Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunataka Miradi mingi katika taifa letu, Lakini tunataka miradi ambayo kiukweli italeta ukombozi wa maisha ya wananchi Mradi wa Bandari ya Bagamoyo, ni mradi mkubwa na unaumhimu wake, Lakini kwa...
14 Reactions
172 Replies
12K Views
KWENYE HILI LA SABAYA, CHADEMA INAIFUNZA JAMBO CCM Anaandika Mbatizaji Mkuu Unaemwona pichani ni Mdude Nyagali, maarufu kama Mdude Chadema, huyu ndugu alikamatwa na dawa za kulevya kidhibiti...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Enzi hizo watu walidhani Mwl Nyerere ataamuru majeshi. Akawambia waacheni wasukume gari la Mrema, wakichoka wataacha wenyewe. Hivyo upinzani muwaache waongee kwenye mikutano, wananchi watawachoka...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema imeibuka tabia ya barua za ofisi za Serikali kuonekana mitandaoni akitaka taarifa hizo kuwa siri. Majaliwa ameeleza hayo leo Jumatano Juni 30...
2 Reactions
63 Replies
6K Views
Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi. Umma utaelezwa yaliyomo...
7 Reactions
135 Replies
13K Views
Habari wanabodi! Nilikuwa nashauri kwamba kwa sasa tumpe nafasi mama akuze uchumi maana uchumi wetu kiukweli ulipo si pazuri ukilinganisha na huko nyuma tulipotoka kabla ya hili janga la uviko...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari Wanabodi. Kuna kinachoendelea hapa Mwanza katika Mradi wa Ujenzi wa Stendi Mpya Kubwa na ya Kisasa Nyegezi Stendi hakika ni Makosa mengine Makubwa ya Kimpango Miji na Taaluma Yake.. Kama...
7 Reactions
37 Replies
12K Views
Katibu wa Wizara ya TEHAMA, Dk Zainab Chaula, na Waziri wake, Dk Ndungulile wakiteta jambo Wizara ya Tekinolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) imezindua mpango wake wa maendeleo wa miaka mitano...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii ni moja ya habari katika magazeti ya leo na pia iko mitandaoni, hivyo wacha tusubiri hiyo kesho kusikia kilichomo katika hiyo ripoti. Swali ni je, ripoti hiyo itajibu maswali watu waliyonayo...
4 Reactions
61 Replies
7K Views
Nimesikia kuwa kesho ndo siku ya katiba. Sina hakika hasa ni akina nani ndo wameipanga ila nahisi ni akina mwafulani. Shughuli itafanyika hapo Segerea. Tundu Lissu atakuwa mtoa mada. Au labda...
10 Reactions
81 Replies
6K Views
Hatutaweza kupata mkataba mzuri kama mwekezaji anajua yuko peke yake! Tunachotaka tunajua na mradi utangazwe kama tenda ili wadau wengine na mashirika mengine nayo yaweze kuleta tenda zao. Kuna...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari wadau! Hivi Joshua Nassari yupo wapi? Kuna muda nilianza kuwaza ujinga kwamba huyo dogo uenda ikawa kapata bebi ya kizungu hivyo atakuwa ametulia huko ubeberuni anakula maisha. Japo mimi...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari wadau! Ni muda sasa wizara zikajitathimini na kuwa wabunifu ili kumsaidia mama kuongeza mapato. Nilikuwa nashauri serikali kupitia wizara husika kuangalia uwezekano wa kuanzisha utalii...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kenta ya kijani inapita katikati ya njia mbili na ina ngao kubwa kuzuia wengine kupita ilihali ina kasi ndogo. Mwenye uelewa mzuri atufafanulie
16 Reactions
75 Replies
6K Views
Kutokana na vurugu zinazoendelea huko Eswatini baada ya wananchi kuchoka umaskini na udikteta wa mfalme Mswati aliye busy kuponda raha na vidosho inasemekana jamaa kaamua kukimbia nchi...
10 Reactions
96 Replies
12K Views
Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Arusha kupitia kitengo kidogo Cha Malalamiko kinachosimamiwa na katibu tawala wilayani hapo,kimegeuka mahakama kwa kutoa maamuzi ya ovyo yaliyojaa Rushwa huku Haki...
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Namna ambavyo Rais magufuri amejipambanua kukabiliana na janga la corona ni dhahiri amekonga nyoyo za walio wengi na hii imepelekea kupata uungwaji mkono na maelfu ya watanzania wakiwemo wa vyama...
19 Reactions
129 Replies
12K Views
Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson amewataka wabunge kuangalia vipindi vya televisheni ili kujua shida za wananchi. Amesema viko vipindi ambavyo vinaonesha shida za wananchi...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Toka Tanzania ipate uhuru mpaka sasa ni takribani miaka 60 tuna kimbilia robo tatu Karne,tukishuhudia mabadiliko ya kimfumo na siasa zinazo zalisha wanasiasa UCHWARA. Wanasiasa Giants wenye...
0 Reactions
8 Replies
992 Views
NGO's zaomba kukutana na Rais Samia Mashirikaka yasiyo ya kiserikali Kanda ya ziwa yameomba kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MH. Samia Suluhu Hassan ili kueleza kero na...
0 Reactions
3 Replies
977 Views
Back
Top Bottom