Wakuu, hizi ni taarifa mbaya.
Mwandishi wa habari mkongwe Atilio Tagalile ametutoka usiku wa kuamkia leo!
Alilazwa kwa wiki moja. Awali Hindu Mandal kisha Rugambwa hadi umauti ulipomfika saa...
Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene ameruhusu askari polisi kuanza kutumia nyumba za kisasa zenye uwezo wa kubeba familia zaidi ya 300 zilizopo eneo la Kunduchi na...
Kwanza kabisa napenda kukupa pole na majukumu ya kitaifa.
Vile vile tunakuombea wewe na Serikali yetu katika utekelezaji mwema wa majukumu ya nchi ili kuinua uchumi.
Mweshmiwa Rais katika muda...
Hili ni moja kati ya matawi mengi ya Chadema yaliyozinduliwa leo huko unguja , hapa ni Shehiya ya Kiungani , Jimbo la Nungwi .
Mh Salum Mwalimu akizindua tawi jipya
Waraka huu wa kukushauri tu, ninavyowafahamu waislam ni watu wanaohubiri haki japokuwa swala ndiyo yenye nguvu kubwa ktk Uislam.
Yalipo kwenye utangulizi wa waraka wangu , moja linabeba pepo na...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Sio lazima kusubiri wengine wafanye nasi tuige, tunaweza kujitathmini na kufanya marekebisho kwa yale yanayoonekana kuwa tatizo katika mapmabano ya magonjwa...
Baada ya purukushani za mitandaoni wiki nzima kati ya wanaharakati, wanasiasa na Serikali kuhusiana malalamiko mbalimbali ya kisheria na kikatiba. Hili lilipelekea matamko, vitisho, kejeli na...
“Siamini sana Kama ujenzi wa Sanamu ni ishara tosha ya kumkumbuka hayati, Bali ingejengwa shule au taasisi ya kurahisisha Huduma za kijamii ikaitwa jina la anayetaka kukumbukwa na si sanamu “...
Habari wadau!
Binafsi naomba niwe tofauti kuhusu suala la Magufuli kujengewa sanamu pale sabasaba.
Magufuli sasa hayupo hivyo hakuna wa kumsemea leo nimejaribu kuvaa viatu vyake ,naamini kama...
Wanasema eti kuuliza si ujinga! Wakati ujinga ni hali ya kutojua kitu au jambo fulani.
Sasa kama kitu unakijua au jambo unalijua, unauliza ili iweje sasa?
Baadhi ya hii misemo ya Kiswahili...
Kwenu marais wetu Wastaafu, Mwinyi, Mkapa na rais Kikwete.
Kwa heshima na taadhima inafikirisha kuwaandikia waraka huu baada ya kuwa kwa dhati kabisa, njia nyingi zimejaribiwa kushauri, kuhimiza...
Mara nyingi sana binadamu huwa ana tabia ya kusahau.
Nyakati zote za uchaguzi mkuu wagombea huwa wanyeyekevu kupita kiasi, lakini mara baada ya kushinda uchaguzi ni nadra sana wabunge kuonekana...
Ni wiki sasa tukianzia kule Zanzibar tumeona kamati ya Uongozi ya CCM ikifanya mikutano ya kisiasa , lakini pia nimeona trend ya Chadema wakiendelea na oparesheni haki kwenye mikoa mbalimbali hapa...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Faustine Ndugulile amesema watafuta tozo zote ambazo zilikuwa zinawabana vijana katika kujiajiri kwa kuendesha YouTube channels au blogs.
Amesema...
Walio mipakani wanajua, bidhaa zote wanaenda kununulia miji jirani maana huku bei haziwezekani.
Sasa kama hata Petrol watu wanaenda kununua miji ya nchi jirani mfano pale Tunduma wakati Petrol...
CCM kila siku inajisifu "sisi ni chama Tawala" bila kuwaonyesha chini ya utawala wao kipi cha kujivunia hasa katika dunia ya leo tuwezacho kuionyesha dunia?
Ona hii, leo 2021 Waziri wa Viwanda...
"Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama...
Kijana tunajua spirit yako ni moto sana, Hujawahi kuwa dhaifu hata siku moja, toka umetekwa mara ya kwanza na hata ulipokaa jela zaidi ya mwaka na nusu.
Walitumia silaha yao ya kuteka, kutesa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.