Refinery set to turn Tanzania city into major gold hub

Dua

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2006
Messages
3,110
Points
1,500

Dua

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2006
3,110 1,500
''Tanzania is set to earn more from its gold once the first refinery is completed in the country’s administrative capital Dodoma in the next six weeks. The gold refinery is currently more than 80 per cent complete, and the first trial is set for October 25.

According to Prince Mgisha, the chief operating officer of Eyes of Africa Ltd, a Serbian mining company that owns the refinery, the plant will cost $15 million and will process raw gold produced in over 19 regions in Tanzania and neighbouring countries such as the Democratic Republic of Congo. After decades of exporting raw gold, Tanzania will now export the refined product and earn more from the value addition.

“As Africa's fourth-largest gold producer, this is a huge step for our country and economy,” said Dotto Biteko, Tanzania’s Minister for Minerals during a recent media tour of the refinery. The Bank of Tanzania plans to run a gold reserve with locally-refined stock in a bid to tap into the business potential of the Dodoma gold refinery. The refinery is also expected to create employment opportunities for locals. The Bank of Tanzania plans to run a gold reserve with locally-refined stock in a bid to tap into the business potential of the Dodoma gold refinery. The refinery is also expected to create employment opportunities for locals. The gold refinery is expected to have a production capacity of minimum 40 kilogrammes of refined gold per day, processed from almost one tonne of gold ore, according to Mr Mgisha.

He also cited benefits for artisanal and small-scale miners in the country who will be able to have their gold refined and use it as collateral to get loans from banks. “Artisanal and small-scale miners in the country have suffered from a lack of loans, capital and poor investment, but this is about to change,” said Mr Mgisha, adding that when the price of gold goes up, the same gold used as collateral for loans could still be sold for a higher price.

There are about 28 mineral trading centres in operation around the country. Statistics show that an average of 20kg of gold is traded per day per mineral hub. “Geita on average trades between 20kgs- 24kgs of gold per day,” said Awadhi Hafidhi, a gold dealer in Chunya.

Acacia Mining Plc’s Bulyanhulu and Buzwagi mines produce around 50,000 tonnes of gold and copper concentrate per year. Earlier this year, President John Magufuli ordered the central bank to create a gold reserve to supplement national reserves and also enforce control on mineral exports.

President Magufuli has locked horns with foreign mining companies for his radical regulation of the country's mining sector. He accused mining firms of fraud and underreporting of production and profits, thus denying the country revenue from its resources. The government has enforced tougher rules on the mineral sector, even going as far as constructing a 24km perimeter wall with surveillance cameras around the mines in Mirerani, Manyara regions to stop smuggling of gemstones. It also banned the export of gold and copper concentrates.

Tanzania has been described as a sleeping economic giant because of its vast deposits of gold, tin, nickel, iron, copper, zinc, lead, diamonds and uranium; tanzanite, coal and industrial minerals such as soda, kaolin, gypsum, and phosphate.''

Safi sana awamu ya 5 Hapa Kazi tu ..... ..... ..... . Utaona Mwezi January mwakani shillingi yetu itakavyotengemaa maana chacha BOT watakuwa na uwezo wa kuweka utajiri wetu kwenye gold bars sio US dollars tena ….. ….. patamu hapo!
 

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
7,319
Points
2,000

Bams

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
7,319 2,000
Bahati mbaya wengi waliochangia na watakaochangia hawaelewi hii gold refinery ni nini.

Ukweli ni kwamba hiki kinachopambwa hapa ni kitu kidogo sana. Kwa siku watasafisha kilo 40 tu za dhahabu. Nadhani hii inawalenga wachimbaji wadogo na wala siyo wachimbaji wakubwa.

Tatizo la makinikia lipo pale pale. Hakuna wa kuprocess makinikia. Makinikia yataendelea kuuzwa kama yalivyokuwa yakiuzwa. Na haya yamesemwa pia kwenye draft ya makubaliano kati ya Barrick na GoT.
 

Dua

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2006
Messages
3,110
Points
1,500

Dua

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2006
3,110 1,500
Bahati mbaya wengi waliochangia na watakaochangia hawaelewi hii gold refinery ni nini.

Ukweli ni kwamba hiki kinachopambwa hapa ni kitu kidogo sana. Kwa siku watasafisha kilo 40 tu za dhahabu. Nadhani hii inawalenga wachimbaji wadogo na wala siyo wachimbaji wakubwa.

Tatizo la makinikia lipo pale pale. Hakuna wa kuprocess makinikia. Makinikia yataendelea kuuzwa kama yalivyokuwa yakiuzwa. Na haya yamesemwa pia kwenye draft ya makubaliano kati ya Barrick na GoT.
Kumbe onaongelea draft? Je, draft haiwezi kubadilishwa na kuwekwa mkataba ambao uta-bind pande zote? Yaani unafikiri sisi Tanzania ni malofa sana tuweke smelter ya kilo 40 kwa siku tu? Hebu kuwa serious kidogo tu! Kwenye makinikia ndio biashara yenyewe na hapo tunataka kufaidi mali yetu, ndio sababu kila mwaka kutakuwa na marekebisho ya ile 50/50. JPM amekamata pazuri ...... ......Hapa kazi tu.
 

PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
7,547
Points
2,000

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
7,547 2,000
Kwahiyo mliposamehe dai la dollar billion 190 kwa ahadi ya kulipwa Dola million 300 mlikuwa malofa siyo ?
Kumbe onaongelea draft? Je, draft haiwezi kubadilishwa na kuwekwa mkataba ambao uta-bind pande zote? Yaani unafikiri sisi Tanzania ni malofa sana tuweke smelter ya kilo 40 kwa siku tu? Hebu kuwa serious kidogo tu! Kwenye makinikia ndio biashara yenyewe na hapo tunataka kufaidi mali yetu, ndio sababu kila mwaka kutakuwa na marekebisho ya ile 50/50. JPM amekamata pazuri ...... ......Hapa kazi tu.
 

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Messages
17,366
Points
2,000

JokaKuu

Platinum Member
Joined Jul 31, 2006
17,366 2,000
Biashara ni majadiliano.
..biashara gani hiyo ya kukubali kulipwa 300 million badala ya 190 billion.

..hata wakikubali kulipa 300 million kila mwaka bila riba itawachukua miaka 600++ kumaliza deni la 190 billion.

..Barrick wanatuona MAFALA na MALOFA. sijui kwanini mnashangilia.
 

obakunta

Senior Member
Joined
Nov 19, 2018
Messages
179
Points
250

obakunta

Senior Member
Joined Nov 19, 2018
179 250
Hongera rais Magufuli, ulipo tupo, rais wa wanyonge, nchi itabadilika na kuwa ya kuigwa, raslimali za Watanzania zitaanza kuwafaidi wananchi.
Watakusema vbaya, watathubutu kukukwamisha ila fahamu wananchi tuko na wewe, tunakuunga mkono kwenye kila hatua, utafikisha nchi mbali. Usichoke mzee wa watu, pambana.
 

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
20,798
Points
2,000

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
20,798 2,000
Rais Magufuli kwa hili anaendelea kuliletea taifa heshima. Inakuwaje watu mna ng'ombe na mnataka kuuza nje watu wawachinjie halafu mje kununua nyama.. yaani hamna machinjio.. hivi miaka yote hii haikuwahi kufikiriwa kuwa labda tunahitaji smelter yetu wenyewe?
Bila shaka unajua pia ngozi za wanyama zimeshuka bei toka Tsh.60,000 mpk Tsh.1500(buku jero) awamu hii au zinatupwa/unapewa bure.

Akili kichwani.
 

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
32,821
Points
2,000

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined Sep 22, 2008
32,821 2,000
Hizi ndio habari za maendeleo. Japo ni just gold refinery na sio smelter lakini bado pongezi ni kwa Magufuli kuweka mazingira wezeshi kujenga refinery ya artisan miners, na pia soon Tanzania itakuwa nchi ya kwanza barani Africa kuwa na gold smelter in Africa.

Hongera wenye refinery
Hongera Magufuli
Hongera Watanzania
Mungu Ibariki Tanzania.
P
 

jaywacnza

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Messages
809
Points
1,000

jaywacnza

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2012
809 1,000
Kusema ukweli natamani sana uteuliwe kuwa mkuu wa wilaya ya Malinyi.....nakukubali sanaaaaaaa!!!
Hizi ndio habari za maendeleo.
Hata kama smelter sio la Magufuli, pongezi ni kwa Magufuli kuweka mazingira wezeshi.

Hongera wenya smelter
Hongera Magufuli
Hongera Watanzania
Mungu Ibariki Tanzania.
P
 

NewOrder

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Messages
757
Points
500

NewOrder

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2011
757 500
Bahati mbaya wengi waliochangia na watakaochangia hawaelewi hii gold refinery ni nini.

Ukweli ni kwamba hiki kinachopambwa hapa ni kitu kidogo sana. Kwa siku watasafisha kilo 40 tu za dhahabu. Nadhani hii inawalenga wachimbaji wadogo na wala siyo wachimbaji wakubwa.

Tatizo la makinikia lipo pale pale. Hakuna wa kuprocess makinikia. Makinikia yataendelea kuuzwa kama yalivyokuwa yakiuzwa. Na haya yamesemwa pia kwenye draft ya makubaliano kati ya Barrick na GoT.
Uko sahihi mkuu. Kwenye makala kuu iliyoandikwa kiingereza hakuna neno smelter, kuna gold refinery. Lakini kuna hata watu na majina yao huwezi amini wameiita hiyo ni smelter. Maelezo yako safi kabisa hi ni gold refinery - ndio ile hufanya grading ya gold - karat/carat 18, 21 na 23, 24k ikiwa ndio pure gold!! Smelter inafanya kutenganisha copper, frm nikel nk!!

Sijui kwanini tunapenda kuchangia hata mambo tusiyoyajua vizuru!? Trying to be the jacks of all trades ending up masters of none!!
 

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
7,319
Points
2,000

Bams

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
7,319 2,000
Kusema ukweli natamani sana uteuliwe kuwa mkuu wa wilaya ya Malinyi.....nakukubali sanaaaaaaa!!!
Shida ya Watanzania walio wengi ni kufikiria wanajua kila kitu. Kuna wakati unapowaona watu wasioelewa wakichangia with 100% confidence, unaamua kuwaacha wabakie na ujinga wao.

Sikumshangaa mleta mada na baadhi ya wachangiaji, ila nimeshangazwa zaidi na Mayala na Mwanakijiji, nao kuingia kwenye mkumbo.

Smelter haijajengwa Tanzania, hakuna mpango wa kuijenga, na kwa kiwango cha refractory gold reserve kinachofahamika kuwepo mpaka sasa, haitakuja kujengwa.

Kutegemea kujengwa kwa smelter Tanzania kwaajili ya gold-copper concentrate processing ni sawa na kumtaka mtu mwenye magunia 5 ya mahindi ajenge kiwanda cha kutengeneza unga kwa kutegemea magunia 5 anayovuna kila mwaka.

Indonesia iliyokuwa ikizalisha makinikia maradufu ya sisi, na mzalishaji wa 6 wa dhahabu Duniani (Tanzania haimo hata katika top 15) walijenga smelter kwa $700m, ilikuwa ni hasara tupu, na mpaka leo haitumiki, na wao kuendelea kupeleka Japan.

Zaidi ya 70% ya concentrates zote Duniani (toka Canada, Australia, Indonesia, US, South Africa, etc.) hupelekwa Japan. Hapa siyo suala la kuwa na smelter au kutokuwa nayo bali ni kutambua economics ya concentrate business.
 

Forum statistics

Threads 1,379,325
Members 525,391
Posts 33,743,440
Top