Kisarawe: Nikk wa Pili apokelewa na uongozi wa CCM wilaya, Rasmi sasa ni kada CCM

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,174
27,223
Leo Mh.Nikki wa Pili amepokelewa na uongozi wa CCM wilaya ya kisarawe.

Sasa ni rasmi Mh.Nikki ni kada mtiifu wa CCM, hakina historia imeandikwa tena.

Vijana wenye akili na maarifa wamo ndani ya CCM. Mh. Nikki ni hazina ya baadae.

Mh.Nikki amepokelewa na mwenyekiti wa CCM wilaya Mh.Khalfan Sika. Huu ni moja ya usajili bora kabisa.

Ikumbukwe moja ya sababu kubwa ya CCM kuwa chama dume duniani ni kutokana na kukumbatia vijana wenye akili kama ya Mh.Nikk

Hivyo natoa wito kwa vijana wote wenye akili timamu kujiunga na CCM.

Karibu Mh. Nikki kwenye chama dume.

#nasimama na mama# kazi iendelee#
#kisarawe mpya#
Screenshot_20210630-190546_1.jpg
 
Nikki wa pili ni kada wa CCM kwa zaidi ya miaka kumi japokuwa alikuwa anajificha, kuona aibu na kutokujiamini kusema yeye ni mwanaCCM kwa kuwa CCM wengi wanajulikana kuwa wana akili fupi fupi za kitaahira fulani.

Ujinga wa Nikki wa pili ni kujifanya sasa ndio kada wa CCM kwa kuwa amepewa kazi ya ukuu wa wilaya. Hajui nafasi yake. Ni akili za kibalehe ya madaraka.
 
Kunywa maji mengi alafu jipige kifuani sema "Mimi ni mjinga"
 
Leo Mh.Nikki wa Pili amepokelewa na uongozi wa CCM wilaya ya kisarawe.

Sasa ni rasmi Mh.Nikki ni kada mtiifu wa CCM, hakina historia imeandikwa tena.

Vijana wenye akili na maarifa wamo ndani ya CCM. Mh. Nikki ni hazina ya baadae.

Mh.Nikki amepokelewa na mwenyekiti wa CCM wilaya Mh.Khalfan Sika. Huu ni moja ya usajili bora kabisa.

Ikumbukwe moja ya sababu kubwa ya CCM kuwa chama dume duniani ni kutokana na kukumbatia vijana wenye akili kama ya Mh.Nikk

Hivyo natoa wito kwa vijana wote wenye akili timamu kujiunga na CCM.

Karibu Mh. Nikki kwenye chama dume.

#nasimama na mama# kazi iendelee#
#kisarawe mpya#
View attachment 1835901
Miaka 60 iliyopita tulikuwa Sawa na china,Korea,Vietnam,Singapole,leo wenzetu wapo ulimwengu wa kwanza,wanawaza kwenda na kupereka vifaa vya kisayansi mwezini na anga za mbali,sie Bado makapuku,hata sukari na mafuta ya kula hatuwezi kuzalisha ya kutosha mpaka tuagize nje!!
Huo uchama dume upo wapi?!!mmebaki kuwa majizi,hamna Tena maarifa kipi Cha kufanya,siku akitokea Mwendawazimu kama Samuel doe,awapange viongozi Wote wa chama tawala,na kuwapiga risasi,hii nchi itapona
 
Ameingia kwenye chama ambacho kinaelekea ukingoni......bad timing
 
Miaka 60 iliyopita tulikuwa Sawa na china,Korea,Vietnam,Singapole,leo wenzetu wapo ulimwengu wa kwanza,wanawaza kwenda na kupereka vifaa vya kisayansi mwezini na anga za mbali,sie Bado makapuku,hata sukari na mafuta ya kula hatuwezi kuzalisha ya kutosha mpaka tuagize nje!!
Huo uchama dume upo wapi?!!mmebaki kuwa majizi,hamna Tena maarifa kipi Cha kufanya,siku akitokea Mwendawazimu kama Samuel doe,awapange viongozi Wote wa chama tawala,na kuwapiga risasi,hii nchi itapona
Wewe ni zaidi ya mjinga, nakupa pole sana
 
Huyo chawa wa muda mrefu sana, alikuwa anasubiri alipwe mshahara ndio akubali kuwa chawa rasmi, kuwa chawa bila mshahara kulimshinda aliona aibu.
Wewe ni mjinga, hilo ndio jina zuri la kukuita
 
Back
Top Bottom