CCM ijitathmini irekebishe madhaifu yake, ijenge umoja iendelee kuongoza Taifa. Hatuna wapinzani nchi hii

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
16,365
12,823
Friends and Enemies,

From Monopartisim to Multipartism 1992 to 1995, nchi yetu imepitia chaguzi kadhaa ambazo tunaweza sema nchi bado ilikua changa kwenye Siasa za vyama vingi, na wakati mwingine tunaweza sema kwamba tumepitia siasa ya aina yetu na ya kipekee kama Taifa ambayo hatuwez jifananisha na nchi yoyote ya kiafrika kwa ujumla.

Mfano mzur wa nchi ya kidemokrasia kwa Afrika ni Ghana, wengine tuna safar ndefu kidogo ila ni muhim kuzid kujenga vyama imara vya upinzan ambavyo vitakuwa tayari kuongoza nchi bila ya kuwa na chembe chembe za ubaraka kutoka nchi za magharibi,

Tuwe wakweli,kuongoza Taifa siyo jambo la kufanya Rehearsal ndug zangu,wapinzan tulionao bado wanatia shaka sana kuwaamin na kuwapa Dola waongoze, labda kama watashirikishwa kwenye serikali ya mseto lakin kiukweli hawana misimamo yenye kueleweka kias Cha kufikia sisi kuwaaminI na kuwapa ridhaa ya kuongoza Dola.

Wakati mwingine tuna piga Kura kuwapa upinzani siyo kwamba tuna amin Wana uwezo huo, bali ni kukosa matumain na baadhi ya mienendo ya CCM, sasa CCM ikijirekebisha na kuwatumikia watanzania kwa haki na usawa, upinzani huu tulionao hautaweza fananishwa hata kidogo na uongoz wa CCM.

Wapinzani tunawahitaji kwa mustakabali wa Taifa letu lakini wana Kazi ya kufanya kwa miongo kadhaa kupata ukomavu huo wa kuongoza Dola.
 
Viongoz wenyewe wa upinzan hata ukiwangalia hawaish hiyo demokrasia wanayoihubir, mwangale profesa Lipumba, kila siku yeye tuh, mwangale Mbowe, kila siku yeye tu, mwangalie mbatia na kadhalika, why hawatengenez generations za uhakika na kukasim madaraka kwao?
 
Viongozi wenyewe wa upinzani hata ukiwangalia hawaish hiyo demokrasia wanayoihubiri, mwangale profesa lipumba, kila siku yeye tuh, mwangale mbowe, kila siku yeye tu, mwangalie mbatia na kadhalika, why hawatengenez generations za uhakika na kukasim madaraka kwao?
Wewe ndo huwa unaamua nani akamate dola au laah? Kama nchi iliweza kusimamiwa na wakolomije, nani atashindwa? Imagine mwakilishi wa Rais wa nchi ktk wilaya ya Hai alikuwa Ole Sabaya. Aiseee?
 
Wewe ndo huwa unaamua nani akamate dola au laah? Kama nchi iliweza kusimamiwa na wakolomije, nani atashindwa?! Imagine mwakilishi wa Rais wa nchi ktk wilaya ya Hai alikuwa Ole Sabaya. Aiseee?
Hayo ndiyo MADHAIFU yenyewe tunayoyazungumzia.

Hiv ni kipi kinapelekea mbowe awe kiongoz ndan ya hii miaka 17 bila kuandaa generation nyingine.

Marehem maalim seif ni had maut yamekuta lakini sidhani kama kulikuwa na succession plan, wanatupa mashaka sana.
 
Viongoz wenyewe wa upinzan hata ukiwangalia hawaish hiyo demokrasia wanayoihubir,mwangale profesa lipumba,kila siku yeye tuh,mwangale mbowe,kila siku yeye tuh,mwangalie mbatia na kadhalika,why hawatengenez generations za uhakika na kukasim madaraka kwao??
Wapinzani hawa ni watu ambao wanapigania matumbo yao kama ambavto wasiokuwa wapinzani wanavyofanya.

Hivyo kumtoa mtawala ati anapigania tumbo ukamuweka mpinzani ni sawa na kutoa 0 ukaweka o
 
Hayo ndiyo MADHAIFU yenyewe tunayoyazungumzia,

Hiv ni kipi kinapelekea mbowe awe kiongoz ndan ya hii miaka 17 bila kuandaa generation nyingine,

Marehem maalim seif ni had maut yamekuta lakin sidhan kama kulikuwa na succession plan,wanatupa mashaka sana

Nyerere alikaa madarakani miaka 24 na hadi leo anasifiwa ni bonge la kiongozi. Baada ya ile mada yako ya kinafiki ya jana naona umekuja kupima upepo.
 
Hayo ndiyo MADHAIFU yenyewe tunayoyazungumzia,

Hiv ni kipi kinapelekea mbowe awe kiongoz ndan ya hii miaka 17 bila kuandaa generation nyingine,

Marehem maalim seif ni had maut yamekuta lakin sidhan kama kulikuwa na succession plan,wanatupa mashaka sana
Generation wataandaje sasa?! Kila wakiandaa vijana mnawanunua?! Nani hakumbuki manunuzi ya ajabu ya wanasiasa wa upinzani iliyofanywa na hayati? Wale wenye misimamo thabiti mkawapiga risasi (Lissu), mkawachinja (Mawazo) na kuwapoteza (Beni Sanane). Wafanyeje zaidi?
 
Hayo ndiyo MADHAIFU yenyewe tunayoyazungumzia.

Hiv ni kipi kinapelekea mbowe awe kiongoz ndan ya hii miaka 17 bila kuandaa generation nyingine,

Marehem maalim seif ni had maut yamekuta lakin sidhan kama kulikuwa na succession plan, wanatupa mashaka sana
Kwanza kitendo cha kuwa na vyama pinzani vingi tu ni ishara kwamba hata wao kwa wao ni wapinzani baina yao,hivyo hakuna cha maana watakacgofanya zaidi ya kelele.
 
Niwashauri tu vijana. Hii nchi haina wapinzani, ina wasaka tonge tu. Wasitumike kisiasa na hawa watu kwa maslahi yao na familia zao.
 
Generation wataandaje sasa?! Kila wakiandaa vijana mnawanunua?! Nani hakumbuki manunuzi ya ajabu ya wanasiasa wa upinzani iliyofanywa na hayati? Wale wenye misimamo thabiti mkawapiga risasi (Lissu), mkawachinja (Mawazo) na kuwapoteza (Beni Sanane). Wafanyeje zaidi?
 
KWA Sasa tunataka ccm huru walete mijadala , maana Wana ccm wengine hamna kitu maana unaambiwa ccm Kuna makundi manne

1. CCM kindakindaki
2. CCM maslahi
3. CCM limbukeni
4. CCM huru

No nne ndo tunawataka , kwanza wanaunga mkono Katiba MPYA
Pili wanasema hoja za wapinzani jinajibika

Tatu wanasema Hawa hawategemei teuzi ili uchumi wao uwe sawa,na si wafuata mkumbo.

Hivyo kwangu mpenda watu wenye mawazo mapana na wenye kujenga hoja natangaza kwamba Hawa CCM huru watakua marafiki zangu japo NIPO CHADEMA ili tukutane majukwaani, wengine Kama sio mmoja wa kundi no 4 tupa kule
 
Generation wataandaje sasa?! Kila wakiandaa vijana mnawanunua?! Nani hakumbuki manunuzi ya ajabu ya wanasiasa wa upinzani iliyofanywa na hayati? Wale wenye misimamo thabiti mkawapiga risasi (Lissu), mkawachinja (Mawazo) na kuwapoteza (Beni Sanane). Wafanyeje zaidi?
Mbowe aliwakamua bilioni nane walipohoji wakafukuziwa mbali

Nini kilimpata Zitto baada ya kuutaka Uenyekiti huku akijua anaushawishi wa kutosha?

Nini kilimpata Chacha Wangwe baada kuutaka Uenyekiti?

Nini kiliwapata akina Selasini, Komu,Lwakatare na wengine baada ya kumkosoa Mwenyekiti wa kudumu?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Friends and Enemies,

From Monopartisim to Multipartism 1992 to 1995,nchi yetu imepitia chaguz kadhaa ambazo tunaweza sema nchi bado ilikua changa kwenye Siasa za vyama vingi,na wakati mwingine tunaweza sema kwamba tumepitia siasa ya aina yetu na ya kipekee kama Taifa ambayo hatuwez jifananisha na nchi yoyote ya kiafrika kwa ujumla,

Mfano mzur wa nchi ya kidemokrasia kwa Afrika ni Ghana,wengine tuna safar ndefu kidogo ila ni muhim kuzid kujenga vyama imara vya upinzan ambavyo vitakuwa tayar kuongoza nchi bila ya kuwa na chembe chembe za ubaraka kutoka nchi za magharibi,

Tuwe wakweli,kuongoza Taifa siyo jambo la kufanya Rehearsal ndug zangu,wapinzan tulionao bado wanatia shaka Sana kuwaamin na kuwapa Dola waongoze,labda kama watashirikishwa kwenye serikali ya mseto lakin kiukweli hawana misimamo yenye kueleweka kias Cha kufikia sisi kuwaamin na kuwapa ridhaa ya kuongoza Dola,

Wakati mwingine tuna piga Kura kuwapa upinzan siyo kwamba tuna amin Wana uwezo huo,Bali ni kukosa matumain na baadhi ya mienendo ya CCM,sasa CCM ikijirekebisha na kuwatumikia watanzania kwa haki na usawa,upinzan huu tulionao hautaweza fananishwa hata kidogo na uongoz wa ccm,

Wapinzani tunawahitaji kwa mustakabali wa Taifa letu lakini wana Kazi ya kufanya kwa miongo kadhaa kupata ukomavu huo wa kuongoza Dola.
Kizazi gani unachokizungumza hiki ambacho ata panya anaweza kuwa rais wa hii nchi na akawa kiongozi bora.
 
Mbowe aliwakamua bilioni nane walipohoji wakafukuziwa mbali

Nini kilimpata Zitto baada ya kuutaka Uenyekiti huku akijua anaushawishi wa kutosha?

Nini kilimpata Chacha Wangwe baada kuutaka Uenyekiti?

Nini kiliwapata akina Selasini, Komu,Lwakatare na wengine baada ya kumkosoa Mwenyekiti wa kudumu?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Inakuwaje mwanasiasa anaasi chama baada ya kukosa nafasi flani ya uongozi? Manake ni kwamba alishajulikana ni mamluki. Wangwe kungekuwa na uhusika wa CDM kwenye kifo chake, Mbowe angeozea jela kwa sababu system ilikuwa inamtafuta kwa nguvu. Kitendo cha polisi na usalama kukaa kimya kifo kile ni ushahidi tosha kuwa Mbowe hahusiku. Achana na maneno ya mtaani.
 
Back
Top Bottom