Kuzuia mikutano ya siasa kunaifubaza CCM na kuimarisha Upinzani, ndio maana Uchaguzi Mkuu 2020 ulikuwa mgumu kwa CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,736
141,599
Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.

Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.

Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika tusiwaogope.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
 
Umesema ukweli. Na uchaguzi wa 2020 ungekuwa huru CCM ingeshindwa vibaya sana. Lakini naona mama hilo halimsumbui kwa sababu ameshajua inawezekana kutumia nguvu kupora kura na kisitokee chochote.
 
Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.

Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.

Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika tusiwaogope.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Tatizo CCM ilishajifiaga hamna Chama nyie, na MaCCM wote mnalijua hilo,
Samia analinda tu teuzi zenu ,hakuna uchumi utajengwa na MaCCM baada ya kushindwa miaka zaidi ya 60. Tusichoshane.
 
Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.

Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.

Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika tusiwaogope.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Siyo Kweli ,maana CCM Wanasema Uchaguzi wa Octoba 2020 walishinda Kwa Kishindo 98% never ever happened since then. Ila in reality Hakuna uchaguzi uliowapa taabu kama 2020, hawatakaa wakasahau kwani walibanwa Kama Mjuzi anavyobanwa na Mlango. In short wakiendelea na utaratibu wa kuwabana wapinzani kwao ni disaadvantage, kuna siku watafurushwa.
 
Hakuna shida yoyote kwa CCM kwasabb jeshi la polisi, TISS na JKT wapo watatumwa kuiba kura tena.

Mama aendelee kukaza uzi
 
wafanye kazi wanatuletea makelele mtaani huku....huu ni muda wa kufanya kazi, waache watu wafanye kazi, 2025 watafanya hayo mambo yao...wakianza hizi siasa zao za mikutano nguvu kazi nyingi inapotelea huko na kuleta usumbufu kwa jamii mtaani..

Yule jamaa amewalaza njaa 6yrs sasa wanataka kutafuta namna ya kutumia ruzuku na fedha za wafadhili...
 
Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.

Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.

Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika tusiwaogope.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Msikilize Bashiru wa enzi zileee akiwa Mlimani.

Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.

Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.

Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika tusiwaogope.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Hii account imekua HACKED leo naona, si kawaida kwa UVCCM kuandika post za mfumo huu.
 
Ni yeye original kabisa! Wana CCM wote wanajua hitaji la katiba mpya isipokuwa wanawahofia baadhi ya viongozi wao!
Kumbe? Lakini si wanaema hakuna mkubwa kuliko chama? Wanashondwaje kuwa outshine hao viongozi wao?
 
Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.

Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.

Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika tusiwaogope.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Aisee ni kweli uchaguzi ulikuwa mgumu, yaani Tundu Lissu hakuwa na bango ATA moja, hakuwa na msanii ATA mmoja, coverage ya media kwake ilikuwa ndogo, Ila alimkimbiza magu hatr
 
Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.

Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.

Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika tusiwaogope.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Political opposition is here to stay despite of every effort put in to stop it. It is indispensable and unstoppable. Efforts to murder opposition are a catalyst to its perpetuation. Co-existence of the opposites is a natural social law of development. "Mama na CCM yake itabidi wakubaliane na ukweli huu. Ninapayuka tena: KATIBA MPYA!!!?"
 
Binafsi sioni tija yoyote katika kuzuia mikutano ya kisiasa kwa sababu uchaguzi mkuu wa 2020 ulikuwa mgumu zaidi kwa CCM kuliko ule wa 2015.

Kuzuia mikutano ni mbinu za kikoloni ambazo hazikuwasaidia lolote wakoloni wa enzi hizo.

Natamani awamu ya 6 ije kisasa zaidi, Wapinzani wanakabilika tusiwaogope.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Bando limeanza kukata?
 
Back
Top Bottom