Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kaka Goodluck mapenzi hayalazimishwi & uzalendo sio kuunga mkono kila kitu cha nchi yako hata kama hakistahili. @Diamondplatinumz sio Roma Mkatoliki au Ney wa Mitego au mrithi wa Bob Marley...
55 Reactions
291 Replies
21K Views
Akiwa Bungeni Dodoma, Naibu Waziri wa TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amesema Sekta ya Afya ina upungufu wa Watumishi na hadi kufikia Mei mwaka 2021, Watumishi waliokuwepo ni 41% ya mahitaji halisi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Uthubutu ni jambo zuri sana haswa likifanywa kiuhalali. 1. Daudi Albert Bashite alithubutu kujifanya yeye ni Paul Christian Makonda which is a crime. Lakini mwendazake alimpandisha na kumzawadia...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
"Hakuna chama chochote cha siasa chenye wajibu wala haki ya kumuamrisha Rais wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama au kutoa shindikizo katika maamuzi ya Rais hususani juu ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waziri wa fedha amesoma bajeti na tunaendelea kuichambua kipengele kimoja baada ya kingine. kwa ufupi ni kwamba wanasiasa wameshindwa kutatua changamoto zetu. Wakati taifa likiwa katika mtanzuko...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo nikiwa mmoja ya Watanzania walioalikwa kwenye mnuso na Wakenya iliyofanyika nyumbani kwa Mkenya mmoja maeneo ya Mbezi Beach, baada ya kupiga gambe la uhakika, Wakenya walianza kuropoka. Ila...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nitaendelea kusimamia utawala bora nchini kwalengo la kufufua maendeleo ya Zanzibar yatakayowainua wananchi kiuchumi - Othman Masoud Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, ambaye pia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mpaka sasa bado sioni sababu ya kunishawishi kua Magufuli hataongeza Muda wa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10 endapo atachaguliwa. Haya hawezi kuyaweka wazi yeye kama yeye binafsi Magufuli.Hili...
14 Reactions
25 Replies
3K Views
Miaka kadhaa iliyopita Professor Mwesigwa Baregu akihudumia masomo ya siasa na utawala alinyanyaswa, kudhalilishwa na kudunishwa utu wake pale Mlimani. Bashiru aliachwa aendelee kula mema ya nchi...
7 Reactions
53 Replies
9K Views
Alama ya nyundo na jembe kwenye bendera ya CCM ni ya kuwamaliza Wakulima. Nyundo inawagonga kichwani na jembe linawafukia kabisa. Marais Wastaafu wanajengeana nyumba baada ya kugawana nyumba za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo Magufuli hayupo Makonda sio tena mtu wa kuogopwa na mtu kama PM na Siro. Chalamila sio mtu wa kuchapa watoto wa watu viboko na kuwatisha wazazi wao. Kelele za Mambosasa na Mruto hazipo...
61 Reactions
76 Replies
7K Views
SASA NI ZAMU YA ALIZETI -Waziri Mku Alitaja Zao Hilo Kuwa Mwarobaini Wa Tatizo La Mafuta -Aelekeza Kufanyika Tafiti Za Mbegu Zenye Mafuta Zaidi -Aeleza Malengo Ya Kuzalisha Tani Milioni 1.5 Za...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba mahakama zimwachie mala moja Mdude Nyangali Hatutaki hapa kesi uchwara tena kwenye taifa letu Kuna wanaosema Rais aingilie kati kesi hii Mimi nakataa Mdude hana kesi yeyote ya kujibu ni...
15 Reactions
39 Replies
3K Views
Hii ndio Taarifa aliyoisambaza mitandaoni siku ya leo , kwamba kuna watu wabaya wamefika Karagwe kwa lengo la kummaliza , bali amejiapiza kwamba hatokimbia na anasubiri watekeleze Unyama wao...
66 Reactions
223 Replies
24K Views
Hivi sisi waswahili tuna tatizo gani lakini? kwa nini tunaona kwamba kuna watu fulani wanastahili kupewa fursa za uongozi hata wafanye madhambi ya ajabu kiasi gani? Ina maana hapa nchini suala la...
17 Reactions
135 Replies
10K Views
*Suala la kukatwa Tsh 10_1000 kwa watumiaji wa simu@siku._kushuka kwa watumiaji wa mtandaoo *Suala la kushushwa faini kutoka 30000-10000_Ajali zitaongezeka sanaa *Kupunguza na kufuta kodi...
0 Reactions
1 Replies
581 Views
Kujenga jengo la Benki ni gharama na sio kitu rahisi, Ingekuwa kitu rahisi basi hata Mimi nyumba yangu ningewapangisha Bank. Tuachane na Bank za Biashara kwenye hii mada, Tujadili kuhusu Benk kuu...
6 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo nimekutana na mwajiriwa na taasisi ya Banki Kuu ya Tanzania akiwa amechanganyikiwa. Kilicho mchanganya ni kitu cha ajabu sana. Aliniambia kesho 13.06.2021 wana ufunguzi wa jengo lao jipya...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mhandisi Robert Gabriel karibu Mwanza. Wenyewe tunaita Rock City, Jiji la Miamba. Wewe sio mgeni Kanda ya Ziwa, unatufahamu. Bado tunaimba na kuomboleza! Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert...
15 Reactions
46 Replies
7K Views
Kuna maneno yanatrend mtandaoni kua Mwigulu anasema kwamba hahitaji kupendwa na wengi wapigakura wake wanatosha kumpenda. Hii ni baada ya bajeti yake kuzua taharuki kubwa kuhusu kuongeza tozo...
7 Reactions
73 Replies
10K Views
Back
Top Bottom