala yake wanafikiria nchi itaendelela kwa siasa na maneno mengi ya uwongo. Profesa Mwesiga Baregu ambaya amekuwa mhadhiri...
3 Reactions
362 Replies
52K Views
Tunaweza tukawa tunataka ku-push agenda tukiamini tunayetaka kumfikishia agenda hiyo ni mgeni na anahitaji vikao vyakumpitisha kwenye kile tunachokita. Naomba niwaambie we are wrong, hakuna sababu...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Tangu awamu ya 4, 5 na sasa awamu ya 6 hali imekuwa kutoa mifano ya Biblia na Koran, Bungeni na majukwaani. Wanasiasa wanaotoa hotuba zinazostahili kuwa msikitini na kanisani. Leo hii mkuu wa...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakati tukiona wimbi la tatu likianza nchi za jirani, Raisi wetu ana mpango gani kuhusu korona? Mbona bado takwimu hazijaanza kutolewa? Je, huko mikoani kuna vipimo? Je, hospitali zote hasa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Akiongea mapema leo asubuhi katika kipindi cha Joto Kali la asubuhi kinachorushwa na vyombo vya habari vya TVE na Efm Kiongozi wa ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe, ameongea mambo mengi ya kisiasa...
3 Reactions
27 Replies
6K Views
Hayo ameyasema wakati akihutubia wananchi wa eneo la Busisi wilayani Sengerema wakati wa ukaguzi wa daraja la Magufuli lenye urefu wa zaidi kilomita zaidi tatu. Je, unyonge wa watanzania umeanza...
14 Reactions
43 Replies
4K Views
Wanabodi, Preamble: Ujinga sio kutukana bali ni hali ya mtu kutokujua!. Mjinga akiishaelimishwa na kuelimika, anakuwa mwerevu , amefuta ujinga. Mtu akakuita mjinga, kama unajua then atakuwa...
38 Reactions
119 Replies
13K Views
Leo Juni 14,2021 ni siku ya Hukumu ya Mpaluka Nyagali Mdude (32) kwa jina maarufu Mdude CHADEMA. Namuombea Mdude, Hakimu atakaye soma hukumu Mwenyezi Mungu ampe Hekima kama ya Mfalme Suleiman...
4 Reactions
92 Replies
8K Views
Menejiment ya kioo limited kiwanda cha kutengeneza chupa natoa maoni juu ya uongozi upande wa usafirishaji haswa kwa mtu anayeitwa mwalimu huyu mtu atawakosha madereva bora na wenye viwango vya...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Fumbo mfumbie mjinga, mwelevu _____. Tuitike "Kazi iendelee" wanabodi kazi ipi na ya wakati gani?
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanabodi, Declaration of Interest Paskali sio tuu ni Mtanzania raia wa nchi hii, bali pia ni Mzalendo wa kweli wa nchi hii, na kipimo kikubwa kabisa cha uzalendo ni kupitia jeshi, hivyo Paskali...
12 Reactions
121 Replies
17K Views
Wanabodi, Nikiwa mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, leo nimehudhuria Mhadhara wa Wazi wa Kongamano la Kavazi la Mwalimu Nyerere katika Ukumbi wa Costech hapa jijini Dar es Salaam...
25 Reactions
182 Replies
24K Views
😂😄 Rais Samia alipokuwa akiongea na Rais wa AFDB. Yes…yes…okay…yes…okay! Au huyu haturuhusiwi kumcheka na kumtania? Tukifanya hivyo tutakuwa tunamchukia? ====== RAIS wa Benki ya Maendeleo ya...
7 Reactions
92 Replies
12K Views
Wanabodi, salaam sana kama ni kweli kuwa hii ndio idadi ya watumishi ambao wameshaingizwa kwenye mfumo mpaka sasa hivi, basi nchi hii tunahitaji maombezi makubwa, pia inaonyesha kuwa baadhi ya...
1 Reactions
51 Replies
7K Views
Tokea nilipotoa ilani asiwe anapokea mic na kuzungumza wakati wa ziara ili kuepuka vituko vilivyotokea alipotembelea Hospitali, maana vile ni vituko vya mwaka, alimaka alipoambiwa hapa...
0 Reactions
3 Replies
892 Views
Uwezo wa viongozi wetu wa kufikiri una walakini. Wananchi masikini wanakwenda kubebeshwa mzigo wa malipo ya kodi ya majengo tena. Nasema hivi kwa kuwa nyumba nyingi wapangaji ndiyo wanaonunua...
14 Reactions
56 Replies
6K Views
Back
Top Bottom