TANZIA Atilio Tagalile, Mwandishi mkongwe na mdau wa JamiiForums afariki dunia

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
348B0165-7BA1-49BA-8507-5A17273DB755.jpeg

Wakuu, hizi ni taarifa mbaya.

Mwandishi wa habari mkongwe Atilio Tagalile ametutoka usiku wa kuamkia leo!

Alilazwa kwa wiki moja. Awali Hindu Mandal kisha Rugambwa hadi umauti ulipomfika saa sita ya usiku wa kuamkia leo.

Alikuwa mwandishi, mchambuzi na mkufunzi wa wengi. Aliwahi kufanya kazi Radio Channel Africa na Sauti ya Ujerumani (DW). Aidha, alifanyia kazi magazeti ya Daily News na The Citizen.

Tagalile alikuwa miongoni mwa wanachama wa JF (ambao niliwajua at a personal level).

Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani
 
View attachment 1846430

Wakuu, hizi ni taarifa mbaya.

Mwandishi wa habari mkongwe Atilio Tagalile ametutoka usiku wa kuamkia leo!

Alilazwa kwa wiki moja. Awali Hindu Mandal kisha Rugambwa hadi umauti ulipomfika saa sita ya usiku wa kuamkia leo.

Alikuwa mwandishi, mchanbuzi na mkufunzi wa wengi. Aliwahi kufanya kazi Radio Channel Africa na Sauti ya Ujerumani (DW). Aidha, alifanyia kazi magazeti ya Daily News na The Citizen.

Tagalile alikuwa miongoni mwa wanachama wa JF (ambao niliwajua at a personal level).

Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani
Hujakamilisha habari

Historia yake
Mipango ya mazishi
Msiba uko wapi
 
RIP. Covid ipo tena ya kutosha kabisa kila mtu achukue tahadhari!
 
Back
Top Bottom