Zito Kabwe ni msaliti na adui wa Demokrasia Tanzania

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
1,110
2,736
Ukiangalia muendelezo wa mateso ya Upinzani wa ukweli Tanzania hasa CHADEMA, Zitto na Chama chake hawajawahi kuguswa. Ni maneno tu lakini CCM haimgusi.

Zitto Kabwe hana ushirikiano na wapinzani. Siku zote ni SNITCH. Wapinzani wanapoelewana au kuafikiana, yeye Kama Lipumba, anakuja na mchanga na kumwaga kwenye wali. Wapinzani wanapokataa kushiriki uchaguzi wowote hadi tume, huru yeye ni wakwanza kushiriki uchaguzi. Kwa kifupi ni mbinafsi ambaye haeleweki. Zitto anatumika

Uchaguzi ulioisha Muhambwe, wapinzani waligoma kushiriki, Yeye kashiriki. Leo Asubuhi aliitangazia dunia amegundua Kura feki na maisha yaka yako hatarini, Jioni anaipongeza CCM. Siku zote yeye anafanya vitu kinyume.

Huyu tu ni Kitengo cha CCM. Anatuadaa. Tumkatae na tukimuendekeza, kiu yetu ya TUME huru itabakia kuwa ndoto. Watanzania itabidi tumdhibiti huyu YUDA ISKARIOTI
 
Uchaguzi ulioisha Muhambwe, wapinzani waligoma kushiriki, Yeye kashiriki. Leo Asubuhi aliitangazia dunia amegundua Kura feki na maisha yaka yako hatarini, Jioni anaipongeza CCM. Siku zote yeye anafanya vitu kinyume.
Hivi wachora katuni wa Tanzania kwa nini hawamtumii huyu mwanasiasa, maanake anastori za kuvutia sana!

Naona sasa ni kama amechanganyikiwa; kijana ambaye alitegemewa kuwa mashuhuri katika siasa za Tanzania.
 
Leo Asubuhi aliitangazia dunia amegundua Kura feki na maisha yaka yako hatarini, Jioni anaipongeza CCM. Siku zote yeye anafanya vitu kinyume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kuandika humu Bwana Mdogo imani imani anaitumia ndivyo sivyo
Yeye na mwendazake wa kisiwani walikuwa na jambo
Ukisikia misimamo kama misimamo
Aliondoka cdm kuamini ni chama cha msalaba
Tumuogope Mungu bandugu
Yajayo yatawachukiza wengi
Hahahhh eti Adela....
 
Utasikia tu kateuliwa mbunge viti maalum, siasa n mchezo wa hovyo sana,au RC mahali fulani, au mwenyekiti bord fulani, tupo hapa mtakuja nieleza.
 
Naona sasa nyie CHADEMA kumtaja Prof. Lipumba kwa ubaya ni ibada. Hivi wapinzani waliwahi kukubaliana jambo gani ambalo Lipumba akasaliti?

Kama unamaanisha makubaliano ya UKAWA yakupasa kuelewa Lipumba ndo muasisi wa harakati zile bali Mbowe na Maalim Seif ndo walifanya usaliti kwa kumpendelea mwana CCM Lowassa kutumia jukwaa kugombea urais tofauti na makubaliano yaliyowekwa.

Lakini yakupasa kuelewa kuwa Prof. Lipumba ndo kiongozi wa kwanza wa chama cha siasa kuweka msimamo wa kutoshiriki tena uchaguzi mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita na CHADEMA wakafuata msimamo huo. Bali kwenye uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa vyama vya upinzani vilitangaza kujiondoa na CUF pia iliondoa wagombea wake.

Unawezaje kumfananisha Lipumba na Zitto Kabwe? Hivi si Lipumba na Chama chake waliotoa msimamo wa kutoshirikiana na chama chochote ambacho kingesimamisha kada wa CCM kuwa mgombea urais katika uchaguzi mkuu uliopita? Hi si nyinyi CHADEMA ndo mulimuona Zitto na Maalim Seif waliomsimamisha mwana CCM Membe kuwa mgombea wa ACT wanawafaeni kushirikiana nao? Leo mnalalamika Zitto msaliti?

Acheni unaafiki! Acheni ubaya!
 
Naona sasa nyie CHADEMA kumtaja Prof. Lipumba kwa ubaya ni ibada. Hivi wapinzani waliwahi kukubaliana jambo gani ambalo Lipumba akasaliti?

Kama unamaanisha makubaliano ya UKAWA yakupasa kuelewa Lipumba ndo muasisi wa harakati zile bali Mbowe na Maalim Seif ndo walifanya usaliti kwa kumpendelea mwana CCM Lowassa kutumia jukwaa kugombea urais tofauti na makubaliano yaliyowekwa.

Lakini yakupasa kuelewa kuwa Prof. Lipumba ndo kiongozi wa kwanza wa chama cha siasa kuweka msimamo wa kutoshiriki tena uchaguzi na CHADEMA wakafuata msimamo huo. Bali kwenye uchaguzi uliopita wa seeikali za mitaa vyama vya upinzani vilitangaza kujiondoa na CUF pia iliondoa wagombea wake.

Unawezaje kumuita Lipumba msaliti?
Moja ya Wanasiasa njaa na wa hovyo ni Zito kabwe.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Tatizo la Chadema ya sasa imekosa ustarabu yaani siasa zao tangu aondoke Dr. Slaa zimekuwa za hasira sana badala ya hoja, Mbowe amekuwa mstarabu sana ila amezidiwa na wanaomzunguka wengi sio wastarabu, hii imepelekea wananchi wengi kuwaona chadema kama sio wazalendo hasa kipindi cha JPM kutokana na siasa zao za kupinga kila jambo.

Zito Kabwe ni mwanasiasa mzuri sana ila amekuwa haeleweki eleweki. Kuna awamu anakuwa mkali sana na hukemea na kupinga mambo mengi hata yenye manufaa kwa Taifa, ila kuna awamu ikifika ukosoaji wake unapungua utadhani yeye sio mpinzani tena.

Pamoja na kuwa Dr. Slaa yupo CCM kwa sasa ila wanachi wengi wanamuamini kwamba ndiye mpinzani wa kweli kutokana na misimamo na uzalendo wake.
 
Siasa imegeuzwa ajira nchi hii. Zitto hajui chochote hata biashara ya kuuza nyanya hajui so anaweza fanya chochote aendelee kujaza tumbo lake. Ni super gold digger.
Msajili wa vyama azuie siasa ajira. Ona kina Abdul Nondo kutwa kupita pita siasa tuu. Haya ni mabomu hatari sana.
Zitto angekua mwanamke angekua dada poa chokaa wa kimboka au temeke sudani
 
Back
Top Bottom