Catherine Ruge: Rais Samia anawanyima Wazanzibar wenzake fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
"Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge

Ruge.jpg
 
Ni vyema Wazanzibar wakaonesha msimamo wao mapema wakati huu Rais wa Tanzania akiwa ni Mzanzibari mwenzao. Badala ya kulilia usawa usio na tija kivile, wangeipambania Katiba Mpya inayotambua uwepo wa Serikali Tatu.

Kinyume na hapo, kero za Muungano hazitokuja kuisha kamwe.
 
Mamlaka kamili wanayohitaji Wazanzibar ni yapi hasa wana Bunge, wana Rais (japo sio amiri jeshi mkuu, na hata katiba mpya ikija haita mpa hayo mamlaka), wana bendera yao, wana katiba inayo eleza hadi mipaka ya nchi yao wanachotaka hasa ni kipi ambacho hakipatikani ndani ya katiba ya sasa. Watanganyika wana hoja ya kudai katiba. NAWAZA TU!
"Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge
 
Wazazibar tena wanabahati Sana,washukuru hata kwa hii katiba,mzazibar anakuja kutawala wabara wala hakuna chokochoko,ila wa bara akienda kutawala huko hapo hapakaliki
Siungi mkono katiba mpya maana inataka kutumiwa kama kichaka na viongozi wa upinzani wakiongozwa na chadema ili kupiga hela kupitia vikao vya katiba. Lakini zanzibar tayari imeshatawaliwa na wabara wawili baba na mtoto. Mzee Ali Hassan Mwinyi na mh Hussein Ali Mwinyi.
 
"Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge

Halafu akilinda maslahi ya Zanzibar atalaumiwa kama JPM kwa "ukanda/ukabila."

Dear Chadema, jitahidini kufahamu vipaumbele vya Watanzania kisha muwe kipazasauti cha vipaumbele hivyo. Kadhalika, jibidiisheni kusoma upepo wa kisiasa ulivyo. Mama Samia anapendwa na Watanzania, pengine kutokana na kuwa Rais wa kwanza mwanamke. Lakini pia anaongea lugha ya kistaarabu. Sasa mkicheza ovyo karata zenu, mtaishia kuonekana mnam-bully.

Mwisho, mjibidiishe kuwa proactive. Anzisheni mijadala itakayowafanya Watanzania wafanye tafakuri badala ya sasa ambapo mnaendeshwa kwa matukio. Mnasubiri Mama Samia atamke hili au lile mpate cha kuongea.

Povu ruksa 😊
 
Napendekeza viti maalumu vifutwe. Tugombee jimboni. Kuna watu wengi hawana impact yoyote bungeni zaidi ya chokochoko tu
 
"Niko Unguja na Wazanzibari wanamwambia Mama Samia "Kitendo cha yeye Kuzuia madai ya Katiba Mpya ni kuwanyima Wazanzibari fursa ya kuwa nchi yenye Mamlaka kamili, wanamkumbusha kuwa yeye kama mzanzibari anatakiwa alinde Maslahi ya Zanzibar asilewe Madaraka"-CPA Catherine Ruge

Hili dai sizani kama linatakiwa kusemwa na kiongozi wa chama.

Kwa tafsiri ya haraka haraka , anataka Muungano usiwepo. Kila pande ya Muungano ijitemee. Kazi ipo.
 
Halafu akilinda maslahi ya Zanzibar atalaumiwa kama JPM kwa "ukanda/ukabila."

Dear Chadema, jitahidini kufahamu vipaumbele vya Watanzania kisha muwe kipazasauti cha vipaumbele hivyo. Kadhalika, jibidiisheni kusoma upepo wa kisiasa ulivyo. Mama Samia anapendwa na Watanzania, pengine kutokana na kuwa Rais wa kwanza mwanamke. Lakini pia anaongea lugha ya kistaarabu. Sasa mkicheza ovyo karata zenu, mtaishia kuonekana mnam-bully.

Mwisho, mjibidiishe kuwa proactive. Anzisheni mijadala itakayowafanya Watanzania wafanye tafakuri badala ya sasa ambapo mnaendeshwa kwa matukio. Mnasubiri Mama Samia atamke hili au lile mpate cha kuongea.

Povu ruksa 😊
ukisema anapendwa na watanzania unakosea

tunataka Katiba mpya
 
Back
Top Bottom