Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dr. Faustine Ndugulile naamini amepwaya pale mawasiliano, kasi ya mabadiliko ya teknologia ukilinganisha na uwezo wake kiubunifu kwenye ili eneo amepwaya kabisa. Waziri wa michezo Bashungwa...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa kwa hali ya siasa ilivyo kwa sasa CHADEMA wameshindwa kupata ajenda ya kuwafanya watanzania washawishike kuwa wao ni mbadala na hii ni kutokana na ukweli kwamba...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Siku kadhaa zilizopita, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alitoa agizo kwamba kutokana na meneja wa Tanroads wa Morogoro Godwin Andalwisye kufanya uzembe wa kutoyafanyia ukaguzi madaraja ya barabara ya...
20 Reactions
167 Replies
24K Views
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Jinsia Wazee na Watoto amesema watu wengi wanasema Tanzania haitoi data, ambapo amesema data haina haja ya kutangazwa kila siku na Waziri, utakuwa ni ujinga mtupu...
7 Reactions
170 Replies
14K Views
Wanasiasa wakae pembeni watuachie wananchi tudai katiba yani Viongozi wa dini Asasi za kiraia Waandishi wa habari Wakulima Wafanya biashara Wafanyakazi Machinga, boda na bajaj Nk Kila kundi...
1 Reactions
6 Replies
977 Views
Habari. Kufuatia taarifa iliyotolewa jana kuhusu mwenendo wa uandikishaji wa wapiga kura na waziri Jafo inaonyesha hali ni mbaya kwenye maeneo yanayoongozwa na chadema yani Dar ,Arusha na...
1 Reactions
124 Replies
11K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tanga imewaachia huru wakurugenzi sita wa bodi ya kiwanda cha chai cha Mponde Tea Estate akiwamo mbunge wa zamani wa Bumbuli, William Shelukindo. Wameachiwa baada...
7 Reactions
33 Replies
5K Views
Sukari ni kiungo mhimu kabisa kwenye maisha ya Mtanzania, haijalishi matajiri au maskini lazima atumie sukari. Binadamu woote bila kujali mzima ama mgonjwa lazima atatumia sukari. Ndio maana...
6 Reactions
51 Replies
5K Views
Hakika rais mstaafu awamu ya 4 Jakata Kikwete atabaki katika historia ya tanzania kama baba wa demokrasia aliyethubutu kuwapatia watanzania katiba mpya licha ya ndoto yake kutokutimia kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
695 Views
Kauli ya Rais ni sheria, Leo tarehe 01 Julai 2021 watendaji wa Bodi ya mikopo bado hawataki kufuta Value Retention Fee na hivyo wanafunzi bado wanadaiwa mamilioni ya pesa ya Value Retention Fee...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika kujibu mapigo ya wenzetu wanaokuja na operation sijui ya nini, Rais kasema yeye hajaribiwi. Na kamwe mtu yoyote asithubutu kumjaribu. Huu ni muda wa kazi, hivyo tuwaache wananchi wachape...
38 Reactions
1K Replies
136K Views
Tuseme ukweli Kenya wana moja ya Katiba Bora kabisa kwa mazingira ya Afrika. Yaani ukiangalia Mazingira ya Africa yalivyo basi hawa jamaa wana katiba nzuri sana aangalia Kesi ya BBI yao...
6 Reactions
53 Replies
3K Views
Wasalaam Wakuu!. Leo CHADEMA walikuwa na jambo lao waliloliita KATIBA DAY ambapo viongozi wao wakuu wa Chama pamoja na wanachama wao mashuhuri walihudhuria katika kongamano hilo. Suala la Katiba...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Salamu! Ni vyema tunaposema kuwa tunaenda kufungua uchumi kwa kualika wawekezaji wa nje tuwe na sera mahsusi na sheria dhibiti zinazotuongoza katika utekekezaji. Iwapo Sera na Sheria zetu ni...
1 Reactions
4 Replies
748 Views
Hii ilikuwa katika bunge la pili la Utawala wa Mwendazake mwaka 2017 (mwaka mmoja na nusu hivi baada ya Magufuli kuingia madarakani). Miezi michache baadaye mbele akapigwa risasi kadhaa ili afe...
11 Reactions
21 Replies
4K Views
Kumbe Rais Samia alikuwa na mkutano na kundi fulani la watu! Sikufuatilia aliongea nini, kwa sababu huwa napata taabu sana kufuatilia mikutano ya Wanasiasa iwe wa chama tawala au upinzani. Hata...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika Mkutano wa kikazi kati ya Mh Rais wa AWAMU YA SITA na Waandishi wa habari/wamiliki wa vyombo vya habari na wanahabari, Mh Rais labda kwa kufahamu au kutofahamu alifanya PROMOTION/MARKETING...
15 Reactions
54 Replies
4K Views
Kwa kifupi sana ningependa kujua nini maana ya "fedha za serikali zimetumika nje ya bajeti"? Ninavyojua moja ya kazi kuu ya Bunge ni kusimamia serikali, sasa inakuwaje bunge lipitishe bajeti...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Dk Zainab Chaula, Katibu Mkuu Wizara ya Teknolojia, Habari na Mawasiliano Digital economy entails the following 12 themes: Knowledge, Digitization, Virtualization, Molecularization...
1 Reactions
3 Replies
798 Views
TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza ratiba ya Uchaguzi Jimbo la Konde, Micheweni, Kaskazini Pemba na Kata sita za Tanzania Bara.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom