CHADEMA, kuugua na kufariki kwa Prof. Baregu bila kuutaarifu umma kunatia doa uumini wenu wa uwazi

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,221
5,941
CHADEMA walishabikia kwa nguvu sana kutaka uwazi uwepo wa alipokuwa JPM, wakidai umma uelewazwe yuko wapi, kama anaumwa anaumwa nini. Sisi tukajua hiyo ndiyo imani yao.

Ila inapokuja upande wao; mfano wa hivi karibuni kuugua, kulazwa na kufariki kwa mjumbe wao wa kamati kuu Prof. Baregu hawafanyi kama wanavyowataka wengine wafanye.

Unafiki huu lengo lake nini? Au ndiyo viashiria vya chama kuishiwa hoja?

1623648096764.png
 
View attachment 1818132
Uzi wa kihanithi kabisa huu
 
Mleta uzi bila shaka anatokea team ya WASAFI (DABILIYUSIBI). Pale hata mtu akiugua mafua yupo insta live. Asipo oga muda mrefu anaenda insta live.
Buda mleta uzi ugonjwa na kifo ni faragha ya wanafamilia.
Unademka ee
 
Mama Samia ana busara sana anatanguliza utu mbele na siyo vinginevyo, moja ya mambo ya kujifunza kutoka kwake ni pamoja na hili la kutanguliza utu kwanza.

Mungu akuzidishie hekima Mama Samia
 
CHADEMA walishabikia kwa nguvu sana kutaka uwazi uwepo wa alipokuwa JPM, wakidai umma uelewazwe yuko wapi, kama anaumwa anaumwa nini. Sisi tukajua hiyo ndiyo imani yao.

Ila inapokuja upande wao; mfano wa hivi karibuni kuugua, kulazwa na kufariki kwa mjumbe wao wa kamati kuu Prof. Baregu hawafanyi kama wanavyowataka wengine wafanye.

Unafiki huu lengo lake nini? Au ndiyo viashiria vya chama kuishiwa hoja?

View attachment 1818132
Chadema hawafanyi wanachokiamini na hawaamini wanachokifanya.
 
Baregu alikuwa rais wa wapi? Je mpaka anafariki alikuwa na nafasi yoyote ya uongozi ndani ya cdm, mpaka cdm wawajibike kutoa taarifa zake kichama? Naona unalazimisha hata yasiyofanana ili kusawazisha ule upuuzi wa kipindichs dhalimu.
Yaani mawazo ya wana Chadema sijui mnayatoaga wapi! Taarifa ya Chadema inasema "Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema" halafu wewe unasema eti alikuwa na cheo gani hadi atangazwe? Kwahiyo, Chadema hicho sio cheo? Basi sawa. By the way, kwa Chadema asiye na cheo hapaswi kutangazwa anaumwa ila akifa ndio anatangazwa? Basi sawa!
 
CHADEMA walishabikia kwa nguvu sana kutaka uwazi uwepo wa alipokuwa JPM, wakidai umma uelewazwe yuko wapi, kama anaumwa anaumwa nini. Sisi tukajua hiyo ndiyo imani yao.

Ila inapokuja upande wao; mfano wa hivi karibuni kuugua, kulazwa na kufariki kwa mjumbe wao wa kamati kuu Prof. Baregu hawafanyi kama wanavyowataka wengine wafanye.

Unafiki huu lengo lake nini? Au ndiyo viashiria vya chama kuishiwa hoja?

View attachment 1818132
Tofautisha Rais wa Nchi na Mjumbe wa Kamati kuu ya Chama wakati mwingine Azima hata AKILI ZA jirani yako
 
CHADEMA walishabikia kwa nguvu sana kutaka uwazi uwepo wa alipokuwa JPM, wakidai umma uelewazwe yuko wapi, kama anaumwa anaumwa nini. Sisi tukajua hiyo ndiyo imani yao.

Ila inapokuja upande wao; mfano wa hivi karibuni kuugua, kulazwa na kufariki kwa mjumbe wao wa kamati kuu Prof. Baregu hawafanyi kama wanavyowataka wengine wafanye.

Unafiki huu lengo lake nini? Au ndiyo viashiria vya chama kuishiwa hoja?

View attachment 1818132
Haya majamaa yanayojiita makamanda yamedata.
 
Mpk hizo akili tope ziwateke ma CCM basi mtakuwa mmeachwa mbali sana na huu ulimwengu na unavyokwenda kasi ya ajabu Mungu ndio anajua. Pro. Baregu alikuwa rais wa nchi gani? na alikuwa anaongoza kwa kipindi kipi? Ile ni family issue. Yaelekea hata mtoa uzi katiba huijui kabisa alaa kaa kimya ufiche ujinga wako
 
CHADEMA walishabikia kwa nguvu sana kutaka uwazi uwepo wa alipokuwa JPM, wakidai umma uelewazwe yuko wapi, kama anaumwa anaumwa nini. Sisi tukajua hiyo ndiyo imani yao.

Ila inapokuja upande wao; mfano wa hivi karibuni kuugua, kulazwa na kufariki kwa mjumbe wao wa kamati kuu Prof. Baregu hawafanyi kama wanavyowataka wengine wafanye.

Unafiki huu lengo lake nini? Au ndiyo viashiria vya chama kuishiwa hoja?

View attachment 1818132
Tunawashukuru CCM na mwenyekiti wake kwa Salamu hizi. Ila mlete hoja hajui tofauti ya Rais wa nchi na Mwanachama na mjumbe wa vikao vya chama cha siasa. Kwanini wafuasi wa CCM upeo wao ni fichu? Rais ni wa wote siyo wa kikundi fulani cha chama cha siasa. Naomba sana CCM wajitahidi kuwaelimisha watu wao, naona kila siku ni kutia aibu tu kwa uelewa wao fichu.
 
Atofautishe KATIBA YA NCHI na KATIBA YA CHAMA.
Mbona mkimwekea sumu MM/KITI hamkutangaza na hamkutaja Mani kamwekea.
Rais wa Nchi ni haki ya wananchi.
Mjumbe ktk chama,ni haki ya wajumbe ktk chama kujua mwenzao sio taifa MIPAKA YA KIMAMLAKA.
 
CHADEMA walishabikia kwa nguvu sana kutaka uwazi uwepo wa alipokuwa JPM, wakidai umma uelewazwe yuko wapi, kama anaumwa anaumwa nini. Sisi tukajua hiyo ndiyo imani yao.

Ila inapokuja upande wao; mfano wa hivi karibuni kuugua, kulazwa na kufariki kwa mjumbe wao wa kamati kuu Prof. Baregu hawafanyi kama wanavyowataka wengine wafanye.

Unafiki huu lengo lake nini? Au ndiyo viashiria vya chama kuishiwa hoja?

View attachment 1818132
Kwani Prof. Baregu alikuwa kiongozi wa kitaifa serikalini?
Tusiwe wajinga kwa kuleta hoja nyepesi, CCM inahitaji kuwekeza sana kwenye bongo za wafuasi wake na sio kuwekeza kwenye vitu pekee. It's natural wisdom to say nothing over things you know nothing about,on contrary it's shame to express your knowledge emptiness in public.
 
Mleta uzi bila shaka anatokea team ya WASAFI (DABILIYUSIBI). Pale hata mtu akiugua mafua yupo insta live. Asipo oga muda mrefu anaenda insta live.
Buda mleta uzi ugonjwa na kifo ni faragha ya wanafamilia.

Lkn alikuwa kiongozi wa umma ujue!!!?
 
Back
Top Bottom