Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kamanda Asiyechoka huwa naona mbali sana. CCM wanajua fika taifa letu tukipata katiba mpya basi huo ndio mwisho wao Tume huru itakuwepo na hapo tutawakaba. Mgombea binafsi atakuwepo na hapo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari Tanzania! Kwakuwa taifa tunakwenda kutengeneza mifumo mizuri na sio watu au chama imara katika nchi. Nashawishika kwa kutoa wazo la umri wa Rais uwe kuanzia miaka 30 na kuendelea kwasababu...
4 Reactions
68 Replies
4K Views
Kikwazo kikuu cha kupatikana kwa katiba mpya hapa nchini Tanzania ni mnyukano wa wanasiasa. Wapinzani wanaitaka katiba mpya kama chombo cha kuwasaidia kuitoa ccm madarakani. Ikiwa mantiki iko...
2 Reactions
11 Replies
995 Views
Nchi hii tunaenda wapi? Mambo haya ya kupeana mahekalu na magari vipi? Tizama wananchi wengine wanavyoishi, nyumba hawana au baiskeli ndiyo ndoto tu. Hii sharia inaweza kufutwa kabisa ni mbovu...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Tanzania haihitaji kuchagua kiongozi wala kuongozwa na ilani ya chaguzi ya chama bali sera chache za kimkakati za kitaifa zilizoandaliwa kwa makini na wataalam wenye uzoefu wa eneo husika. Badala...
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Wasomi tunavyoendelea kukaa kimya kwenye swala la Katiba mpya haya ndio matokeo yake. Sasa kila mtu anawaza kuwa Rais au first lady, hata watu ambao hawana vigezo wala maadili ya kugombea hata...
0 Reactions
2 Replies
795 Views
Katiba Iliyopo ina mapungufu mengi yasiyoweza kuvumilika zaidi. Ni wazi kuwa anayebeza jitihada zozote za kuanzishwa tena kwa mchakato wa kupata katiba mpya kiporo uliobakia, ni kwa sababu tu ya...
11 Reactions
23 Replies
3K Views
Leo CCM inalaumiwa eti inaua watu, yaani mambo ya wasiojulikana. Hii haijawahi kuwa msingi wa CCM CCM inaonekana inaogopa wapinzani, suala la kununua wapinzani. Hatuna CCM ya namna hii kwenye...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakili msomi bwana Peter Kibatala leo katika 360 ya clouds TV amefunguka kisomi kuhusiana na katiba mpya. "Katiba mpya ni hitajio la watanzania wengi. Wanaopinga, ni kwa sababu tu ya...
22 Reactions
73 Replies
6K Views
Bunge "dhaifu la Ndugai" limekubali kwa kauli moja maombi ya serikali ya kuongeza kodi ya TSZ 100/= kwenye kila lita moja ya mafuta kama chanzo kipya cha mapato. #SWALI: Je, kulikua na ulazima...
39 Reactions
73 Replies
8K Views
Mwendazake ndiyo muasisi wa mtindo huu usiofaa wa kuhutubia njiani (naona Rais Samia naye anaufanya Mwanza). Rais anapaswa kutoa hotuba kaatika eneo lililoandaliwa vema kiulinzi na kiusalama siyo...
18 Reactions
89 Replies
11K Views
"Hoja ya katiba mpya pamoja na sababu nyingine nyingi, inalenga kupunguza au kuondoa mgongano wa hatari kati ya ukuu wa katiba na ukuu wa Rais. Kwa hali ilivyo, Rais na katiba wako vitani" Askofu...
6 Reactions
4 Replies
2K Views
AWAMU YA TANO Rais John Magufuli: Hakuna Mikutano ya Siasa ya Hadhara! Uchumi wetu umekua sana! Sisi ni matajiri! Tanzania imeingia Uchumi wa Kati! Mradi wa Bandari ya Bagamoyo ni wa Kifisadi! Ni...
10 Reactions
11 Replies
1K Views
Mhe, Rais, Mhe. Palagamamba M.A. Kabudi waziri mwandamizi katika serikali yako mwaka 2012/13 katika viunga vya Nkurumah Hall chuo kikuu cha Dar Es Salaam, alitoa ushauri huu juu ya katiba Mpya...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Huu ndio ule mwendelezo wa ile kampeni ya kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi inayoitwa OPERESHENI HAKI , Ambayo tayari imeingia Kanda ya Pwani . Pichani : ni Mwamba mwenyewe akiwa jimbo...
11 Reactions
69 Replies
7K Views
Kisiwandui Zanzibar Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Daniel Chongolo Leo Julai 5, 2021 amekutana na Kufanya Mazungumzo na Wazee pamoja na Waasisi wa Chama Cha Mapinduzi katika Afisi Kuu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msemo wa Kiswahili akili nyingi huondoa maarifa unaakisi hulka za CHADEMA katika harakati zao za kudai katiba mpya. Ni sheria ya asili (Natural Law) kwamba sheria hutengezezwa na wenye mamlaka ili...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika nyakati ambazo Wapinzani wanatakiwa wawe makini basi ni nyakati hii. Ni nyakati ya wapinzani kaucha jazba na kuwa wastaarabu sana na wenye kujenga hoja bila MIHEMKO. Kwa sababu sasa hivi...
17 Reactions
81 Replies
5K Views
MFAHAMU HOYCE TEMU KATIKA ULIMWENGU WA DIPLOMASIA NA MAHUSIANO YA KIMATAIFA 📍Hoyce Temu alisoma Stashahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Mahusiano ya Kigeni yaani Post Graduate Diploma in...
17 Reactions
60 Replies
12K Views
Tahariri hii imetoka gazeti la Zama Mpya Na. M. M. Mwanakijiji Mojawapo ya ahadi za TANU ilikuwa ni ile iliyosema “Binadamu wote ni sawa” na pia “kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na...
83 Reactions
328 Replies
42K Views
Back
Top Bottom