Dkt. Ndugulile: Tutafuta tozo zote kandamizi katika Tehama

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Faustine Ndugulile amesema watafuta tozo zote ambazo zilikuwa zinawabana vijana katika kujiajiri kwa kuendesha YouTube channels au blogs.

Amesema vijana walikuwa wanapata shida kutokana na kodi na tozo zilizowekwa ktk uendeshaji wa blogs na YouTube Channels.

Ameyasema hayo katika Uzinduzi wa Tovuti na Mpango Mkakakati wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia Habari wa miaka mitano 2021/22 hadi 2025/26.
 
Hizo tozo 'kandamizi' zitaondolewa kwenye budget hii au budget ijayo?
 
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Faustine Ndugulile amesema watafuta tozo zote ambazo zilikuwa zinawabana vijana katika kujiajiri kwa kuendesha YouTube channels au blogs.

Amesema vijana walikuwa wanapata shida kutokana na kodi na tozo zilizowekwa ktk uendeshaji wa blogs na YouTube Channels.

Ameyasema hayo katika Uzinduzi wa Tovuti na Mpango Mkakakati wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia Habari wa miaka mitano 2021/22 hadi 2025/26.
Inatakiwa ziondolewe ili tunufaike
 
hivi bado tu hizo tozo hazijaondolewa?
maana umaskini na wizi hautapungua
kwa style hii
#serekalituangalie .
 
Vipi kuhusu ile ya kurusha Drone uisajili laki moja kila mkoa unaoenda kurusha.

Tatizo la wanasiasa wanajiangalia wao na matumbo yao. Bila shaka aliyeshauri hizo alifikili Drone ni ndege ya gharama sana.
 
Back
Top Bottom