juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Wala haina ubishi,ni jambo la wazi kabisa kwamba chadema ni chama changu ila ukweli ni kwamba tumepoteza muelekeo sana kwa sasa,kama ni gari basi dereva hajui anakiwapeleka abiria,gari imepoteza muelekeo na abiria wapo kimya maana wao wanaangalia dereva anakowapeleka hata kama ni shimoni.hakuna harakati zozote hadi sasa zinazofanyika,na viongozi wana ndimi mbili,haijulikani wanaamini nini,kweli leo hii kingunge na lowasa wanatuamlia mambo ya chama? Ni kichekesho kikubwa na ni aibu.hata huku mtaani hakuna cha maana kinachoendelea.sidhani hata kama zike operation zitaendelea tena chini ya sumaye,lowasa,kingunge,,maana hata wakina mnyika sasa midomo imejaa mate hawawezi hata kutoa yale matamko tuliyoyazoea kusikia(matamko ya mikwara)