NGO's zaomba kukutana na Rais Samia
Mashirikaka yasiyo ya kiserikali Kanda ya ziwa yameomba kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MH. Samia Suluhu Hassan ili kueleza kero na...
Wabunge wenzangu mshahara haujawahi tosha ukitaka utoshe jiajiri.
Kwenu wabunge wenzangu, Naandika ujumbe huu kwenu ili mpate walau somo.
Mambo ya hela yapo hivi:
Unapopata mshahara mkubwa na...
Naingia kwenye mada moja kwa moja nisiwachoshe. Baada ya mwendazake kufanikiwa kuiharibu hii nchi kwa kubaka Uchaguzi Mkuu wa 2020, sasa CCM inaongoza nchi nzima kuanzia Balozi hadi Rais...
Nawasalimu nyote.
Kwanza kabisa serikali mnafanya mengi mazuri.
Kuhusu suala la kupanda kwa bei ya petroli imekuwa pigo kubwa kwa watumiaji wa vyombo vya usafiri kitu ambacho kinaumiza wengi...
Ndugu wanahabari,
Leo tumewaiteni kwa ajili ya kuzungumza nanyi juu ya jambo muhimu ambalo limetokea mwezi huu na likikihusu chama chetu, ulinzi wa fedha kodi za watanzania na mwelekeo wa...
Nimeshangazwa sana Kusikia BUNGE la TANZANIA lina DEMOKRASIA. BUNGE lisilo na
[emoji117]KAMBI Rasmi ya UPINZANI kama SHERIA Inavyotaka
[emoji117]BUNGE lililokiuka KATIBA kwa Kuwaapisha WABUNGE...
Ushawishi, motisha ndo mambo ambayo yanainua hali na matamanio ya mtoto kusoma na mzazi kusomesha.
Wanasiasa na serikali Elimu mnaepeleka wapi kama mambo haya mnayafanya nyinyi,
Ajira za Ualimu...
Leo Mh.Nikki wa Pili amepokelewa na uongozi wa CCM wilaya ya kisarawe.
Sasa ni rasmi Mh.Nikki ni kada mtiifu wa CCM, hakina historia imeandikwa tena.
Vijana wenye akili na maarifa wamo ndani ya...
Kuanzia tarehe 1 July, bei za mafuta, kuanzia petrol, diesel, kerosene zitapanda kwa kiwango kisicho na chembe ya uungwana. Maisha yatapanda.
Mfumuko wa bei utapanda wakati kodi zitashuka maana...
Ujumbe huu nimeutoa mahali lakini author hafahamiki ila utawasaidia sana vijana hawa kujitambua na kujua kuwa ubaguzi wao na dharau kwa wengine hauna manufaa kwao;
Matokeo ya Kisiasa yanataka...
Hii nchi wote sisi ni wafungwa au mahabusu watarajiwa, tusipojiandaa kuishi vyema mahabusu tukadhani tupo salama tutaingizwa huko na patakua si sehemu salama kiafya na kimalazi kukaa.
Nchi za...
Kwasababu bado sina chama cha siasa, nataka kuwashauri viongozi wakuu wa CCM. 'Msijitenge na hoja ya katiba na kuwaachia upinzani pekee, mnafanya kosa kubwa'.
Nimeangalia trend mpaka sasa huko...
Nimekuwa nikijuliza maswali mengi sana kuhusu mikoa hii miwili ya Arusha na Kilimanjaro hasa majimbo ya Hai na Arusha Mjini ni kama watu wa haya maeneo ni watu parfect sana.
Kila kiongozi anaye...
30 Juni 2021
Paris , France
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Juni 30, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyekiti wa kundi la maseneta...
Amani iwe nanyi,
Kuna kauli mbalimbali ambazo zilitolewa na rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan zilizopelekea Watanzania kuwa wamoja zaidi na kuifanya nchi kutulia mara...
Nimekuwa nikifuatia kwa karibu sana tabia ya Tanzania ya kukwamisha maendeleo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kuanzia kuzuia uhuru wa kugura (movement) kwa raia wa Jumuiya, hadi kulipisha ushuru...
Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.
Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo...
Habari wakuu
Mimi binafsi nimekuwa nikipenda namna mh Rais anaongoza nchi yetu, ana maneno ya busara ,hekima na matumaini ,ana huruma mpaka akitoa ahadi huoni namna ya kumpinga wala kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.