Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Julai, 2020 amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mkoa 2 kama ifuatavyo. Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Dkt...
11 Reactions
236 Replies
30K Views
Acheni kujichetua akili na kujifanya hamjui kitu. Mmesahau operation Sangara ilivyokuwa inasababisha watu wasifanye shughuli za maendeleo? Mmesahau yule kijana mmachinga wa Morogoro alivyouwawa...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
#EXCLUSIVE: " Samia Suluhu's destiny is to change Tanzania's constitution." Fatma Karume Former President of Tanganyika Law Society (TLS) Ms. Fatuma Karume exclusively speaks to Mwanzo TV's...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Kimsingi ameahidi kumuunga mkono Mhe. Rais katika uongozi wake kama alivyomuunga Mkono Magufuli Chanzo : Mwananchi
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Hukumu ya mahakama iliyomweka Mdude huru imewaumiza watu wasio na roho ya kibinadamu wanaoamini kwenye kukandamiza wenzao. Mashambulizi yao mitandaoni yanadhirisha kwamba walitamani aendelee...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Raisi Kikwete kesho tarehe 15/10/2013 atakutana Ikulu na wenyeviti wa vyama vya CUF,NCCR na CHADEMA ili kujadili kasoro zilizojitokeza katika muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria ya...
0 Reactions
84 Replies
8K Views
WAZIRI wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe amemtisha Rais Jakaya Kikwete akisema kuwa endapo hatasaini muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria ya mabadiliko ya katiba wa mwaka 2013, atakuwa...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Huwezi kuamini tupo uwanja wa ndege tangu asubuhi tunasubiri ndege ya ATCL mpaka sasa ilikuwa tuondoke saa tano asubuhi wakasogeza mpaka saa tisa now wanasema mpaka tena saa kumi na mbili. Watu...
24 Reactions
40 Replies
4K Views
Ndugu Ole Sabaya aliwahi kutuhumiwa kuwa na kosa la kujifanya afisa kipenyo.kesi ikaendeshwa akashinda na hatimaye akawa mkuu wa wilaya.leo hii kaanguka tena kwa kusimamishwa Ukuu wa Wilaya...
1 Reactions
33 Replies
13K Views
Katika hali isiyo ya kawaida leo wanachama na makada mbalimbali wa CCM wametoa matamko kutokana na lile kongamano la jana la katiba. Niwaambie kuwa haya matamko ni kutokana na kufanikiwa kwa lile...
16 Reactions
53 Replies
4K Views
Wanabodi, Lazima tuwe watu wapya, watu wapya wenye maono mapya, watu wapya wenye mtazamo mpya, watu wapya walio na hamu mpya ya usawa, haki na ujumuishaji, watu wapya wanaobeba Mwenge wa Tanzania...
17 Reactions
80 Replies
5K Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa siku 14 kwa watoa huduma wa mitandao ya simu kurekebisha mifumo na kuanza kutoza makato mapya ya Serikali. Hivi karibuni Bunge lilipitisha...
2 Reactions
34 Replies
5K Views
Nianze kwa kunukuu usemi wa wahenga usemao "Mjusi ukimkimbiza sana hugeuka na kuwa nyoka". Maana huru ya usemi huu ni kuwa mtu hata akiwa mwema au mpole kiasi gani,ukimchokoza sana anaweza...
1 Reactions
3 Replies
689 Views
CHADEMA mnakosea sana. Mbona enzi za Mwendazake hamkudai Katiba kwa nguvu kama sasa hivi. Mnadhani Rais Samia ni dhaifu hivyo mna uhuru wa kumpelekesha kama mtakavyo? Sisi wananchi tunajua kuwa...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
Ujenzi wa Bomba la Mafuta toka Hoima hadi Tanga, ni "Joint Venture", na tumekwishashuhudia hatua zote zinazohusika na mradi huo zinavyoandaliwa na kupata maelezo namna mradi utakavyotekelezwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sioni haja ya Vyama pinzani hususani CHADEMA kulazimisha upatikanaji wa katiba mpya kwa kutumia vitisho na nguvu, eti iwe kwa Shari ama kwa shwari. Kuna haja ya kujifunza kwa Vyama vya...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Tunaanza kazi ya siku 10 kutatua Migogoro ya Ardhi Jiji la DODOMA-Matarajio na Matamanio yetu ni kuondokana na Migogoro kwenye makao makuu yetu ya nchi ili Jiji letu lifanane na Majiji Mengine...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Nawakumbusha tu Chadema kwamba mnapodai Katiba mpya maana yake mnahitaji serikali tatu. Vinginevyo mambo mengine yanaweza kuingizwa tu katika katiba hii ya sasa kwa kuifanyia ammendments. CCM...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Jicho la tatu linaniambia kuwa huenda Mama ana agenda ya Katiba Mpya ila anajua wenzake hawaitaki, hivyo kaamua kuwatumia CHADEMA kwa siri kubwa kuamsha madai ya Katiba Mpya. CHADEMA wanaweza...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Unapotaja Viongozi wa Dini Imara Afrika basi Wale Roman Catholic kule Kongo hawana mpinzani. Roman Catholic kule Kongo walipambana na Kabila kisawa sawa, waliingia hadi Barabarani kuhakikisha...
0 Reactions
5 Replies
925 Views
Back
Top Bottom