Kisa kizima kinapatikana hapa 1 Wafalme 13:1-34
Kwa ufupi sana, Mfalme Yeroboamu alimtenda MUNGU dhambi, na dhambi hii ilipozidi kuwa kubwa MUNGU akamwinua Nabii MWINGINE ambaye alikwenda hadi...
Nahisi kama tuna bahati mbaya sana ya kupata viongozi wasio na maono (vision). Tumejidai kupima mafanikio ya Rais ktk siku 100.
Huwa haitegemei mambo yanayoonekana ktk siku 100, muhimu huwa ni...
Zanzibar(Unguja&Pemba)
1. Eneo 2654 km2
2. Idadi ya wabunge 50
3. Kiasi cha fedha milioni 500*50
Sawa na bilioni 25.
Mkoa wa Pwani
1. Eneo 32407 km2
2. Idadi ya wabunge 09
3. Kiasi cha fedha...
Karibu majina ya mitaa au viwanja vya ndege huwa yanatolewa na watu waliopo kuwaenzi watu fulani kwa michango yao. Mfano uwanja wa Benjamin Mkapa ulipata jina baada yya Rais wa awamu ya pili...
Ndugu wafanyakazi na watu wote wenye mapenzi mema mliojiunga na mifuko mbali mbali ya hifadhi za jamii kwa lengo la kujiwekea akiba ya siku zijazo; Serikali yenu imepuuzia maoni ya Kambi Rasmi ya...
Je, ungepata nafasi ya kumshauri Rais kuhusu kuleta wawekezaji ungemshauri alete wawekezaji wa viwanda gani.
Toa maoni yako, hapa.
Maoni yako ni muhimu.
DC JOKATE MWEGELO: TAA ZA KISASA KUWEKWA ENEO LA NJE MKABALA NA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA TEMEKE.
MKUU wa Wilaya ya Temeke, Mhe Jokate Mwegelo ametanabaisha dhamira yake ya kubadilisha taswira ya...
Tukubaliane tusikubaliane Rais Samia kashakubali mradi wa Bagamoyo kwa masharti aliyoyakataa Magufuli na ambayo Kikwete aliyakubali. Kwa hivi sasa ni kiini macho kinafanyika. Watatumwa watu...
MAKAMU wa Rais wa JMT, Dk. Philip Mpango, amewasili nchini Ufaransa kwa ajili ya kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye Jukwaa la Kizazi Chenye Usawa (Generation Equality Forum) linalofanyika...
Dalili zote zinaonyesha CCM itaanguka uchaguzi huu au ikishinda kiongozi mkuu atapata msukosuko mkubwa kutawala na mwisho wake ataanguka.
Uwenda kukawepo na mabadiliko makubwa hata kama dicteta...
Habari wana JF
Ni muda sasa, tangu mwezi wa sita hivi nimekuwa nikisikia kwamba Serikali ipo katika hatua za mwisho za kuzuia wafanyakazi wa sector binafsi kuchukua NSSF zao mpaka wafikishe umri...
Wakuu Asalam aleikum,
Hayati Magufuli aliwahi kusema kuwa "your not free to such extent" akiwatahadharisha wanahabari juu ya kile alichokiita upotoshaji na kuwaonya vikali.
Baada ya kauli hiyo...
Mama omba radhi Watanzania kauli yako ya kusubiri kwanza kufufua uchumi ndiyo turuhusu marekebisho ya katiba na mikutano ya kisiasa hii umechemka.
1. Utachukiwa kuliko hata JPM
2. Utapoteza...
Vipo viashiria kwa mbali vinaonyesha kuwa rais Samia ameanza kukizoea kiti (Hili ni jambo zuri), na pia ameanza kukipenda kiti (hili siyo jambo baya) ila ameanza kutamani kukilinda kiti kwa...
WanaJF,
Uzi nauandika nikiwa na hofu ya misleading kubwa ktk suala hili la Katiba Mpya, ni kweli Katiba Mpya ni muhimu sana kwa kuwa ya sasa ina matundu makubwa sana lakini nachosikitika...
Anaripoti Peter Elias- Mwananchi
Dar es Salaam!
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amebainisha katika kitabu chake kwamba maisha ya wapinzani bungeni yalikuwa magumu kutokana mbinu...
Miaka nenda rudi majimaji,maziwa,mito na mabwawa yamejaa.
Wamisionari walijenga miradi ya maji miaka mingi lakini bado inadumu na inafanya kazi.
Miradi kichefuchefu nani husababisha.
Waziri wa Ardhi Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amewaagiza wataalamu wa wizara anayoiongoza kuwakabidhi mradi wa viwanja 20,000 viongozi wa Halimashauri ya Wilaya ya Kigamboni.
Waziri Lukuvi...
TAARIFA KWA UMMA
Kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kimefanyika Jumanne Juni 29, 2021 chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.