Nyagali Mdude ana cheo gani hapo Chadema mbona CCM inamtolea "matamko" kila kona?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,765
Ningependa tu kujua mtu anayefahamika kwa jina la Nyagali Mdude ana cheo gani katika viunga vya Ufipa kwenye chama kikuu cha upinzani Chadema?

Matamko dhidi ya huyo Mdude kutoka CCM yamekuwa mengi so ingependeza zaidi kama tutapata wasifu wake wa kijamii, kisiasa, kiuchumi na kitaaluma.

Isijekuwa ni type ya Kibajaj na Kinanasi wa pale Lumumba.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
 
mdude kawaingiza chaka. Ukisikia Diversion ndio hii. Yaani Harakati za Chadema siku ile Tabata zimesambaa na kuamsha ari ya katiba mpya nchi nzima. Kupitia kauli ya kisiasa ya kibabe Nchi nzima imepata ujumbe kuwa kwa sasa kinachoendelea ni matakwa ya kupewa katiba mpya.

Hongera Mdude. Umewalaza watu na viatu
 
Ningependa tu kujua mtu anayefahamika kwa jina la Nyagali Mdude ana cheo gani katika viunga vya Ufipa kwenye chama kikuu cha upinzani Chadema?

Matamko dhidi ya huyo Mdude kutoka CCM yamekuwa mengi so ingependeza zaidi kama tutapata wasifu wake wa kijamii, kisiasa, kiuchumi na kitaaluma.

Isijekuwa ni type ya Kibajaj na Kinanasi wa pale Lumumba.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
😅😅😅
 
Mdude aulizwe na vyombo husika kuhusu huo WEMBE; maana kama alimnyoa JPM AKAFARIKI na sasa anataka KUTUMIA WEMBE ULEULE amnyoe na SSH ni hatari sanaaaaa
 
Hapo ingekuwa enzi za yule dhalim ndiyo watu wangelamba teuzi kwa kupitia matamko na kejeli kwa Mdude,kwa vile hawa uvccm walizoea kupata teuzi kwa staili hii ndiyo maana matamko yamekuwa mengi,ila Mama siyo mtu wa kukurupuka ndiyo maana anawachora tu kwani kauli ya Mdude haina tofauti kubwa na kauli zilizozoeleka za wanaccm na viongozi wao kuwatukana na kuwakejeli na hata kuwatishia vifo wapinzani.
 
Mdude aulizwe na vyombo husika kuhusu huo WEMBE; maana kama alimnyoa JPM AKAFARIKI na sasa anataka KUTUMIA WEMBE ULEULE amnyoe na SSH ni hatari sanaaaaa

Huwa hawapimi maneno yao, wanaropoka tu...dola au dip state wakianza kufanya kazi zao kuna tunaanza kusema fulani anaonewa mara apewe haki yake..
 
Acheni utani

Utani tena subiri 2025...ujionee Makamanda tutakavyopambana mdude aende ikulu...

2015 tulimpigia deki barabara EL mgombea aliyetoka CCM ambaye tulimuita fisadi papa na baba la ufisadi Tanzania...
2020 tukamleta kwenu TL kamanda akiwa Salum Mwalimu kama mgombea mwenza, TL akitokea viunga vya Belgium akapeperusha bendera kikamanda na kumtoa jasho Chuma JPM....huyu alikuja baada ya kuhakikishiwa usalama ndio maana akaja kugombea na uchaguzi ulivyoisha akarudi zake Belgium baada tena kuona usalama wake uko shakani..

2025 tutawaletea kamanda Mdude geneus mwingine tena huku CDM, mkae tayari....2025 twende na Mdude..
 
Mdude aulizwe na vyombo husika kuhusu huo WEMBE; maana kama alimnyoa JPM AKAFARIKI na sasa anataka KUTUMIA WEMBE ULEULE amnyoe na SSH ni hatari sanaaaaa
Yawezekana aliropoka bila kutafakari, jasho litamtoka!
 
Back
Top Bottom