Kwa kinachoendelea nchini Tuanze tu kampeni ya kuboresha Magereza vinginevyo tuwe na katiba mpya

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Hii nchi wote sisi ni wafungwa au mahabusu watarajiwa, tusipojiandaa kuishi vyema mahabusu tukadhani tupo salama tutaingizwa huko na patakua si sehemu salama kiafya na kimalazi kukaa.

Nchi za wenzetu wameboresha Magereza maana wanajua upo uwezekano bila hatia ukahama nyumbani kwako na kwenda kuishi gerezani kwa sababu tu mtawala ameamua iwe hivyo.

Tujenge Magereza ndugu zangu.
 
Rest in Peace Fr Karugendo
 
Back
Top Bottom