Nazijua fika takwimu za mitandao ya kijamii na Twitter ndo inaongoza, ila kama tukiangalia engagement ya mambo yanayowahusu basi Twitter ni ya mwisho na kama inatija yeyote basi ni kuwajaza...
Hii ni mada fikirishi, Kuna wakati watu walitaka kukusanyika kwa ajili ya kumuombea Tundu lissu lakini wakaambiwa marufuku na ni uchochezi, Aliyesema haya bado yupo, Mbona kimya sana.
Akiwa...
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amesema chama chake hakiwezi kupokea Ruzuku inayotokana na kura za wizi.
Mbowe amesema Chadema ni chama cha watu waadilifu waliojazwa roho za uzalendo hivyo...
Tuzungumze kuhusu ushirika na kinachoendelea juu ya mabadiliko ya Sheria ya vyama vya ushirika Na. 6 ya mwaka 2013. tuzungumze juu ya Time ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania.
Tuzungumze juu ya...
"Katibu tuliyonayo ni Bora sana. Hata kama ina mapungufu, basi madogo madogo sana. Na hayo yanaweza kusubiri kwa Kweli. Mzee Kikwete alisikia kilio cha wadai Katiba Mpya akaanzisha mchakato ili...
Ningependa tu kujua mtu anayefahamika kwa jina la Nyagali Mdude ana cheo gani katika viunga vya Ufipa kwenye chama kikuu cha upinzani Chadema?
Matamko dhidi ya huyo Mdude kutoka CCM yamekuwa...
Kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania, lakini hasemi ni wakati...
Kampuni ya kimarekani ya Symbion inayojihusisha na kufua umeme imelifikisha shirika la umeme nchini kwenye mahakama ya kimataifa ikitaka kulipwa madai ya trilioni 1.25(dola milioni 561 za...
"Chama cha siasa huanzishwa kuwaleta pamoja watu wenye mawazo na sera zenye kufanana. Lengo kuu ni kuleta ustawi wa watu. CCM haikuahidi mchakato wa Katiba kwenye ilani, bali ustawi wa watu...
Habarini za leo ndugu WaTanzania,
Convincing power ni uwezo wa kutumia ulimi wako vizuri kwa kutumia lugha ya kawaida isio kali kumshawishi mtu akupatie kile unachokihitaji.
Mtu mwenye...
Friends and Enemies,
From Monopartisim to Multipartism 1992 to 1995, nchi yetu imepitia chaguzi kadhaa ambazo tunaweza sema nchi bado ilikua changa kwenye Siasa za vyama vingi, na wakati mwingine...
Kwa heshima na Utii naomba kumshauri Mheshimiwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi kufanya mabadiliko katika nafasi ya katibu Mwenezi. Nafahamu ni vigumu sana kumshauri Mwenyekiti wa Chama Cha...
Ndugu Maaskofu wetu.
Amani ya Bwana iwe nanyi.
Sina wasiwasi na Viongozi wetu wa dini wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kilutheri kuwa soon mtatupa muongozo wenu, kuhusu suala hili la katiba mpya...
Akiongea na waandishi wa habari Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Joseph Butiku amesema, licha ya mdahalo uliopita kuingiliwa na wahuni taasisi yao itaendelea na midahalo ya aina hiyo nchi...
Saalam,
Wewe ni Rais wa Watanzani wote, waliona vyama na wasionavyo walio na dini na wasio nazo. Wenye elimu, na wasio na elimu ambao ni wengi. Matajiri na masikini ambao ni wengi.
Wananchi wa...
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema hajakatishwa tamaa na uchaguzi mkuu wa 2020, na kwamba Mageuzi ni swala la mchakato.
Mbowe amesema chama anachokiongoza CHADEMA kwa sasa kina umri wa miaka...
HAKI HAIPO CHADEMA WALA CCM, JAMII IPO GIZANI.
Kwa Mkono wa, Robert Heriel.
Haki hutofautiana baina ya nchi na Nchi. Ingawaje zipo haki za ujumla za kila mwanadamu Kama vile Haki ya kuishi na...
Wala haina ubishi,ni jambo la wazi kabisa kwamba chadema ni chama changu ila ukweli ni kwamba tumepoteza muelekeo sana kwa sasa,kama ni gari basi dereva hajui anakiwapeleka abiria,gari imepoteza...
Kwanza nichukue fursa hii kumpongeza kijana mdude Nyagali, ameonyesha uthabiti wa nia wa kupambana na udikteta na uvunjifu wa sheria na katiba nchini.
Mdude ni aina ya vijana jeuri ambao mwalimu...
WanaJf habari zenu,
Naendelea kusisitiza kwamba mimi ni mwanaukawa japo wengi wanaamini kwamba mi ni CCM//lumumba, lakini ukweli utabaki kwamba mi ni mkawa,na nasisitiza kwamba mi ni mwanaukawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.