Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeamini kwenye maslahi CCM ni kitu kimoja, sasa hii itakuwa kazi kubwa kwetu kuanzia sasa kupambana na kuiondoa CCM na wataondoka tu. Miezi michache iliyopita kulikuwa na bifu kubwa sana Kati...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Kijana Kama Mdude Nyagali alivyokua akishangiliwa mitandaoni kwa Post zenye Matusi hakika alikuwa bingwa wa Keyboard leo hii kakamatwa ni yeye tuu ndiye anayehangaika na familia yake kundi kubwa...
35 Reactions
88 Replies
7K Views
MJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA CUF, ABDUL KAMBAYA AZINDUA RASMI PROGRAMU YA UPANDISHAJI WA BENDERA KATIKA WILAYA YA KINONDONI Leo tarehe 4 Julai, 2021 Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF, Abdul...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nianze hapo. Kumeibuka taswira halisi na Kali baada ya kugusia Katiba Mpya na mikutano ya siasa. Ni kama imeficha mema yote uliyofanya Kwa Siku 100 ulizokaa madarakani. Sifa zote ulizopata...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa sasa utagundua hakuna kitu kinachotuunganisha watanzania. Hakuna. Unaweza sema ni chama. chukulia ccm.utagundua wakati wa mapambano kati ya ccm na cdm ccm wote watakuwa dhidi ya...
1 Reactions
0 Replies
744 Views
Kama kuna mtu anadhani kuwa kwa sababu tu Rais Samia ni mama basi atahurumiwa pale anapovurunda kutokana na jinsia yake basi anajidanganya. Siasa ni ngumu na unatakiwa kuwa himilivu kweli kweli...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Nawasalimia wana bodi. Nimefuarahi sana vyama vya upinzani kuungana. Ni hatua moja ya maendeleo kisiasa. Lakini pamoja na kuungana inapaswa kila kitu kuwekwa wazi ili kieleweke ni nini...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
KAMANDA 'MDUDE' SIO SIRI UMEJITAKIA MWENYEWE Hivi hukumuona mwezako Roma Mkatoliki, alivyokimbilia nchini Marekani baada ya kunusurika kuuawa alipotekwa na watu wasiojulikana? Hivi hukuwaona...
22 Reactions
153 Replies
19K Views
Mimi namuona Mdude akiwa jela na kwa kuwa tabia ni kama ngozi simuoni mdude kubadilika kutoka katika hulka na haiba zake zile Naiona Bavicha Kufanya uchaguzi wa marudio kama Mdude atakuwa...
11 Reactions
92 Replies
10K Views
Ipo hivi Simba ikiwa inacheza na mwadui FC na Simba ikashinda zomea zomea na maneno mengi yatarushwa kwa Yanga ambao hawahusiki na mechi husika ndivyo hivyo hivyo Yanga ikiwa inacheza na lipuli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi sio mpinzani wa wapinzani halali na waadilifu! Naleta mada hii kwa mjadala wa kiistaarabu na kizalendo kabisa. Kwenye mchakato wa uchaguzi mkuu 2015 tumeshuhudia twists and turns za aina...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakuu pengine tujadili kidogo kua kwa nini Bunge kinawakumbatia wabunge wasio na sifa za ubunge. Naibu spika wa bunge Dr. Tulia Ackson naona anawakumbatia wabunge hao. Je, nini maoni yako...
2 Reactions
102 Replies
6K Views
M. M. Mwanakijiji Kuamua kushiriki mchakato huu wa "mabadiliko ya Katiba" kama ulivyoanzishwa na kusimamiwa na Chama cha Mapinduzi ni kukubali matokeo ya mchakato huo na hivyo kuupa uhalali...
42 Reactions
118 Replies
11K Views
Katiba mpya imekuwa ni mjadala baada ya makundi mbali mbali ya watu yakitaka ule mchakato uliositishwa wa mabadiliko ya katiba uanze upya kwa kuanzia kwenye rasimu ya Jaji Warioba. Mimi ni mmoja...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna dhana imejengeka kwa baadhi ya WanaCCM kupinga katiba mpya wakiamini ni CHADEMA ndio wanataka katiba mpya kuwa na dhana hiyo ni upungufu mkubwa sana wa fikra. Swali la msingi. Je, Rais...
2 Reactions
1 Replies
844 Views
Ni suala la muda tu na kujipa subira kidogo tutajionea kwa macho yetu Mungu akitupa uzima. Jana tulishuhudia mh. Mbowe akitamka kauli tata zenye vitisho na amri dhidi ya Rais wa nchi. Swali...
20 Reactions
104 Replies
9K Views
Mama samia akiamua mchakato wa katiba mpya kwa sasa itakuwa kafanya hisani tu na wala isisemwe ni takwa la wananchi. Ilani ya chama cha mapinduzi hawakuahidi katiba mpya hivyo haipo katika mambo...
1 Reactions
3 Replies
867 Views
Hili ni swali tu la kuwakumbusha viongozi wa Chadema kwamba kuna mapengo kwenye baraza kivuli la mawaziri zinazosubiri kujazwa. Sasa sijajua kama mmepungukiwa wabunge wenye sifa au mmeona katika...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Ni dhahiri sasa Chadema wamefikia hatua ya kujigeuza migambo. Wanataka kila wasemalo au watakalo lifanyike. Wanajiona wao ndio wanastahili "attention" ya wananchi. Rais Samia...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kiongozi Mkuu wa CCM aliwahi kuwaambia wananchi waliokuwa wakilalamikia ukubwa wa tozo ya huduma ya choo kuwa, kama hawataki kulipia hiyo tozo, wabakie na mavi yao. Waziri wa Serikali ya CCM...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom