Uhalali wa bunge hili uko wapi?

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,304
SPIKA kuna baadhi ya sheria kandamizi na za ovyo sijui zilipitaje.
Yeye ndiye alikuwa Spika.
RAIS Bunge halina afya kabisa.
Ameona nini?
N/SPIKA Wabunge wanapiga sana kelele,wabunge wameweka kijiwe kwenye kiti cha waziri mkuu anashindwa kisikiliza bunge.

WABUNGE WASIO NA CHAMA.
N/SPIKA hakuna barua yoyote kufukuzwa uanachama.

MBUNGE NAPE
Uhalali wa wenzetu uko wapi

Tumeshuhudia wabunge:
Wamepita bila kupingwa,
Wameshinda kwa kishindo,
Wameingia kwa fojari,

Uhalali uko wapi na mini kifanyike kwa sasa nasiku zijazo
 
Naona hoja ila mpaka nipekenyue pekenyue; boresha uandishi, weka hoja yako hadharani, wataalamu wataipanua zaidi ili tufaidike wote
 
ACHENI WIVU WA KIJINGA WACHENI WANAUME WAFANYE KAZI KUIJENGA NCHI MNAPIGA KELELE KAMA MALAYA MALAYA?
 
Nani kakudanganya kwamba lile ni bunge?,
ule ni mkutano wa kusutana umbea.
 
Back
Top Bottom