KIOO LIMITED SANZA ROAD

king majuto

Member
Dec 20, 2020
39
125
Menejiment ya kioo limited kiwanda cha kutengeneza chupa natoa maoni juu ya uongozi upande wa usafirishaji haswa kwa mtu anayeitwa mwalimu huyu mtu atawakosha madereva bora na wenye viwango vya hari ya juu kwa roho yake mbaya anafanya kampuni kama ya baba yake dereva hata ukizi vigezo vyote yeye kama hakupendi atakupiga chini na kuweka ndungu zake uongozi haulitambui huweka ndugu au jamaa zake kwa lento tu kula gari linapo safiri akatiwe chochote kitu hapo hapo amejivika kilemba cha ulokole wakati hana ulokole wowote.huyu mtu hafai kuwa kiongozi. Kama dereva wa maroli tena wa siku nyingi na nimziefu Nimefanya test vizuri yeye kapiga simu kwenye kampuni nilikokuwa zamani kaambiwa maneno ya kinafiki eti Mimi mlevi kituambacho sio kweli hata pombe ladha yake sii jui kanikosesha liziki hivi hivi nakushauli wewe unaejiita mwalimu hapo kioo limited jirekebishe na roho Yako mbaya azawaiz nakushauli uongozi wa kioo mwangalieni huyo mtu kwa jicho la tatu atawakosesha madereva bora na waaminifu.
 
Toxic Concotion

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
3,355
2,000
nahisi wewe ndio mwenye tatizo na sio huyo Mwalimu. Kuna sababu ya kuweka reference kwenye ombi la kazi. Ni ili muajiri ajiridhishe utendaji wako kupitia ulipofanya kazi. Sasa kama kaambiwa wewe mlevi ulitaka akupe gari ili ukalipindue huko. Iweje ulipotoka wakufanyie unafiki na ulipokwenda pia pawe na unafiki.
Wewe ndie mnafiki. Maana kupitia kufanyiwa test tu ushajua mpaka idadi ya ndugu na jamaa aliowaweka na kuwa wanamlipa kila trip.
Mkuu rekebisha tabia yako, unaonekana wewe ni mtata kazini.
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
26,157
2,000
Menejiment ya kioo limited kiwanda cha kutengeneza chupa natoa maoni juu ya uongozi upande wa usafirishaji haswa kwa mtu anayeitwa mwalimu huyu mtu atawakosha madereva bora na wenye viwango vya hari ya juu kwa roho yake mbaya anafanya kampuni kama ya baba yake dereva hata ukizi vigezo vyote yeye kama hakupendi atakupiga chini na kuweka ndungu zake uongozi haulitambui huweka ndugu au jamaa zake kwa lento tu kula gari linapo safiri akatiwe chochote kitu hapo hapo amejivika kilemba cha ulokole wakati hana ulokole wowote.huyu mtu hafai kuwa kiongozi. Kama dereva wa maroli tena wa siku nyingi na nimziefu Nimefanya test vizuri yeye kapiga simu kwenye kampuni nilikokuwa zamani kaambiwa maneno ya kinafiki eti Mimi mlevi kituambacho sio kweli hata pombe ladha yake sii jui kanikosesha liziki hivi hivi nakushauli wewe unaejiita mwalimu hapo kioo limited jirekebishe na roho Yako mbaya azawaiz nakushauli uongozi wa kioo mwangalieni huyo mtu kwa jicho la tatu atawakosesha madereva bora na waaminifu.
Pole sana
Kama ni kweli huyo mwalimu atapata madereva wabovu tuu,hakuna tajiri anaefurahi dereva mzuri aondoke
 
Hechinodemata

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
1,328
2,000
Halafu nataka kuwakumbisha KIOO LTD ni kampuni kubwa sana tanzania na east africa, lakn cha ajabu kampuni hii inalipa mishahara ya hovyo na haina hata website, ukitafuta detail zake huwezi kuipata, Hii ni ajabu sana. Niliwahi kufanya kazi miaka 10 iliyopita wakati wanaongeza Plant ya pili nilishangaa sana wanapeleka chupa mpaka SA, burundi rwanda congo, malawi na nchi nyingine hapa tanzania ndo usiseme mana ni kampuni pekee lakn huwezi pata habari zake. Ni kitu cha kushangaza sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom