CHADEMA haya mnayoyafanya ndio yalipelekea tukaletewa Hayati Magufuli

Mamy K

JF-Expert Member
Apr 30, 2017
2,869
9,917
Amani iwe nanyi nyote.

Naomba niwakumbushe udugu wangu chadema, awamu ya nne mlipiga sana kelele kuwa kuna ufisadi, nchi haikuwa na Rais tunahitaji Rais Dikteta naomba niseme ukweli niliungana na CHADEMA, na katika uchaguzi niliisaidia kweli kweli kwa mapenzi ya kutoka moyoni

Mungu si Athumani tukaletewa jiwe, mwamba kweli kweli, ghafla tukashuhudia hakuna uhuru wa habari! utekaji kila kona, watumishi wakapauka na nataka niseme ukweli kura nilimpa Lissu na nilimpambania hadi kwa ndugu zangu.

Ila Mungu si mzee Hassan katikati ya giza katuletea mama, msikivu ndani ya miezi mitatu nyoyo zimetua, matumaini yamefufuka.

Mama msema kweli katwambia uchumi wetu umeyumba tupige kazi tuukuze, leo mnataka kuleta ngebe, ndani ya miezi mitatu mnataka katiba, hii ni sawa na kuoa mke kisha ndani ya mwezi unamdai mtoto hata mimba huchukua miezi 9 kuzaliwa.

Hayo mnayoyafanya ndo yalisababisha tuletewe jiwe, safari hii hatukubali, tutaenda taratibu na mama.
 
Rais Mkapa ..Chadema Mwenyekiti Mbowe

Rasi Kikwete Chadema Mwenyekiti Mbowe

Rais Magufuli Chadema Mwenyekiti Mbowe

Rais Samia Chadema Mwenyekiti Mbowe.

Huoni tatizo lilipo?

Mwenyekiti kachoka Hana mbinu mpya

Anajaribu old stunts kubaki relevant

Wakati wananchi baada ya miaka 5 ya Jiwe
Hawana interest kabisa na 'confrontational politics'

Chadema ni outdated ...labda wamlete Malisa

Aje kuwa Mwenyekiti ataweza zungumza kitu

Watu wakamuelewa..hata Samia anamheshimu Malisa kuliko Mbowe.

Wanatakiwa kuji brand upya

Nusu ya watanzania ni under 25 years old.

Wao bado wanafikiri huu ni ni mwaka 1995.

Nikeshangaa hata muanzisha thread huna kawaida ya kuanzisha thread hapa but still wale misukule ya Mbowe itakuja kukushambulia bila ku tafakari
 
Rais Mkapa ..Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rasi Kikwete Chadema Mwenyekiti Mbowe...
Kwa kweli wamenifikirisha hawa ndugu zangu si kwa haraka hii walonayo huku wakitishia uvunjifu wa amani.
Wananchi tuna majeraha kutokana na utawala wa kiimla tulokuwa tukiuelekea...

wao wangeanzia chini wangekuja na sera mbadala za kuwapa matumaini watu. wangewaelewesha wananchi sheria zote kandamizi zilizopelekea majeraha haya...hapo wananchi wenyewe wangedai katiba, sio kukurupuka ndani ya miezi mitatu kuanza kudai katiba...hatuwaelewi
 
Rais Mkapa ..Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rasi Kikwete Chadema Mwenyekiti Mbowe...
Huyu mnaemuita jiwe si ndiye mlikuwa mnamsifia pamoja na "confrontational" politics zake? Hamjawahi kuipenda Chadema ndio mnataka leo mtuaminishe kuwa mlikuwa nao wakati wa utawala uliopita na sasa mnataka kum support Rais wa sasa?

Acheni Chadema ifanye inachoona ina tija kwake na taifa hili na nyie endeleeni kukiunga mkono chama chenu pendwa. Uongozi wa Chadema hauwahusu.

Amandla...
 
Tokea nizaliwe sijawahi kusapoti CCM na Kura miaka yote nawapigia chadema Ila Kwa kitendo chao cha kishamba eti tuingie barabaran kudai katiba mpya ni UJINGA mtupu!

mbinu za kizamani Sana hizi za kuhamasisha Fujo angalia maneno ya mdude juzi hayana hata adabu ameshindwa kukumbuka kuwa raisi Samia kamtoa jela(shukrani ya punda kabisa hii).

sijawahi kuponda chama changu hata siku moja Ila Kwa hili tukio la mbowe nimeanza kuwachoka wapinzani na nahisi huu ndiyo mwanzo wangu wa kukataa mambo ya vyama
 
Rais Mkapa ..Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rasi Kikwete Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rais Magufuli Chadema Mwenyekiti Mbowe
Rais Samia Chadema Mwenyekiti Mbowe..

Huoni tatizo lilipo???

Mwenyekiti kachoka Hana mbinu mpya
Anajaribu old stunts kubaki relevant

Wakati wananchi baada ya miaka 5 ya Jiwe
Hawana interest kabisa na 'confrontational politics'..

Chadema ni outdated ...labda wamlete Malisa
Aje kuwa Mwenyekiti ataweza zungumza kitu
Watu wakamuelewa..hata Samia anamheshimu Malisa kuliko Mbowe..

Wanatakiwa kuji brand upya
Nusu ya watanzania ni under 25 years old..
Wao bado wanafikiri huu ni ni mwaka 1995..

Nikeshangaa hata muanzisha thread huna kawaida ya kuanzisha thread hapa but still wale misukule ya Mbowe itakuja kukushambulia bila ku tafakari
Chadema ni outdated.!!!! Sio kweli

Chama ambacho kimenyang'anywa viti vyake kibao kwenye rigged élections u all know that!!!

Wajibrand kwa lipi? Chadema is grow since kimeanzishwa.

Walisema upinzani utakufa? Umekufa ?
Malisa bado kijana mdogo hana uthubutu wa kuongoza chama,bwana mkuu umekua mnafiki sana speech za Mbowe unalinganisha na articles za Malisa ur naive

Sio kweli bado wananchi wanahamu na mabadiliko check numbers during lissu's campaign ur liar, magufuli alizomewa Mbeya na haohao wananchi.

Namaliza kwa kusema umeandika sana lakini huna hoja ya msingi simply because ur naive.....!

Chadema ni chama kinacho move wamedemand vitu vingi sana na vimekua cleared now wako na #Katibampyamovement........!
 
Unataka chadema wafanya siasa za kuipongeza ccm alafu iweje.Uko kujibrand unataka wajibrand vip?.Kwasababu ata siku moja hutakiwi kumfuraisha mpinzani wako.Kama ambavyo ccm wamekua wakitumia vyombo vya dola kuwanyanyasa chadema ndivyo ambavyo na chadema nao wakipata nafasi wanaitumia kuisema ccm.Na hizo ni hoja za kawaida zakisiasa maana siasa sio kikao cha kamati ya harusi.Tatizo ni kwamba uko ccm mmeishiwa watu makini wenye uwezo wakujenga na kujibu hoja ndo maana unakuja na tamthilia za chadema kua kama chama cha kanisa.Mambo ya uenyekiti wa mbowe sidhani kama unakuhusu sana labda unajipendekeza tu kwa mtu ambaye hakuhusu kwa lolote.
 
Chadema ni outdated.!!!! Sio kweli

Chama ambacho kimenyang'anywa viti vyake kibao kwenye rigged élections u all know that!!!

Wajibrand kwa lipi? Chadema is grow since kimeanzishwa.

Walisema upinzani utakufa? Umekufa ?
Malisa bado kijana mdogo hana uthubutu wa kuongoza chama,bwana mkuu umekua mnafiki sana speech za Mbowe unalinganisha na articles za Malisa ur naive

Sio kweli bado wananchi wanahamu na mabadiliko check numbers during lissu's campaign ur liar, magufuli alizomewa Mbeya na haohao wananchi.

Namaliza kwa kusema umeandika sana lakini huna hoja ya msingi simply because ur naive.....!

Chadema ni chama kinacho move wamedemand vitu vingi sana na vimekua cleared now wako na #Katibampyamovement........!

Duh masikini ya Mungu..hamjitambui kabisa
Umeandika kama Magufuli bado yupo hai..
Mtaji wa kumpinga Magufuli haupo..
Lissu umaarufu wake kwa kumpinga Magufuli umeshashuka...

Watu wanamsikiliza Samia kuliko Lissu

The sands has shifted beneath...eleweni
 
Amani iwe nanyi nyote..

Naomba niwakumbushe udugu wangu chadema, awamu ya nne mlipiga sana kelele kuwa kuna ufisadi, nchi haikuwa na rais tunahitaji rais dikteta...naomba niseme ukweli niliungana na chadema, na katika uchaguzi niliisaidia kweli kweli kwa mapenzi ya kutoka moyoni

.Mungu si Athumani tukaletewa jiwe, mwamba kweli kweli, ghafla tukashuhudia hakuna uhuru wa habari! utekaji kila kona, watumishi wakapauka....na nataka niseme ukweli kura nilimpa Lisu na nilimpambania hadi kwa ndugu zangu.

Ila Mungu si mzee Hassan katikati ya giza katuletea mama, msikivu ndani ya miezi mitatu nyoyo zimetua, matumaini yamefufuka.
Mama msema kweli katwambia uchumi wetu umeyumba tupige kazi tuukuze, leo mnataka kuleta ngebe, ndani ya miezi mitatu mnataka katiba....hii ni sawa na kuoa mke kisha ndani ya mwezi unamdai mtoto...hata mimba huchukua miezi 9 kuzaliwa.

hayo mnayoyafanya ndo yalisababisha tuletewe jiwe, safari hii hatukubali...tutaenda taratibu na mama.

Sina tatizo kabisa na msimamo ama mapendekezo yako, tuchukulie kuwa cdm wamewahi sana kudai hiyo katiba mpya, je unafikiri wanapaswa kusubiri kwa muda gani? Je ni kwanini rais hakutoa muda maalum wa jambo hilo? Je ameweka viashiria vyovyote vya huo uchumi kukua, hivyo watu wakiviona ndio wadai hiyo katiba mpya?
 
Back
Top Bottom