FUMBO: Nawasalimu kwa jina la Tz

Kwani kazi inamaana gani?mbona kila kitu wanzengo munapenda kuweka tafsiri zenu?kazi kwa maana ya kazi,nini hakieleweki!.
 
Threads za kuhitimisha ushahidi hz kuwa kuna watu wamekwama kweli, Wanaumia kweli, wana hasira kweli, wana ushetani kweli vichwani mwao, wana wivu kweli.........lkn kubwa ziadi ni kuwa ni wajinga kweli kweli
 
Sio mawazo ya ovyo ndugu, mijadala imekuwa mingi kuhusu hili vijiweni. Ni vizuri kupata ufahamu hapa kwakuwa Jukwaa hili ni kila kitu Tz
 
Back
Top Bottom