Clip hii inayomuoneesha Mdude Nyagali akiapa kutumia wembe kumnyoa Rais Mama Samia Suluhu Hassan (sijui ni kwa namna gani) inaonesha kiwango cha juu cha ukosefu wa adabu wa mhusika kwa mamlaka za...
Rais amesema apewe muda akuze uchumi kisha ndipo atafuatilia mambo mengine. Ni jibu zuri kiasi maana ni ahadi. Sasa ili uchumi ukue haraka inabidi nchi yetu iweze kuzalisha chuma na ijitosheleze...
Tunalojukumu lakumsaidia Rais kuboresha utendaji. Lakini pia tunalo jukumu lakubainisha Mawazi na Manaibu Waziri wasio faa ili kuwafanya wakaze buti au kumfanya anayeteua kumtambua nakumweka...
Amani iwe nanyi nyote.
Naomba niwakumbushe udugu wangu chadema, awamu ya nne mlipiga sana kelele kuwa kuna ufisadi, nchi haikuwa na Rais tunahitaji Rais Dikteta naomba niseme ukweli niliungana na...
Kapitia ukatili wake JPM, angalau ametuondolea mlundikano wa vyama vya siasa ambavyo vilikuwa havina maana. Leo hii hatuna tena CUF, UNDP, NCCR-Mageuzi & ACT kwa Tanzania bara.
Kweli kila jambo...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Cde Daniel Chongolo akiongozana na wajumbe wa Sekretariet ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wamewasili Zanzibar Jumapili 4 Julai 2021 kwa ziara ya kikazi ya Siku...
Kwanza, Alloyce Nyanda kwa nafasi yake katika jamii apaswi kuwa mtu wakuhubir au hata kujaribu kuutukuza ukabila. Yeye Sasa ameshakuwa zao la jamii.
Pili, kauli ya Mdude nyangali kwamba Atatumia...
Kama Taifa tuna mambo ya msingi sana mbele yetu kutumia muda wetu kurushiana matusi.
Bila ya kujali itikadi zetu tuyakatae yote yanayodhalilisha utu wa mtu, bila ya kujali mlengwa au mlenga kwa...
Nawasalimu ndugu zangu, natumai hamjambo wote.
Ndugu zangu sote tunakumbuka ni wapi nchi yetu ilipokuwa imefkia kwa ufupi ilikuwa inaenda shimoni kwa maana kila kitu kiliharibika na alihitajika...
Am speechless [emoji87]
Tulilia wengi alipoteseka gerezani
Tulihuzunika sana alipolazimishiwa makosa ya uongo ili apotezwe.
Tumepigana wengi Mdude chadema kuwa huru.
Alipotoka jela alistahili...
26 May 2021
Nairobi, Kenya
MAHOJIANO EXCLUSIVE NA MWANASIASA FREEMAN MBOWE TOKA TANZANIA
Maureen Medza akimkaribisha ktk mahojiano exclusive yaliyofanyika kupitia chombo cha media ya Mwanzo TV...
Nimefuatilia malalamiko na mijadala mingi kuhusu ujio wa 'lugha za Mdude' kwa watawala. Tujifunze kidogo kuvaa viatu vya watu wengine ata kama havitutoshi.
Mdude ni muhanga wa utawala katili...
Habar za wakati huu ndugu wanajukwaa,rejeeni uzi wangu wa Trh 23/06/2021 unaotutaka Watazania wa rika zote kuungana ili kuweza kudai katiba mpya...thread ya leo ni mwendelezo tu
Ndugu zangu...
Huu ni wakati ambao katiba mpya haikwepeki.
Kutokana na mazingira ya hivi karibuni wahitimu ni wengi kuliko ajira tulizo nazo na CCM imeshindwa kuja na mbinu mbadala ya kukabiliana na wimbi...
Kama tulivyosema tangu awali ni kwamba Ile Kampeni ya kuamsha ari ya wananchi kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi imeingia Kanda ya Pwani .
Leo imepigwa Mkoa wa Pwani , Mlandizi , ambako...
Hivi kweli wahariri zaidi ya 50 mliohudhuria mkutano wa Rais Samia suluhu Hassan mmeshindwa kuuliza maswali mazito yanayotesa taifa kwa miaka mitano mizima ambayo mwenye majibu ni Rais wa Nchi ya...
Source: Warioba amshukia Prof Shivji | Mwananchi
Dar es Salaam. Mjadala wa Mabadiliko ya Katiba jana ulihamia nje ya Bunge wakati Jaji Joseph Warioba alipomchambua mhadhiri maarufu nchini...
CHADEMA wamejipambanua wazi wazi ya kuwa nini wanataka. Agenda yao ya uhuru, usawa na haki haipendezi sana miongoni mwa madhulumati na wanufaika wa hali iliyopo sasa.
Rais Samia kajipambanua kuwa...
Wanajf, Salaam!
Kwa miaka zaidi ya 40 ya umri wangu nimekuwa mwanaccm kindandaki - siku zote pale CCM ilipoaibishwa na baadhi ya viongozi nilisimama imara kushauri, kukosoa na kutoa maoni. Mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.