"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara...
Nanukuu
Askofu Dkt. Benson Bagonza anasema.
"Hoja ya katiba mpya pamoja na sababu nyingine nyingi, inalenga kupunguza au kuondoa mgongano wa hatari kati ya ukuu wa katiba na ukuu wa Rais. Kwa...
Freema Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema
Mbowe hajabainisha hoja ya kumwonesha Rais Samia kwamba kuna uharaka wa Katiba Mpya
Kazi mojawapo ya Kurasa za Mama Amon ni kutathmini siasa za kitaifa kwa...
Wanabodi,
Nashawishika kuamini kwamba kwa shughuli za kisiasa wanazozifanya CHADEMA kwa sasa katika jimbo la Segerea zinazotokana na mtaji mkubwa wa kisiasa ulichonacho chama hicho jimboni hapo...
Salaam WanaJF!
Licha ya kuwa ni Public figure, lakini Rais wa Nchi kama yetu ni Mkuu wa Nchi. Mkuu wa nchi ni alama ya nchi. Taswira yake inapaswa kulindwa. Na wapo watu ambao wanalipwa mshahara...
Tunafundishwa katika chumba kimoja toka shule ya msingi Hadi sekondari na vyuo. Katika maisha ya shule na vyuo watu wenye akili mara nyingi uwa na tabia yakuburuzwa kimaarifa na walimu au watu...
Chadema ni chama cha siasa chenye wanasiasa ambao si makini.
Ni chama kilichokusanya watu wanojiita wanasiasa lakini hawana mbinu za kuishi kwenye siasa.
Miaka mitano ilopita Chadema walipata...
Katika Mkutano uliofanyika jana huko Zanzibar Ndugu Shaka Hamidu Shaka amesisitiza watanzania kumuunga mkono Mama Samia na Dkt Hussein Mwinyi katika kusukuma maendeleo na kuimarisha uchumi.
Pia...
Mama siyo hamnazo (empty set ama clean slate) ana ufahamu na anawafahamu wanaccm. Anajua kwamba ninyi si watu wazuri, kwa unafiki na ukigeugeu hamjambo.
Kwa namna mlivyo geuka (u- turn) kutoka...
Wahenga walisema “Muungwana akivuliwa nguo huchutama” na “asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu.“
Tarehe 01 Julai 2021 Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA) akiwa katika kongamano la kudai katiba...
Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema siasa zilizo bora ni siasa za Ushawishi.
Hata hivyo amesema wanasiasa wa Taznzania wanapata ugumu wa namna ya kufanya siasa bila kuhasimiana na...
Habari za asubuhi wanajamvi.
Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo...
Mnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa?
Je Rais aliyepo Madarakani alihusikaje katika mchakato wa Katiba?
Mnataka mchakato...
Tukio la juzi la police kuvamia wa mama wa chadema ilikuwa ni aibu sana, yaani wame react baada ya Mbowe kusema atapeleka watu barabarani? Trust me hata leo Chadema wakisema wanaingia barabarani...
Mh Rais, Kwasiku 100 ulizoongoza nchi zimekuwa za kutukuka sana, Taifa limepumua na kuonyesha mageuzi makubwa sana, Kwahakika nakupongeza sana sana, Umewathibitishia wazi unaweza kwa wale...
I) POSITIVES
Tangu ameingia madarakani, tumeona mabadiliko kidogo sana yenye mwelekeo chanya. Nimetumia expression ya "kidogo sana" kwa vile si mambo yaliyohitaji kutumia effort kubwa sana...
Au sijasikia na kuona uzuri mie?
Naangalia TBC1 hapa naona Mke wa hayati Dkt. Omari Ally Juma anatoa historia,
Moja aliyoyasema eti alimchumbia akiwa ndogo sana na kufunga naye ndoa akiwa kidato...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema kuwa miili ya watu saba iliyokutwa ikielea imekufa ikielea kwenye mto Ruvu ilikuwa ni ya Wahamiaji Haramu.
Kauli hiyo ameitoa leo asubuhi wakati...
Nazijua fika takwimu za mitandao ya kijamii na Twitter ndo inaongoza, ila kama tukiangalia engagement ya mambo yanayowahusu basi Twitter ni ya mwisho na kama inatija yeyote basi ni kuwajaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.